Oh yeah!!I'm doing this everyday na nimekweisha zoea sasa naweza kwenda hata masaa mawili, humo ndani ni km movie najua unajua nini kinahappen unapomeditate it's like your dreaming but you're not sleeping
Very easy just relax, fumba macho subirii dakika 2/3/4 then vuaaapu utaona you're inMimi hunishinda clearing ya mind maana huwa najikuta mawazo yamehama nawaza vitu vya hovyo.
Sio kwelihizi mambo ukikosea unaondoka mazima.!
Very easy just relax, fumba macho subirii dakika 2/3/4 then vuaaapu utaona you're in
HapanaSawa shukrani ila mbona naona umeliwa ban, yaani pamoja na tahjudi/meditation zote hizo ulivunja kanuni za JF hadi kuliwa ban, ulimtusi mtu nini.
Halafu kinatokea nini?Simple ni hii ya kukaa sehemu tulivu na kurelax then unafocus kwenye breath pale unapovuta pumzi in and out apo hutakiwi kufikria chochote clear your mind for 15 up 20 minutes is enough... for beginners
Simple ni hii ya kukaa sehemu tulivu na kurelax then unafocus kwenye breath pale unapovuta pumzi in and out apo hutakiwi kufikria chochote clear your mind for 15 up 20 minutes is enough... for beginners
Unaweza mkuu ingawa mwanzo huwa ngumu ni mpka akili izoee some time inachukua mda mrefu;sijawahi kuweza asee
Jioni ndiyo mda sahihi pale akili unapokuwa imechoshwa na shughuli za mchana kutwa,Kwa nini usifanye asubuhi actually ndio akili inakua active sana.
Nafanya muda wowote sio usiku tuKwa nini usifanye asubuhi actually ndio akili inakua active sana.