Da Vinci XV
JF-Expert Member
- Dec 7, 2019
- 3,862
- 6,438
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uyo wa wapi mkuu
Hospitali yA Magonjwa ya akili na saikolojia.uyo wa wapi mkuu
ilo haliwezi kukwepekana kuna wapumbavu wenzake itakuwa wanamsifia kapendezaHospitali yA Magonjwa ya akili na saikolojia.
Just imagine mwanzo alvokua mzur,
afu cheki alovokua mbaya baada ya haya matakataka.
Apo sio ajabu Kuna watu wanamkoki ku kapendeza
Sent using Jamii Forums mobile app
ilo haliwezi kukwepekana kuna wapumbavu wenzake itakuwa wanamsifia kapendezaHospitali yA Magonjwa ya akili na saikolojia.
Just imagine mwanzo alvokua mzur,
afu cheki alovokua mbaya baada ya haya matakataka.
Apo sio ajabu Kuna watu wanamkoki ku kapendeza
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanawake kwa unafiki hawajambo!ilo haliwezi kukwepekana kuna wapumbavu wenzake itakuwa wanamsifia kapendeza
Na wewe uko kwenye hili janga ndugu yangu🤣🤣Ukipata nistue best
Akuu...yasije yakanipata kama ya huyo dada hapo.najivunia kuwa mfupi maana kuzeeka ni kipengele😅😅mwingine huyu apa Chakorii ana matatazo kama yako hela yenyewe mnayo ndugu msje skia kutoka hapa hadi huko nauli tu ni sawa na pato letu la mwaka mzima🤣🤣🤣🤣
Mdogo wangu usinichukulie poa ninauwezo wa kulisha wewe na kizazi chako cha sasa na cha baadaemwingine huyu apa Chakorii ana matatazo kama yako hela yenyewe mnayo ndugu msje skia kutoka hapa hadi huko nauli tu ni sawa na pato letu la mwaka mzima🤣🤣🤣🤣
Yes ni mbirikimo mwenzioNa wewe uko kwenye hili janga ndugu yangu🤣🤣
Akuu...yasije yakanipata kama ya huyo dada hapo.najivunia kuwa mfupi maana kuzeeka ni kipengele😅😅
Wacha bhanaMdogo wangu usinichukulie poa ninauwezo wa kulisha wewe na kizazi chako cha sasa na cha baadae
Yes ni mbirikimo mwenzio
tujipige kifuani tuseme sisi hatuzeeki kiboya boya🤣🤣🤣🤣Mdogo wangu usinichukulie poa ninauwezo wa kulisha wewe na kizazi chako cha sasa na cha baadae
Yes ni mbirikimo mwenzio
😂🤣🤣Wanawake kwa unafiki hawajambo!
Utaskia
"dah, SHOGA angu umependeza Sana"
Sent using Jamii Forums mobile app
kuzeeka kuko pale pale si unamuona steve nyerere😂😂Wacha bhana
tujipige kifuani tuseme sisi hatuzeeki kiboya boya🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mdogo wangu usinichukulie poa ninauwezo wa kulisha wewe na kizazi chako cha sasa na cha baadae
Yes ni mbirikimo mwenzio
Urefu wa makalio?Hivi hakuna sehemu wanatoa huduma za kuongeza urefu
Hapana mkuu..ni urefu wa mdomoUrefu wa makalio?
Yule kwa jinsi anaongea angekuwa mrefu halafu kibonge asiyenamazoezi tungekuwa tumeahaanza kumwita babu Steve nyererekuzeeka kuko pale pale si unamuona steve nyerere😂😂
🤣🤣🤣🤣Urefu wa makalio?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Yule kwa jinsi anaongea angekuwa mrefu halafu kibonge asiyenamazoezi tungekuwa tumeahaanza kumwita babu Steve nyerere
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Watu wanakufuru sana. Uzuri wake aliopewa na Mungu kaupoteza sasa kawa fuvu la Angelina Jolie.