T Tumwesige senior JF-Expert Member Joined Jan 28, 2013 Posts 3,506 Reaction score 6,305 Nov 13, 2024 #61 Shule inauzwaje kama mandazi bwana
MakinikiA JF-Expert Member Joined Jun 7, 2017 Posts 5,104 Reaction score 6,827 Nov 13, 2024 #62 Hii inatokana na kwamba while za Serikali za mchepuo Wa kiengeleza kuzidiwa na wanataka kupeleka kukuta nafasi zimejaa na hizo shule zipo mbili tu kuna Olympio na Diamond ,hao wananchi waongee na mkurugenzi wayajenge sio kupaniki
Hii inatokana na kwamba while za Serikali za mchepuo Wa kiengeleza kuzidiwa na wanataka kupeleka kukuta nafasi zimejaa na hizo shule zipo mbili tu kuna Olympio na Diamond ,hao wananchi waongee na mkurugenzi wayajenge sio kupaniki
Teknocrat JF-Expert Member Joined Oct 20, 2018 Posts 4,967 Reaction score 11,056 Mar 12, 2025 #63 Tupeni updates shule bado ipo?
Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 4,978 Reaction score 2,411 Mar 12, 2025 #64 Ngoja tuone