Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
Hii michezo bhana 😂😂😂
Kuna siku nimeamka tu nikatumiwa link nikaifuata nikaenda mpaka telegram nikapewa ishu ilivyo yaani wanakutumia hotels nyingi uwe unaandika maoni mazuri na una rate nyota baada ya hapo una screenshot maoni yako unawatumia inbox, nilipiga ile mishe nika withdraw 25,000 bado wakawa wananitaka niendelee nikawapotesea na ku leave ile channel kabisa