Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wakutuma watu 100000 je jamaa katusuaNgoja nitume 1000 nihakikishe
Acha wapigwe tu hakuna namna 😄
Hivi watu mbona hamna huruma leta link tujiunge tuokote nasisiHabari zenu wakuu,
Nimepita kwenye baadhi ya mitandao ya kijamii nimekutana na kitu inaitwa WAKALA ONLINE. Kama ujuavyo baadhi ya watanzania wanapenda pesa za mteremko yaani wapate pesa bila kushughulika. Pia kupenda njia za mikato, hapa wajinga wengi watapigwa na kitu kizito.
Hii kitu kwa namna nilivyo ifuatilia una jiunga kisha utaweka kiasi cha pesa kupitia namba itakayo kuwepo hapo. Baada ya hapo utasubiri masaa 24 kisha utapata nusu ya faida kutokana na pesa uliyo tuma hapo awali. Mfano ukituma 1,000 baada ya masaa 24 pesa yako itakuwa imeongezeka na kuwa 1,500 hapo unaweza kutoa 500 ikabaki 1,000 kisha utasubiri masaa 24 tena utoe 500, hivyo hivyo mpaka utakapo ona umetosha kupiga maokoto.
Hii kitu bado ni mpya haina muda mrefu mpaka sasa, ila mi nahisi hapa watu wanavutiwa upepo tu mwisho wa siku watajaa kwenye mfumo na kulia kilio cha mbwa mwitu.
Je, umewahi kutana ama kuisikia hii kitu katika pita pita zako huko kwenye mitandao ya kijamii na una maoni gani? Karibu
Naomba link nikapige pesa.
Acha nipige okoto chaap kabla mambo hayajawa mengi.
Ubaya wa hizi project hata waanzilishi huwa hawajulikani yaani kila kitu wanakiendesha kimazabe mazabe tu na mara nyingi haya mambo huwa yanaanziaga hapo kwa majirani zetu Kenya.Habari zenu wakuu,
Nimepita kwenye baadhi ya mitandao ya kijamii nimekutana na kitu inaitwa WAKALA ONLINE. Kama ujuavyo baadhi ya watanzania wanapenda pesa za mteremko yaani wapate pesa bila kushughulika. Pia kupenda njia za mikato, hapa wajinga wengi watapigwa na kitu kizito.
Hii kitu kwa namna nilivyo ifuatilia una jiunga kisha utaweka kiasi cha pesa kupitia namba itakayo kuwepo hapo. Baada ya hapo utasubiri masaa 24 kisha utapata nusu ya faida kutokana na pesa uliyo tuma hapo awali. Mfano ukituma 1,000 baada ya masaa 24 pesa yako itakuwa imeongezeka na kuwa 1,500 hapo unaweza kutoa 500 ikabaki 1,000 kisha utasubiri masaa 24 tena utoe 500, hivyo hivyo mpaka utakapo ona umetosha kupiga maokoto.
Hii kitu bado ni mpya haina muda mrefu mpaka sasa, ila mi nahisi hapa watu wanavutiwa upepo tu mwisho wa siku watajaa kwenye mfumo na kulia kilio cha mbwa mwitu.
Je, umewahi kutana ama kuisikia hii kitu katika pita pita zako huko kwenye mitandao ya kijamii na una maoni gani? Karibu
Siku ukiona CCM imepigwa chini ndiyo ujue wajinga wameanza kupungua, kinyume na hapo bado sana, hata wakizeeka na kufa wanakuwa wameacha watoto ndugu na marafikiHii nchi bado inawajinga shazi mzee, acha wapigwe...
Hiyo kitu kuna jamaa ameileta pia hapa Jf, na akasema wapo Dodoma na Dar
Tanzania hakuna umasikini wa mali kuna umasikini wa fikira. Watu masikini walisha geuzwa watumwa wa fikira. Kamali ndio limekuwa tumaini Lao. Huku watawala wakiendelea kuiba rasiri mali na kodi.Habari zenu wakuu,
Nimepita kwenye baadhi ya mitandao ya kijamii nimekutana na kitu inaitwa WAKALA ONLINE. Kama ujuavyo baadhi ya watanzania wanapenda pesa za mteremko yaani wapate pesa bila kushughulika. Pia kupenda njia za mikato, hapa wajinga wengi watapigwa na kitu kizito.
Hii kitu kwa namna nilivyo ifuatilia una jiunga kisha utaweka kiasi cha pesa kupitia namba itakayo kuwepo hapo. Baada ya hapo utasubiri masaa 24 kisha utapata nusu ya faida kutokana na pesa uliyo tuma hapo awali. Mfano ukituma 1,000 baada ya masaa 24 pesa yako itakuwa imeongezeka na kuwa 1,500 hapo unaweza kutoa 500 ikabaki 1,000 kisha utasubiri masaa 24 tena utoe 500, hivyo hivyo mpaka utakapo ona umetosha kupiga maokoto.
Hii kitu bado ni mpya haina muda mrefu mpaka sasa, ila mi nahisi hapa watu wanavutiwa upepo tu mwisho wa siku watajaa kwenye mfumo na kulia kilio cha mbwa mwitu.
Je, umewahi kutana ama kuisikia hii kitu katika pita pita zako huko kwenye mitandao ya kijamii na una maoni gani? Karibu
Hapo utakuta Kuna mtu anataka kujaribu
Omari lazima awanyooshe watu wewe ngoja tuu,🤔Hela unatuma kwa OMARI SAGUTI😂😂😂😂
Wajinga sana, kwanza website yenyewe imekaa kitoto sana, hapa nimetoka kuwadanganya me ni mwalim mstaafu nataka kuwekeza 10m wakanipigia kwa namba yao nyingine eti niweke hela hiyo bank kesho wanipe 17mKwenye kutuma hela ile namba wameweka watajua vipi ni wewe ili pesa yako ifike kwenye akaunti yako?