Tahajudi (meditation) imenisadia sana

Wewe mzoefu na ulie ona matokeo naomba tuelekeze jinsi ya kifanya
 
Lengo la meditation siyo kuzuia mawazo..lengo la meditation ni simply being aware with your thoughts,emotions and sensations without judging either they are good or bad. Let them come,and let them go.. simply be aware of them. Baada ya muda utaanza kuona distance kati ya wazo moja mpaka jingine inakuwa ndefu...
Unawezaje kukaa dakika 20 pasipo kufikiria chochote nipe hints.

Kuna muda najaribu lakini nashindwa unajikuta tu ushafikiria kitu
 
Baba mwenye nyumba ananidai kodi, fundi kanitumia msg nisikae mbali na simu kuna kazi anaisikilizia ikitiki atanishtua tukafanye, mfukoni Sina kitu asubuhi Sijui Chai na nini.. Shule zimefunguliwa mtoto hajaenda wiki nzima sababu sijamnunulia sare wala madaftari, bimkubwa anaumwa mchango unahitajika
Kwa mbali wimbo wa ottu wanaume tumeumbwa mateso unarun kwenye kichwa.
Naanzaje kumeditate.. Nina concentrate vipi hapo.
Mambo mengine ya wa kishua hayo.
 
Nipe faida zake 10 za kufanya meditation
 
Vp kama sijawah fanya hzo tahajud na still nina uwezo wa kufocus na kucontrol emotion zangu? Unless uende deep kdogo kwenye kutueleza faida nyingine za tahajud....!
 
Nipe faida zake 10 za kufanya meditation
Meditation is a gmy for brain
Faida zake;
1.Inakupa utulivu wa akili,mwili na nafsi.
2.Inasaidia kupunguza mawazo.
3.Inasaidia ku discover hidden talents zilizo ndani yako
4.Inakufanya ufanye mambo yako kwa ufasaha maana utakua na uwezo wa kuconcentrate kwenye jambo moja..... nk
 
Sio ya kishua wala nini
Tena ukifanya TAHAJUDI utaona solution ya hayo matatizo yote believe me.
 
Yes asante kwa kujazia nyama
 
I will give it a try and see mkuu
 
Sema cku iz watu wana matatizo yao mamb ya meditation kama yanawachanganya tuu! Ila n muhim!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…