Tahadhari ya utapeli: Kuna watu wanaenda kupigwa na kitu kizito!

Hii michezo bhana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Kuna siku nimeamka tu nikatumiwa link nikaifuata nikaenda mpaka telegram nikapewa ishu ilivyo yaani wanakutumia hotels nyingi uwe unaandika maoni mazuri na una rate nyota baada ya hapo una screenshot maoni yako unawatumia inbox, nilipiga ile mishe nika withdraw 25,000 bado wakawa wananitaka niendelee nikawapotesea na ku leave ile channel kabisa
 
Hiyo hawakutapeli wewe. Wanatengeneza reviews fake tu.
 
Nothing new..same trickโ€ฆ.! Old wine in new bottleโ€ฆโ€ฆ.! Wajinga ndio waliwao
 
You will always called stupid if you donโ€™t understand this principleโ€ฆ. โ€œYou can not get paid if donโ€™t work โ€œ nothing goes for nothing โ€œ no free lunch under the sunโ€
 
Niliweka buku tano baada ya siku 2 nikakuta 9000 nikachomoa kuhela changu nikaacha buku 2 baada ya siku kadhaa nikakuta 6000 nimetoa nimewachia buku naisubiri ifike buku tano niruke nao๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 

Attachments

  • Screenshot_20240904-182049.jpg
    229.7 KB · Views: 4
Nilichogundua kwa hawa jamaa ni kwamba ukiweka pesa kubwa kuanzia lako haitoki wanakwambia mara mtandao au unaweza kutoa ila mara moja alaf baada ya hapo utaambiwa baada ya siku 30 ndo utoe hela ujue ndo imetoka hapo๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 

Attachments

  • Screenshot_20240904-182049.jpg
    229.7 KB · Views: 4
Ukituma peace kwenye hiyo namba, pesa inafika vipi kwenye akaunti yako?
Nilichogundua kwa hawa jamaa ni kwamba ukiweka pesa kubwa kuanzia lako haitoki wanakwambia mara mtandao au unaweza kutoa ila mara moja alaf baada ya hapo utaambiwa baada ya siku 30 ndo utoe hela ujue ndo imetoka hapo[emoji16][emoji16]
 
Ungetuwekea link na hapa tuwahi mapema tukayapige hayo maokoto pia
 
Kimbia haraka ni matapeli hao kuna jamaa nafikiri ndo hao wanajiita BR investiment walinipiga laki2 nimeweka tu wakaanza konakona mwisho wakasema tumefunga ofisi zetu pesa sijui zipo wapiwapi niweke tena hela ili kukomboa hela zangu nikaona wananipanga ikabidi nitoke mbio
 
You will always called stupid if you donโ€™t understand this principleโ€ฆ. โ€œYou can not get paid if donโ€™t work โ€œ nothing goes for nothing โ€œ no free lunch under the sunโ€
Sio kweli mkuu hii kitu ipo na watu wanalipwa ukweli ila jamaa wanaekeza kwenye cryptocurrency kule kuna hela asikwambie mtu, wanafanya crypto mining then mnagawana faida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ