TAHAR SABAR: Mwanadada aliyefanya plastic surgery zaidi ya Hamsini ili Afanane na Angelina Jolie

TAHAR SABAR: Mwanadada aliyefanya plastic surgery zaidi ya Hamsini ili Afanane na Angelina Jolie

WASAALAM

Fatemeh Khishvand, anayejulikana na jina lake la Instagram Sahar Tabar ...ni mwanada wa Irani ambaye alijizolea umaarufu mnamo 2017 kwa upasuaji na mapambo , kwenye picha zake zilizoenea mtandaoni ili tu afanane na mwigizaji nguli wa hollywood ANGELINA JOLIE

View attachment 1700531

Ilisemekana kwamba alikuwa amebadilisha uso wake kupitia upasuaji wa plastiki kama mara hamsini.

View attachment 1700532

Tabar alihojiwa kwenye televisheni ya kitaifa ya Iran mnamo Oktoba 2019 baada ya kukamatwa kwa mashtaka ikiwa ni pamoja na kufuru na kupata pesa kinyume cha sheria.

View attachment 1700533

Tabar alihukumiwa kifungo cha miaka kumi mnamo Desemba 2020.

View attachment 1700534
ANGELINA JOLIE



DA'VINCI XV
Urembo umewazidi nguvu wasichana.
 
🤣🤣🤣🤣 mbona naskia rumors messi alikuwa harefuki kwahyo wakamfanyia manuva ...una nafasi bado🤣🤣🤣
Hakika nafasi ninayo.lkni acha nibaki hivi hivi ufupi ni raha mnoo
 
Back
Top Bottom