Da Vinci XV
JF-Expert Member
- Dec 7, 2019
- 3,862
- 6,438
🤣🤣🤣🤣 ukiwa mfupi ndio basi tena hamna pa kuchomokea🤣🤣Hivi hakuna sehemu wanatoa huduma za kuongeza urefu
wanadamu bwanaWatu wanakufuru sana. Uzuri wake aliopewa na Mungu kaupoteza sasa kawa fuvu la Angelina Jolie.
Dah🥺🥺🥺🥺🤣🤣🤣🤣 ukiwa mfupi ndio basi tena hamna pa kuchomokea🤣🤣
mkuu kwani unatafuta kurefuka nawewe au ndiyo kuna ndugu yetu unataka umsaidie🤣🤣🤣🤣Dah🥺🥺🥺🥺
mkuu wanaadamu hao bwanaJesus, nini hii
Mi nafikiri tuishie hapa maana umecheka mnoo😁😁😁mkuu kwani unatafuta kurefuka nawewe au ndiyo kuna ndugu yetu unataka umsaidie🤣🤣🤣🤣
hahahah kwakweli mkuu tuishie hapa maan jibu nnalo...🤣🤣Mi nafikiri tuishie hapa maana umecheka mnoo😁😁😁
dunia hii mkuu sio poa yaniInasikitisha.cha ajabu Angelina Jolie Hana hata habari nae
Kwamba ni mimi au ni ndugu yangu 🤣🤣🤣hahahah kwakweli mkuu tuishie hapa maan jibu nnalo...🤣🤣
kwakweliii ...pale jirani kwao tu palestina na syria kuna wananchi wanasuffer kwa maafa ya vita ,,, angewagusisha tu hata za matibabuHiyo pesa angetuletea huku Tanzania isaidie kupelekea maji tiririka vijijini.
hapo karidhikaa anaishia jela
Lazima atakuwa ni wewe ila kwakuwa lilikuwa swali public ungejibu kwa kumpakazia nduguyoKwamba ni mimi au ni ndugu yangu 🤣🤣🤣
Sasa mbona kapoteza mvuto ata wa awaliWASAALAM
Fatemeh Khishvand, anayejulikana na jina lake la Instagram Sahar Tabar ...ni mwanada wa Irani ambaye alijizolea umaarufu mnamo 2017 kwa upasuaji na mapambo , kwenye picha zake zilizoenea mtandaoni ili tu afanane na mwigizaji nguli wa hollywood ANGELINA JOLIE
View attachment 1700531
Ilisemekana kwamba alikuwa amebadilisha uso wake kupitia upasuaji wa plastiki kama mara hamsini.
View attachment 1700532
Tabar alihojiwa kwenye televisheni ya kitaifa ya Iran mnamo Oktoba 2019 baada ya kukamatwa kwa mashtaka ikiwa ni pamoja na kufuru na kupata pesa kinyume cha sheria.
View attachment 1700533
Tabar alihukumiwa kifungo cha miaka kumi mnamo Desemba 2020.
View attachment 1700534
ANGELINA JOLIE
DA'VINCI XV