Mnyatiaji
JF-Expert Member
- Dec 13, 2018
- 3,728
- 4,817
Ipo mikoani tunatumaHivi hakuna sehemu wanatoa huduma za kuongeza urefu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ipo mikoani tunatumaHivi hakuna sehemu wanatoa huduma za kuongeza urefu
mbon mvuto wa awali alimkalisha hadi Angelina Jolie mwenyewSasa mbona kapoteza mvuto ata wa awali
🤣🤣🤣🤣Ipo mikoani tunatuma
Au mimi sijaelewa hizo picha si ndiyo kawa mweusi vile au?mbon mvuto wa awali alimkalisha hadi Angelina Jolie mwenyew
yaani hizo picha za pili ndiyo baada ya mabadilikoAu mimi sijaelewa hizo picha si ndiyo kawa mweusi vile au?
kabisaa yani mkuuFunzo:- Tujikubali vile tumeumbwa.
Kwani hapo amepoteza ule uzuri wake wote wa awali.
Hebu niwache na ushotii wangu huko🤣🤣🤣Lazima atakuwa ni wewe ila kwakuwa lilikuwa swali public ungejibu kwa kumpakazia nduguyo
🤣🤣🤣🤣 mbona naskia rumors messi alikuwa harefuki kwahyo wakamfanyia manuva ...una nafasi bado🤣🤣🤣Hebu niwache na ushotii wangu huko🤣🤣🤣
Urembo umewazidi nguvu wasichana.WASAALAM
Fatemeh Khishvand, anayejulikana na jina lake la Instagram Sahar Tabar ...ni mwanada wa Irani ambaye alijizolea umaarufu mnamo 2017 kwa upasuaji na mapambo , kwenye picha zake zilizoenea mtandaoni ili tu afanane na mwigizaji nguli wa hollywood ANGELINA JOLIE
View attachment 1700531
Ilisemekana kwamba alikuwa amebadilisha uso wake kupitia upasuaji wa plastiki kama mara hamsini.
View attachment 1700532
Tabar alihojiwa kwenye televisheni ya kitaifa ya Iran mnamo Oktoba 2019 baada ya kukamatwa kwa mashtaka ikiwa ni pamoja na kufuru na kupata pesa kinyume cha sheria.
View attachment 1700533
Tabar alihukumiwa kifungo cha miaka kumi mnamo Desemba 2020.
View attachment 1700534
ANGELINA JOLIE
DA'VINCI XV
Hakika nafasi ninayo.lkni acha nibaki hivi hivi ufupi ni raha mnoo🤣🤣🤣🤣 mbona naskia rumors messi alikuwa harefuki kwahyo wakamfanyia manuva ...una nafasi bado🤣🤣🤣
Sijui ataambia nini watu??🤣🤣Urembo umewazidi nguvu wasichana.
🤣🤣🤣sasa kwanini uliuliza mkuuHakika nafasi ninayo.lkni acha nibaki hivi hivi ufupi ni raha mnoo
Afadhar iwe hvoWazee, hakufanya plastic surgery, alitumia Photoshop tu. Hilo liliwekwa wazi
anha asante kwa taarifa mkuu...wikipedia wamekwama wapi?Wazee, hakufanya plastic surgery, alitumia Photoshop tu. Hilo liliwekwa wazi
Wikipedia hawajakwama, itakuwa umesoma ukurasa wao kwa haraka haraka tu. Lakini wameandika kama ni make up na photoshopanha asante kwa taarifa mkuu...wikipedia wamekwama wapi?
aya asante baada ya kwenda kuangaliaWikipedia hawajakwama, itakuwa umesoma ukurasa wao kwa haraka haraka tu. Lakini wameandika kama ni make up na photoshop
Ukipata nistue bestHivi hakuna sehemu wanatoa huduma za kuongeza urefu
We nae ujinga wa Mwanamke mmoja mwenye matatizo ya akili ndo utujumlishe wote