TAHURI: Tumuunge mkono Rais Magufuli katika vita dhidi ya Corona

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Wewe hela huna sema unasubiri chanjo za BURE..na chanjo ya Corona SIO BURE KAZI UNAYO.
Watu wamewekeza hela zao nyingi kwenye hizo chanjo wanataka hela zao zirudi.
Wewe gonga malimao yako gonga tangawizi zako
Kwani mimi nikichanjwa wewe shida yako ni nini?
 
Taasisi ya Haki za Binadamu, Tanzania Human Rights-Foundation (TAHURI) imetoa tamko la kuwataka Watanzania kuungana pamoja katika vita dhidi ya Shirika la Afya Duniani, WHO na Rais Magufuli huku likiwataka wananchi kumuunga mkono Rais wao.

Akiongea na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam, Katibu Mtendaji wa taasisi hiyo Bollen Ngetti amesema;

"Tunaweza kutofautiana katika mambo mengi ya kiitikadi, kimtazamo na maono lakini katika mambo ya msingi kwa nchi kama hili la chanjo ni sharti tuungane kuwa kitu kimoja".

Aidha, Ngetti ambaye ni mwandishi wa habari nchini amesema Watanzania wasikimbilie tu athari za kiafya kwa chanjo hiyo na badala yake waangalie athari za kiuchumi.

"Tutambue kuwa dunia iko katika vitu kubwa ya kiuchumi. Kama Tahuri hatutajikita sana katika athari za kiafya za chanjo hiyo lakini tufikirie ni fedha kiasi gani chanjo hiyo itaswaga?"

"Ikumbukwe kwamba, kwa mujibu wa WHO ili nchi za ki-Afrika kupata chanjo kutoka makampuni yaliyojiorodhesha kwenye mkataba wa COVAX ambayo ni BioNTech na Moderna itazigharimu kiasi cha Dola za Marekani kati ya 7-11 kwa chanjo moja".

Ngetti ameendelea kusema, "kwa Tanzania pekee kama Rais Magufuli ataruhusu chanjo itatugharimu Tsh104Trilioni kwa idadi ya watu wetu nchi nzima. Hii ni fedha nyingi sana kwa nchi changa kama sisi".

Ngetti amefafanua kuwa fedha hizo zitatakiwa kukopwa kutoka Benki ya Dunia kwa udhamini wa ADB na itachukua miaka zaidi ya kumi kuzirejesha kwa riba ya asilimia 7.2.

Aidha, Ngetti amehoji, "kama nia njema kwa nini wazungu wamekimbilia kutafuta chanjo badala ya tiba kamili? Walijua kwa tiba utahitaji dozi chache sawa na idadi ya walioambukizwa ambao kwa sasa ni milioni 100 lakini kinga utacheza namba ya watu duniani".

"Jambo la pekee kama Taifa tunalotakiwa kufanya ni kufuata masharti ya kujikinga huku tulifanya kazi kwa bidii, huu ni upepo unaovuma na kupita, tusiondoshwe kwenye reli".

Ngetti amemaliza kwa kusema, "Magufuli si kichaa, wala hana historia ya ukichaa, anatutakia mema tusimvunje moyo. Lakini pia wataalamu wetu nao wakeshe maabara kukuna vichwa aidha kuchunguza chanjo hizo au kugundua za kwetu kama Waganda wanavyofanya"

My Take: Kwa vita hii tutashuhudia na kusikia mengi. Vita hii ya Magu na wanasayansi itaibua makubwa. Subiri tuone!
Kwa hiyo shida si chanjo bali umasikini wetu siyo?
 
Corona ni BIASHARA.
ukilijua hili Wala hautapata tabu na Corona.
Biashara na mtambo wa kugerenete pesa za kutatua matatizo yanayomkabili binadamu mkuu yaani makert based soln.Katika gani lingine linalomhusu mtu ambayo si biashara?
 
Kwenye Corona wameweka pesa nyingi sana tofauti na chanjo nyingine
Ndo Mana wanalazimisha pesa zao zirudi

Baada ya ukimya mrefu Leo TAHURI wamejitokeza, nyie watetezi wa watu sasa kuna kazi ya kufanya mkifanikiwa mtapata thawabu kwa mwenyezi Mungu.

Wazee wastaafu wamenyimwa mafao yao ya mwezi ya NSSF, kiss cha kunyimwa hawakujihakiki! Hawa walionyimwa hawakupewa taarifa ya kujihakiki lakini sasa wamejitokeza kuwa bado hawajafa!

Hata hivyo hawapewi pesa mpaka mwezi wa pili! Tatizo ni la NSSF kutotoa taarifa kupitia namba za wazee hawa ambao baadhi yao hata kumbukumbu imepungua. Pensheni za wazee hawa ni ndogo sana, sasa hawa wazee wasioweza kufanyavibarua wataishije bila pesa?

TAHURI chukueni jukumu la kuatetea walipwe kwa kumuona waziri Jenista Mhagama ili awaelekeze NSSF wawalipe.
 
Hyo chanjo wangetumia wao kwanza WAPONE.
kwani lazma tupeana hizo chanjo si watuache TUFE.
Kwanini tunalazimishana hizo chanjo kuna SIRI GANI?.
mpe anayetaka asiyetaka ACHANA NAE
shida ipo wapi
Sasa kama haujui,chango wametumia wao na wengine maelfu wamejioroshesha kutumika kama sehemu ya utafiti wa chanzo.sisi huku shithole shida yetu ni ujinga na umaskini
 
Andaa hela mfuko wa shati .
HAKUNA chakula Cha bure
Achani kujifanya mnatupenda na kutusemea kila kitu kwa ujinga wenu wa kufikiri mnayajua sana mahitaji yetu. Acha mimi nichanjwe hata kwa hela yangu.
 
Taasisi ya Haki za Binadamu, Tanzania Human Rights-Foundation (TAHURI) imetoa tamko la kuwataka Watanzania kuungana pamoja katika vita dhidi ya Shirika la Afya Duniani, WHO na Rais Magufuli huku likiwataka wananchi kumuunga mkono Rais wao.

Akiongea na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam, Katibu Mtendaji wa taasisi hiyo Bollen Ngetti amesema;

"Tunaweza kutofautiana katika mambo mengi ya kiitikadi, kimtazamo na maono lakini katika mambo ya msingi kwa nchi kama hili la chanjo ni sharti tuungane kuwa kitu kimoja".

Aidha, Ngetti ambaye ni mwandishi wa habari nchini amesema Watanzania wasikimbilie tu athari za kiafya kwa chanjo hiyo na badala yake waangalie athari za kiuchumi.

"Tutambue kuwa dunia iko katika vitu kubwa ya kiuchumi. Kama Tahuri hatutajikita sana katika athari za kiafya za chanjo hiyo lakini tufikirie ni fedha kiasi gani chanjo hiyo itaswaga?"

"Ikumbukwe kwamba, kwa mujibu wa WHO ili nchi za ki-Afrika kupata chanjo kutoka makampuni yaliyojiorodhesha kwenye mkataba wa COVAX ambayo ni BioNTech na Moderna itazigharimu kiasi cha Dola za Marekani kati ya 7-11 kwa chanjo moja".

Ngetti ameendelea kusema, "kwa Tanzania pekee kama Rais Magufuli ataruhusu chanjo itatugharimu Tsh104Trilioni kwa idadi ya watu wetu nchi nzima. Hii ni fedha nyingi sana kwa nchi changa kama sisi".

Ngetti amefafanua kuwa fedha hizo zitatakiwa kukopwa kutoka Benki ya Dunia kwa udhamini wa ADB na itachukua miaka zaidi ya kumi kuzirejesha kwa riba ya asilimia 7.2.

Aidha, Ngetti amehoji, "kama nia njema kwa nini wazungu wamekimbilia kutafuta chanjo badala ya tiba kamili? Walijua kwa tiba utahitaji dozi chache sawa na idadi ya walioambukizwa ambao kwa sasa ni milioni 100 lakini kinga utacheza namba ya watu duniani".

"Jambo la pekee kama Taifa tunalotakiwa kufanya ni kufuata masharti ya kujikinga huku tulifanya kazi kwa bidii, huu ni upepo unaovuma na kupita, tusiondoshwe kwenye reli".

Ngetti amemaliza kwa kusema, "Magufuli si kichaa, wala hana historia ya ukichaa, anatutakia mema tusimvunje moyo. Lakini pia wataalamu wetu nao wakeshe maabara kukuna vichwa aidha kuchunguza chanjo hizo au kugundua za kwetu kama Waganda wanavyofanya"

My Take: Kwa vita hii tutashuhudia na kusikia mengi. Vita hii ya Magu na wanasayansi itaibua makubwa. Subiri tuone!
Hili ndio tamko zito? Anaetoa tamko wala hajitambui. Anaongelea matibabu kwenye virus?
 
Kwenye Corona wameweka pesa nyingi sana tofauti na chanjo nyingine
Ndo Mana wanalazimisha pesa zao zirudi
Kwa hiyo wao wainvest billions of money kufanya utafiti,kisha wapate chanjo then wewe kwa umaskini wako unaanza kuziponda eti vita vya kiuchumi,kumbe si vita vya kiuchumi bali umasikini wenu,sasa si muombe msaidiwe?
 
Hyo chanjo wangetumia wao kwanza WAPONE.
kwani lazma tupeana hizo chanjo si watuache TUFE.
Kwanini tunalazimishana hizo chanjo kuna SIRI GANI?.
mpe anayetaka asiyetaka ACHANA NAE
shida ipo wapi
Toka lini hawa weupe wakawa na msada na wewe ? Kinachoshangaza hiii kitu kulazimishaaa. Watupe mfano wa aliechanja akawa salama, ndo na sisi tuchanje
 
Kwani umeambiwa hyo chanjo Niya bure?
Sasa kama haujui,chango wametumia wao na wengine maelfu wamejioroshesha kutumika kama sehemu ya utafiti wa chanzo.sisi huku shithole shida yetu ni ujinga na umaskini
 
Unachelewa..
Nenda kachanjwe uje utupe mrejesho
Achani kujifanya mnatupenda na kutusemea kila kitu kwa ujinga wenu wa kufikiri mnayajua sana mahitaji yetu. Acha mimi nichanjwe hata kwa hela yangu.
 
Maisha ya mwanadamu ni muhimu kuliko kitu chochote duniani ikiwemo uchumi na hizo trillioni ulizotaja.
Huwezi kuacha kukopa hela kumtibia mwanao, mkeo babako au mamako ukitamani wafe ili usidaiwe 🙄 🙄 🙄 🙄
Rais wetu ana sema uchumi wetu huwezi ukaulinganisha na kitu chochote hivyo hawezi akisimamisha ujenzi wa SGR au flyover au Mwalim hydropower eti kisa corona.Sasa kwa akili yake sijui kama huo uchumi upo kwa ajili ya watu na bila watu huo uchumi is nothing
 
Watusaidie kwa lipi wakati hatuna magonjwa wa Corona?
Hao wamefeli target yao ilikuwa waje wauze Africa ila MUNGU kawaumbua.
Waondo wanakufa kwa wingi na dawa haifanyi kazi
Kwa hiyo wao wainvest billions of money kufanya utafiti,kisha wapate chanjo then wewe kwa umaskini wako unaanza kuziponda eti vita vya kiuchumi,kumbe si vita vya kiuchumi bali umasikini wenu,sasa si muombe msaidiwe?
 
Watusaidie kwa lipi wakati hatuna magonjwa wa Corona?
Hao wamefeli target yao ilikuwa waje wauze Africa ila MUNGU kawaumbua.
Waondo wanakufa kwa wingi na dawa haifanyi kazi
Kujitoa ufahamu hakujawahi kuwa solution ya Tatizo,mwambie Jamaa yako aache kujificha arudi mjini,mwanaume hakimbiagi matatizo
 
Wao walipiga hesabu zao waje kuuza Africa.sasa mungu NAE Ana mipango yake wanaokufa niwao.
Kufa TUFE sisi huruma waone wao.
Malawi mpaka sasa wamepoteza mawaziri wanne,si nchi zote africa wanejitoa ufahamu
 
Back
Top Bottom