Tahadhari ya utapeli mpya Dar kwa sasa

Tahadhari ya utapeli mpya Dar kwa sasa

Benk kuna Utaratibu wa kupitia account zote zilizo Dormant Kwa miezi zaid ya 12 kuna next of Kin wanawasiliana naye kujua taarifa zake ! Nimefanya I know! Tatizo liko Mpesa na Tigo pesa wanakausha na mpunga wako b
Hela zote za kwenye simu au benki huwa zinarudishwa Benki Kuu, hakuna hela ya mtu aliyekufa inaliwa na Kampuni za simu au benki
 
Habari zenu wanajukwaa,

Maisha yamekuwa magumu sana kwa sasa hivyo kupelekea watu kubuni njia mbali mbali ili kujipatia kipato cha kuendelea kuishi.

Tupo kwenye kipindi ambacho ikifika asubuhi nyumba nzima kila mtu anaondoka kwenda kutafuta maisha tofauti na zamani ambapo ilikuwa nyumba nzima anatoka mwanamme tu hali ya wengine wanasubiria mzee alete wale.

Kupitia thread hii naomba kwa aliyewahi kutapeliwa kwa aina yoyote basi nae ashare na wengine ili watu wachukue tahadhari hakika mtaani watu wanalizwa vibaya mno.

Huu ni aina ya utapeli ambao mimi mwenyewe yalinikuta.

1. Utapeli wa simu

Huu ni utapeli ambao unagusa wengi tena mpka watu fulani wanahusishwa sana na michezo hii hasa kwenye hizi simu used,Nilinunua simu used baada ya week nilikuja kudakwa nikalazwa ndani na ilinitoka zaidi ya 500k,mpaka sasa ni bora nikanunue simu dukani na kama nitanunua kwa mtu basi nakuja nyumbani kwako kabisa tunaandikishana mkataba kabisa.

2. KUUZIWA GARI YA MKOPO
Hapa watu huwa wanalizwa sana pia unakuta gari inauzwa kwa bei nyepesi sana lakini ukienda kuikagua mhusika anakwambia kuwa kadi ya gari ilipotea hivyo anakupa copy card tu na kukupa uhakika kama ote ukiinunua tu ili uende kubadilisha kadi mwenyewe basi unakutana na bonge la deni TRA, mwisho wa simu gari inakuja kukamatwa unakuwa hupati chako,hili nalo limeshanikuta kama dalali na kulazwa ndani mpka nikaamua sitouza gari tena isiyokuwa na card.

3. WAAGIZAJI VITU TOKA CHINA
Kwa sasa kuna watu wengi sana utawaona facebook au instagram wanaagiza vitu china kwa bei ya kutupa na wengine mpaka wana ofisi kabisa wanafungua unakuta tv inch 50 smart wanauza 400k bei ya kutupwa wanachokifanya wanaita kukusanya mizigo mnakuwa mnaenda kupeleka hela kwa ajili ya kununua vitu mkifika kama watu 40 au 50 wanafunga order. Then mnaaambiwa baada ya mwez au miez miwil mzigo utakuwa umefika na mara nyingi husema wanatumia meli, basi itapita miezi hata 10,mzigo haufiki na mkienda ofisini walishasepa hapa nlilizwa 600k japo kuwa mjanja wa mjini

Kuna utapeli mwengine kama hawa mawakala wanaotembea wa tigo pesa/airtel/zantel ntaendelea kushare npatapo muda

Muhimu tushtuane ili tuwe makini zaidi mtaani watu wamevurugwa
Niliozwa mke kumbe alikuwa mke wa mtu, siku tumelala saa sita usiku eti mjumbe na mume mwenzangu wamekuja kunifumania! Eti akanisamehe ila mke kamchukua, dili la pande mbili, nilikooa eti yule ni yatima hapa si kwao walipanga tu kwa muda.
 
Habari zenu wanajukwaa,

Maisha yamekuwa magumu sana kwa sasa hivyo kupelekea watu kubuni njia mbali mbali ili kujipatia kipato cha kuendelea kuishi.

Tupo kwenye kipindi ambacho ikifika asubuhi nyumba nzima kila mtu anaondoka kwenda kutafuta maisha tofauti na zamani ambapo ilikuwa nyumba nzima anatoka mwanamme tu hali ya wengine wanasubiria mzee alete wale.

Kupitia thread hii naomba kwa aliyewahi kutapeliwa kwa aina yoyote basi nae ashare na wengine ili watu wachukue tahadhari hakika mtaani watu wanalizwa vibaya mno.

Huu ni aina ya utapeli ambao mimi mwenyewe yalinikuta.

1. Utapeli wa simu

Huu ni utapeli ambao unagusa wengi tena mpka watu fulani wanahusishwa sana na michezo hii hasa kwenye hizi simu used,Nilinunua simu used baada ya week nilikuja kudakwa nikalazwa ndani na ilinitoka zaidi ya 500k,mpaka sasa ni bora nikanunue simu dukani na kama nitanunua kwa mtu basi nakuja nyumbani kwako kabisa tunaandikishana mkataba kabisa.

2. KUUZIWA GARI YA MKOPO
Hapa watu huwa wanalizwa sana pia unakuta gari inauzwa kwa bei nyepesi sana lakini ukienda kuikagua mhusika anakwambia kuwa kadi ya gari ilipotea hivyo anakupa copy card tu na kukupa uhakika kama ote ukiinunua tu ili uende kubadilisha kadi mwenyewe basi unakutana na bonge la deni TRA, mwisho wa simu gari inakuja kukamatwa unakuwa hupati chako,hili nalo limeshanikuta kama dalali na kulazwa ndani mpka nikaamua sitouza gari tena isiyokuwa na card.

3. WAAGIZAJI VITU TOKA CHINA
Kwa sasa kuna watu wengi sana utawaona facebook au instagram wanaagiza vitu china kwa bei ya kutupa na wengine mpaka wana ofisi kabisa wanafungua unakuta tv inch 50 smart wanauza 400k bei ya kutupwa wanachokifanya wanaita kukusanya mizigo mnakuwa mnaenda kupeleka hela kwa ajili ya kununua vitu mkifika kama watu 40 au 50 wanafunga order. Then mnaaambiwa baada ya mwez au miez miwil mzigo utakuwa umefika na mara nyingi husema wanatumia meli, basi itapita miezi hata 10,mzigo haufiki na mkienda ofisini walishasepa hapa nlilizwa 600k japo kuwa mjanja wa mjini

Kuna utapeli mwengine kama hawa mawakala wanaotembea wa tigo pesa/airtel/zantel ntaendelea kushare npatapo muda

Muhimu tushtuane ili tuwe makini zaidi mtaani watu wamevurugwa
Unatapeliwaje mara nying hvo mkuu...una elimu gani
 
mbona mimi hakunambia hayo
View attachment 2040296
Atakuliza
Huyu Dada page yake Ina vitu vizuri mno..yaani mno.. Binafsi kuna wakati nilitaka kununua kitu kwake.. nikaona mlolongo wa mambo sana.. alipost bidhaa nikamwambia naweza kuja kulipia na kuondoka nayo kabisa?Akaniambia nitume hela then bidhaa nitafata kesho yake.. nikaona kuna jambo si bure.. sikuhangaika..

Baada ya muda kupita nikaona baadhi ya page Instagram wanamlalamikia..

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni tapeli na mhuni, na kuna mahali alishafukuzwa kazi...ofisi kubwa tu siwezi kuitaja
 
Pole mzee. Siku zote ukishaona unapewa deal tamu sana kiasi kwamba udenda unaanza kukutoka unatakiwa ushtuke kuwa unapigwa mda si mrefu.

Wazungu wanasema "When the deal is too good, think twice."
Tatizo letu wabongo tunapenda vitu vya dezo. Yaani unataka uuziwe Iphone ya sh. milioni 1 kwa sh. laki 2. Yalishawahi kunikuta haya. Nimekoma.
 
Kuna dereva wa TANROSDS alinunua simu used. Aisee polisi walimla zaidi ya 2 m. Walikua wanajua fika huyu hawezi kukosa 2 m, hata Kama Hana anakopesheka.
Simu ya laki tano unainunua kwa laki unusu, kweli. Hata Kama amekwama vipi mwambie nduguze wakamkwamue.
 
hii ya simu watu wanalizwa sana kwa kweli ni bora serikali ingeliingilia kati swala hili
 
Halafu hauziwi mtu aliyechoka.
Wana Target mtu mwenye nazo na mwenye heshima zake, mwenye uwoga wa kulala lockup. Maana kituo unachopelekwa Ni kile kilichojaa vibaka wenye vidonda vinavyonuka, lockup iliyotapakaa mikojo chini maana vibaka na mateja wanakojoa popote.
Kuna jamaa walimuingiza Buguruni kwa Hali aliyoikuta mle ndani alitoa rushwa fasta pamoja na kwamba walimbambikia kosa.
 
siku nakuja kudakwa jamaa alikuwa ana daftari zima la kesi za simu means kama atazidaka zote lazma alambe hata ka ist kakupunguzia uchovu
 
Habari zenu wanajukwaa,

Maisha yamekuwa magumu sana kwa sasa hivyo kupelekea watu kubuni njia mbali mbali ili kujipatia kipato cha kuendelea kuishi.

Tupo kwenye kipindi ambacho ikifika asubuhi nyumba nzima kila mtu anaondoka kwenda kutafuta maisha tofauti na zamani ambapo ilikuwa nyumba nzima anatoka mwanamme tu hali ya wengine wanasubiria mzee alete wale.

Kupitia thread hii naomba kwa aliyewahi kutapeliwa kwa aina yoyote basi nae ashare na wengine ili watu wachukue tahadhari hakika mtaani watu wanalizwa vibaya mno.

Huu ni aina ya utapeli ambao mimi mwenyewe yalinikuta.

1. Utapeli wa simu

Huu ni utapeli ambao unagusa wengi tena mpka watu fulani wanahusishwa sana na michezo hii hasa kwenye hizi simu used,Nilinunua simu used baada ya week nilikuja kudakwa nikalazwa ndani na ilinitoka zaidi ya 500k,mpaka sasa ni bora nikanunue simu dukani na kama nitanunua kwa mtu basi nakuja nyumbani kwako kabisa tunaandikishana mkataba kabisa.

2. KUUZIWA GARI YA MKOPO
Hapa watu huwa wanalizwa sana pia unakuta gari inauzwa kwa bei nyepesi sana lakini ukienda kuikagua mhusika anakwambia kuwa kadi ya gari ilipotea hivyo anakupa copy card tu na kukupa uhakika kama ote ukiinunua tu ili uende kubadilisha kadi mwenyewe basi unakutana na bonge la deni TRA, mwisho wa simu gari inakuja kukamatwa unakuwa hupati chako,hili nalo limeshanikuta kama dalali na kulazwa ndani mpka nikaamua sitouza gari tena isiyokuwa na card.

3. WAAGIZAJI VITU TOKA CHINA
Kwa sasa kuna watu wengi sana utawaona facebook au instagram wanaagiza vitu china kwa bei ya kutupa na wengine mpaka wana ofisi kabisa wanafungua unakuta tv inch 50 smart wanauza 400k bei ya kutupwa wanachokifanya wanaita kukusanya mizigo mnakuwa mnaenda kupeleka hela kwa ajili ya kununua vitu mkifika kama watu 40 au 50 wanafunga order. Then mnaaambiwa baada ya mwez au miez miwil mzigo utakuwa umefika na mara nyingi husema wanatumia meli, basi itapita miezi hata 10,mzigo haufiki na mkienda ofisini walishasepa hapa nlilizwa 600k japo kuwa mjanja wa mjini

Kuna utapeli mwengine kama hawa mawakala wanaotembea wa tigo pesa/airtel/zantel ntaendelea kushare npatapo muda

Muhimu tushtuane ili tuwe makini zaidi mtaani watu wamevurugwa
Kuna kijana mtaani kwangu,Ni wakala wa m-pesa na kusajili line,

Kamsajilia mtu kwa kitambulisho chake,kaenda kufanya uhalifu,

Hapa ameuza nyumba yake kwa Bei ya kutupa amalize kesi,

Kaiuza juzi tu aisee
 
Jamaa kajiingiza kwenye mercury huko, akikusimulia jinsi atakavyopata 500milioni unajiuliza hivi huyu anadhani pesa inakuja kirahisi hivi? Mwambie sasa unaenda kupigwa uone atavyokudharau..
Atapigwa atachakaa matapeli wana story tamu sana!
 
Back
Top Bottom