Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
aisee nimeipendaaMtaka nyingi na saba hupata mingi misiba
😂😂😂😂eti watu wa kaleHuyo marehemu kafufuka au ni mchoro wa watu wa kale
Hivi hakuna sehemu wanatoa huduma za kuongeza urefu
Navaa sana lakini wapi😆😆😆😆😆😆Mkuu, vaa viatu vya michuchumio tu.
Duniani ujinga hauwezi kuishaWASAALAM
Fatemeh Khishvand, anayejulikana na jina lake la Instagram Sahar Tabar ...ni mwanada wa Irani ambaye alijizolea umaarufu mnamo 2017 kwa upasuaji na mapambo , kwenye picha zake zilizoenea mtandaoni ili tu afanane na mwigizaji nguli wa hollywood ANGELINA JOLIE
View attachment 1700531
Ilisemekana kwamba alikuwa amebadilisha uso wake kupitia upasuaji wa plastiki kama mara hamsini.
View attachment 1700532
Tabar alihojiwa kwenye televisheni ya kitaifa ya Iran mnamo Oktoba 2019 baada ya kukamatwa kwa mashtaka ikiwa ni pamoja na kufuru na kupata pesa kinyume cha sheria.
View attachment 1700533
Tabar alihukumiwa kifungo cha miaka kumi mnamo Desemba 2020.
View attachment 1700534
ANGELINA JOLIE
DA'VINCI XV
😭😭😭 Umenikumbusha mbali mzee, niliwahi kumpost demu wangu aka-view lkn hakusema chochote bc nkajiona bwege sanaInasikitisha.cha ajabu Angelina Jolie Hana hata habari nae
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi hakuna sehemu wanatoa huduma za kuongeza urefu
Wapare tunasubiri majibu kwa hamu.Hivi hakuna sehemu wanatoa huduma za kuongeza urefu
Ulitaka asemaje?[emoji24][emoji24][emoji24] Umenikumbusha mbali mzee, niliwahi kumpost demu wangu aka-view lkn hakusema chochote bc nkajiona bwege sana
Aseme ht asante tuuUlitaka asemaje?
Mtakatifu umecheka sana na wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣Wapare tunasubiri majibu kwa hamu.
ila hii comment dah.. 😂😂😂😂Wanawake kwa unafiki hawajambo!
Utaskia
"dah, SHOGA angu umependeza Sana"
Sent using Jamii Forums mobile app