TAHAR SABAR: Mwanadada aliyefanya plastic surgery zaidi ya Hamsini ili Afanane na Angelina Jolie

TAHAR SABAR: Mwanadada aliyefanya plastic surgery zaidi ya Hamsini ili Afanane na Angelina Jolie

Da Vinci XV

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2019
Posts
3,862
Reaction score
6,438
WASAALAM

Fatemeh Khishvand, anayejulikana na jina lake la Instagram Sahar Tabar ni mwanada wa Irani ambaye alijizolea umaarufu mnamo 2017 kwa upasuaji na mapambo , kwenye picha zake zilizoenea mtandaoni ili tu afanane na mwigizaji nguli wa hollywood ANGELINA JOLIE

Screenshot_20210212-101935.png

Ilisemekana kwamba alikuwa amebadilisha uso wake kupitia upasuaji wa plastiki kama mara hamsini.

Screenshot_20210212-101952.png

Tabar alihojiwa kwenye televisheni ya kitaifa ya Iran mnamo Oktoba 2019 baada ya kukamatwa kwa mashtaka ikiwa ni pamoja na kufuru na kupata pesa kinyume cha sheria.

Screenshot_20210212-102032.png

Tabar alihukumiwa kifungo cha miaka kumi mnamo Desemba 2020.

Screenshot_20210212-102233.png

ANGELINA JOLIE

DA'VINCI XV
 
Hiyo pesa angetuletea huku Tanzania isaidie kupelekea maji tiririka vijijini.
kwakweliii ...pale jirani kwao tu palestina na syria kuna wananchi wanasuffer kwa maafa ya vita ,,, angewagusisha tu hata za matibabu

Hivi kuna watu pesa zao hazina kazi ?? au zina kazi lakini ni kazi za kijinga🤣🤣🤣
 
WASAALAM

Fatemeh Khishvand, anayejulikana na jina lake la Instagram Sahar Tabar ...ni mwanada wa Irani ambaye alijizolea umaarufu mnamo 2017 kwa upasuaji na mapambo , kwenye picha zake zilizoenea mtandaoni ili tu afanane na mwigizaji nguli wa hollywood ANGELINA JOLIE

View attachment 1700531

Ilisemekana kwamba alikuwa amebadilisha uso wake kupitia upasuaji wa plastiki kama mara hamsini.

View attachment 1700532

Tabar alihojiwa kwenye televisheni ya kitaifa ya Iran mnamo Oktoba 2019 baada ya kukamatwa kwa mashtaka ikiwa ni pamoja na kufuru na kupata pesa kinyume cha sheria.

View attachment 1700533

Tabar alihukumiwa kifungo cha miaka kumi mnamo Desemba 2020.

View attachment 1700534
ANGELINA JOLIE

DA'VINCI XV
Sasa mbona kapoteza mvuto ata wa awali
 
Back
Top Bottom