Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wapare tunasubiri majibu kwa hamu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wapare tunasubiri majibu kwa hamu.
😂😂😂😂Mkuu, vaa viatu vya michuchumio tu.
😂😂😂Navaa sana lakini wapi😆😆😆😆😆😆
😂😂😂hatari mkuuKatuni iliyo hai😂😂
😂😂😂ila hii comment dah.. 😂😂😂😂
😂😂😂😂Jinga
😂😂😂😂😭😭😭 Umenikumbusha mbali mzee, niliwahi kumpost demu wangu aka-view lkn hakusema chochote bc nkajiona bwege sana
Yaan Watanzania huwa tunadanganya na vitu vya kipuuzi kwa sababu ya uvivu wetu, yaani ukienda Google ukatafuta hilo jina lake ukurasa wa kwanza tu unakupa jibu kuwa siyo plastic surgery bali ni photoshop na make up! Msiwe mnaamini kila kitu!WASAALAM
Fatemeh Khishvand, anayejulikana na jina lake la Instagram Sahar Tabar ni mwanada wa Irani ambaye alijizolea umaarufu mnamo 2017 kwa upasuaji na mapambo , kwenye picha zake zilizoenea mtandaoni ili tu afanane na mwigizaji nguli wa hollywood ANGELINA JOLIE
View attachment 1700531
Ilisemekana kwamba alikuwa amebadilisha uso wake kupitia upasuaji wa plastiki kama mara hamsini.
View attachment 1700532
Tabar alihojiwa kwenye televisheni ya kitaifa ya Iran mnamo Oktoba 2019 baada ya kukamatwa kwa mashtaka ikiwa ni pamoja na kufuru na kupata pesa kinyume cha sheria.
View attachment 1700533
Tabar alihukumiwa kifungo cha miaka kumi mnamo Desemba 2020.
View attachment 1700534
ANGELINA JOLIE
DA'VINCI XV
nani mtanzania sasa??Yaan Watanzania huwa tunadanganya na vitu vya kipuuzi kwa sababu ya uvivu wetu, yaani ukienda Google ukatafuta hilo jina lake ukurasa wa kwanza tu unakupa jibu kuwa siyo plastic surgery bali ni photoshop na make up! Msiwe mnaamini kila kitu!
ok asante kwa taarifa🙏Hii habari siyo kweli, Huyo mdada alifungwa kwa kosa la kuvaa kinyago huko iran hii ilipelekea watu kupaza sauti ya kuomba aachiliwe. Na siyo kweli kwamba alifanya plastic surgery. Hii habari mbona ilikuwa kubwa mwezi January mwaka huu au December mwaka jana.
Watu wengi walikuwa wame-follow instagram walijua ni kweli alifanya mabadiliko ya kubadilisha sura. Ila alivyotiwa kizuizini ukweli ndio ukajulikana.
Kweli mkuu Watanzania wavivu sana, hata kwenda google.com tu inawashinda, kila wanachoambiwa wanaamini.Hii habari siyo kweli, Huyo mdada alifungwa kwa kosa la kuvaa kinyago huko iran hii ilipelekea watu kupaza sauti ya kuomba aachiliwe. Na siyo kweli kwamba alifanya plastic surgery. Hii habari mbona ilikuwa kubwa mwezi January mwaka huu au December mwaka jana.
Watu wengi walikuwa wame-follow instagram walijua ni kweli alifanya mabadiliko ya kubadilisha sura. Ila alivyotiwa kizuizini ukweli ndio ukajulikana.
😂😂😂sawa mkuu na keyword zipo ila sisi ni wavivu😂😂Kweli mkuu Watanzania wavivu sana, hata kwenda google.com tu inawashinda, kila wanachoambiwa wanaamini.
😀😀😀😀 Urefu wa nini tena mdogo wangu..!!si tulikubaliana turidhike na vimo vyetu..au?Hivi hakuna sehemu wanatoa huduma za kuongeza urefu
😂😂😂😂 umewasiliana na Elon musk naskia kuna nauli na ticket na watu wanapimiwa viwanja😂😂😂Mars
😂😂😂😀😀😀😀 Urefu wa nini tena mdogo wangu..!!si tulikubaliana turidhike na vimo vyetu..au?
Ngoja na mie niwahi wallah, ila wee khaaaaaaah lol[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umewasiliana na Elon musk naskia kuna nauli na ticket na watu wanapimiwa viwanja[emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa wanaoendaga leba inakuwaje wanapewa nanani hao watoto au ni wanapewa misaada🤣🤣🤣🤣 ukiwa mfupi ndio basi tena hamna pa kuchomokea🤣🤣