Tahadhari ya utapeli: Kuna watu wanaenda kupigwa na kitu kizito!

Tahadhari ya utapeli: Kuna watu wanaenda kupigwa na kitu kizito!

Sio kweli mkuu hii kitu ipo na watu wanalipwa ukweli ila jamaa wanaekeza kwenye cryptocurrency kule kuna hela asikwambie mtu, wanafanya crypto mining then mnagawana faida
Stupidity how can you get paid for free? Ignorance ignorance ignorance
 
Pesa unatuma kwa wakala ama kupitia namba uliyo jiunga?
Ukituma hela kwny hiyo namba mda huohuo unaiona hela kwa account yn secunde tu hela inaingia haichukui hata dakika
 
You will always called stupid if you don’t understand this principle…. “You can not get paid if don’t work “ nothing goes for nothing “ no free lunch under the sun”
lengo langu lilikua kukujuza tu tu kua utapeli&ulaghai ni sehemu ya changamoto sio jambo la kuonyesha ujinga wa mtu fulani
maana anayelaghaiwa au kutapeliwa sio mjinga ila amekutana na changamoto
na ndio maana nikatoa mfano watu wanatapeliwa kwenye nchi tunazoamini wameelimika sana
 
Hapa kuna ujinga mwingi sana ukiweka pesa ndo basi hakuna faida wala mtaji kuutoa ndo unakuwa umechangia bwana Omary Saguti
 
Back
Top Bottom