TAHURI: Tumuunge mkono Rais Magufuli katika vita dhidi ya Corona

WHO inaendelea kupiga kazi na inaenda kukamilika siku chache tu hapo mbeleni haya matamko yenu mtayageuza mnywe supu.
 
Bollen Ngetti na wenzako msimamo wangu ni MAISHA YANGU NI JUKUMU LANGU, hakuna wa kunifanyia kampeni za kisiasa kuhusu ulinzi wa afya yangu.
Tanzania kushindana na World
Health Organization (WHO) hakuna tija kwani sisi pia ni mwanachama na tulikubali masharti, Tanzania inategemea chanjo nyingi za watoto, kuzikataa wakati hatuna uwezo wa kuzitengeneza ni kujichimbia kaburi.
Nikipata Korona Bollen na wenzako hamtakuwa pembeni ya kitanda changu kuniuguza wala kuilisha familia yangu.
 
Sio wote wanaotaka hiyo chanjo rais wa zambia mwenye kachomoa ww kama wataka ngoja ije uchomwe
Weka mambo sawa.Sio kumkomoa mtu.Watu wapo na wanaona,wanasikia nk. Siku zote nyumba ya jirani ikiungua moto,wewe unakuwa karibu na maji ili kukabiliana na moto.Ndiyo maana Watu wengi wanahitaji chanjo kwa ajili ya kujikinga.[emoji347]
 
Huyu na mwenzake hakuna kichaa zaidi ya hiki. Kuna mmoja naye kule Kaskazini aliwapiga marufuku wajumbe kuvaa barakoa. Hakuna ukichaa zaidi ya huu. Kwanza hatuna ubavu wa kupingana na dunia kwa habari ya chanjo za magonjwa ya mlipuko. Mbona polio na ndui tulichanjwa? Huyu jamaa mwenyewe ana Ndui begani mwake, mbona hawakukataa?
 
Msimu wa vizabazabina!!
 
Eti wangeleta TIBA badala ya chanjo msipende kudiscus mambo ya kitaalam ki siasa zaidi VIRUS vinakufa kwa dawa gani.?
Sasa eti anataka TIBA na siyo chanjo. Anampangia nani sasa. Hiyo tiba si utafute mwenyewe? Mbona chanjo ya polio na Ndui tulichanjo? Hospitalini chanjo zipo kibao hasa kwa watoto na mama wajawazito. Mbona hawajazikataa? Kupingana na utaalamu kwa kauli za kisiasa ni ujinga. Halafu wewe kama hutaki chanjo kwa nini umkataze na mwingine? Labda wewe binafsi unataka kufa na mwingine anataka kuishi asomeshe watoto wake halafu unaanza kumkatalia alinywe dawa. Tatizo lako ni nini?

Mimi nikichanjwa wewe inakuhusu nini?
 
Hyo chanjo wangetumia wao kwanza WAPONE.
kwani lazma tupeana hizo chanjo si watuache TUFE.
Kwanini tunalazimishana hizo chanjo kuna SIRI GANI?.
mpe anayetaka asiyetaka ACHANA NAE
shida ipo wapi
Unamsemea na nani? Sema wakuache ufe wewe. Mimi naona hoja iwe anayehiyari kuchanjwa achanjwe. kwa nini unikatalie na mimi kuchanjwa kama wewe hutaki? Iwe hiyari. Wengine wameshasomesha watoto wao na wanapenda kufa na sisi wengine tunaomba uzima tuwasogeze watoto kidogo mbele. Tusikataliwe kuchanjwa.
 
unadhani hyo chanjo utapewa BURE?[emoji1787][emoji1787].
Amka wewe.
Hyo chanjo ni NA HELA SIO BURE.
 
Ni wajinga kupitiliza. Mabegani mwao kuna chanjo ya Ndui na Polio. Mbona hawakukataa? Ni muuaji kunikatalia mimi binafsi kupata chanjo. Kama chanjo ya Malaria haijapatikana na ya Corona imepatikana kwa nini uikandie hiyo chanjo ya Corona eti kwa vile ya Malaria haijapatikana. Huu ni wehu kama wehu mwingine tu. Tumekuwa Taifa majitu majinga majinga tu ya kuunga mkono hata ujinga. Mwingine kule Kilimanjaro akawazuia wajumbe wa kikao eti marufuku luvaa barakoa. Tuna shida kama Taifa. hili limjamaa limalize muda wake liondoke. litaangamiza Taifa letu.
 
unadhani hyo chanjo utapewa BURE?[emoji1787][emoji1787].
Amka wewe.
Hyo chanjo ni NA HELA SIO BURE.
Sawa. Mbona hata huduma hospitalini ni hela siyo bure. Kwani cha ajabu ni nini? Mbona hata nikifungua duka natoa hela TRA? Kama wewe huna hela si uwaache wenye hela wachanjwe?
 
Tulikubali hizo chanjo sababu watu walikuwa wanaumwa hayo magonjwa.
Sasa hivi unataka kuleta chanjo ya Corona Nani anaumwa Corona?
 
Sasa Kama una hela si uagize hyo chanjo ujichanje shida ipo wapi?
agiza chanjo yako na ya familia yako.
Sisi tuache TUFE.
Sawa. Mbona hata huduma hospitalini ni hela siyo bure. Kwani cha ajabu ni nini? Mbona hata nikifungua duka natoa hela TRA? Kama wewe huna hela si uwaache wenye hela wachanjwe?
 
Hii taasisi itanyimwa misaada si muda mrefu na huyu msemaji wazungu watakula kichwa chake soon.

Anadunisha biashara ya mzungu
Ameshatekwa Sana na wasiojulikana ameona kutekwa akulipi kaamua kuunga juhudi kuwafurahisha watekaji
 
Hii siyo taasisi ya Haki za Binadamu, ni taasisi ya siasa za JIWE, Tanzania Jiwe supporters (TAJIS). Kama kweli ni watetezi wa haki za binadamu, kwani uhai na afya siyo haki ya binadamu? Siasa tupu! Tena za k-JIWE JIWE
 
Sasa Kama una hela si uagize hyo chanjo ujichanje shida ipo wapi?
agiza chanjo yako na ya familia yako.
Sisi tuache TUFE.
Sasa unamkataza nani kuchanjwa? Chanjo ije wengine tuchanjwe nyie na Jiwe mkimbilie Chattle kama kawaida yenu. MMekaza mishingo yenu majukwaani eti hamtaki chanjo. Hovyo kabisa. Tuacheni wengine tuchanjwe, mnafoka foka majukwaani kwa ajili ya nani? Nani mnamsemea? Mbumbumbu wakubwa.
 
Sasa Kama una hela si uagize hyo chanjo ujichanje shida ipo wapi?
agiza chanjo yako na ya familia yako.
Sisi tuache TUFE.
Kweli wew mjinga wewe kama jina lako. Mnamsemea nani hayo makatazo yenu?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Wewe hela huna sema unasubiri chanjo za BURE..na chanjo ya Corona SIO BURE KAZI UNAYO.
Watu wamewekeza hela zao nyingi kwenye hizo chanjo wanataka hela zao zirudi.
Wewe gonga malimao yako gonga tangawizi zako
Kweli wew mjinga wewe kama jina lako. Mnamsemea nani hayo makatazo yenu?
 
Eti wangeleta TIBA badala ya chanjo msipende kudiscus mambo ya kitaalam ki siasa zaidi VIRUS vinakufa kwa dawa gani.?
Mkuu ujinga ni mzigo mkubwa sana kwa hili taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…