Tahadhari: Wanaume walioa wanawake micharuko wote wameishia kufa maskini wa kutupwa

Tahadhari: Wanaume walioa wanawake micharuko wote wameishia kufa maskini wa kutupwa

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Hello,

Nichukue fursa hii kuwaasa waluojipumbaza kwa kushabikia kuoa na ndoa, kama mnapenda sana kuoa basi chunga sana wanaume wanaoingia mkenge Kwa kuoa wanawake micharuko wengi wameishia kufa maskini wa kutupwa.

Epuka kuisha kama ngedere na ukazeeka na kufa maskini kataaa uzombi wekeza muda na akili na roho wa Mungu kupata mke mwadilifu.

Ni hayo kila heri waoaji.

Inshallah

Wadiz
 
2d5c6875-1ff4-494c-8fde-e9008ece739c.jpg
 
Back
Top Bottom