Papy ndombe
JF-Expert Member
- Oct 24, 2020
- 3,761
- 4,535
Hata zisipokuja huo ubavu hana.Inaonekana watu wanataka hizo chanjo zije ili wamkomoe Magufuli kuonesha kuwa hana ubavu wa kushindana na Wazungu.
Na kuna mbwa wanabweeeka wakililia chanjoNaona kama inatumika nguvu kubwa kwenye hizi chanjo.
Bora uyaambie hayo ma ccm maana hata hesabu hayajui! Hata hesabu hayajui eti trillion 100 na zaidi! Actually Bei ya chanjo haizidi $5, hii mijitu haikuulizwa swali? Na nyiye mnao msupport Mjinga huyo na hesabu zake za uongo hamjui math?? Au ndo wale wale ass kissers! Hii awamu imefanya watu wawe ma chawa na akili za kudumaa, kazi kusifia ujinga tuu.tuseme watanzania tupo million 70. Chanjo moja iwe usd 11.
so total cost itakua 70,000,000 x 11 =770,000,000usd ambayo ni sawa na tshs 1,925,000,000,000 (trillion 1.925 kwa rate ya 2500)
sasa hiyo 104 trillion ni pamoja na derivery au? saa zingine uongo aufai.
Ni maoni yako.Ngeti anasaka uteuzi kishamba kwa njia haramu za kishetani
Hata zisipokuja huo ubavu hana.
Hicho kipimo wanalumumba wako njiani wanaenda huko kupimwa,wakiongozwa na motochini,bia yetu,etwege,wakudavadua,troll jf,....washirika wao kimaendeleo ndio wamewaamini kwa hiyo chanjo kuliko mabeberuView attachment 1688930
Hivi kipimo kipya cha covid kinachukuliwa hivi???bora nifwe
Kama aliyekubali kuchanjwa hata pata tena corona basi haina haja ya kumlazimisha ambaye hataki kwani hatawaambukiza watu wako uliowachanja.Eti wangeleta TIBA badala ya chanjo msipende kudiscus mambo ya kitaalam ki siasa zaidi VIRUS vinakufa kwa dawa gani.?
Afya / Uhai wa mtu una gharama kiasi gani ?Aidha, Ngetti ambaye ni mwandishi wa habari nchini amesema Watanzania wasikimbilie tu athari za kiafya kwa chanjo hiyo na badala yake waangalie athari za kiuchumi.
Dola 7 - 11 kwa individual ni kiasi gani ?, Hii statement ingekuwa valid kama tungekuwa kweli tuna sera za afya bure ila hata hivi sasa mwendo wa kununua madawa na Bima zisizo rafiki mwananchi anagharamika sana katika matibabu (watu wameuza nyumba na wengine maiti zao kuzuiwa mahospitali"Ikumbukwe kwamba, kwa mujibu wa WHO ili nchi za ki-Afrika kupata chanjo kutoka makampuni yaliyojiorodhesha kwenye mkataba wa COVAX ambayo ni BioNTech na Moderna itazigharimu kiasi cha Dola za Marekani kati ya 7-11 kwa chanjo moja".
Naam ni nyingi sana kwahio alternatively ni kupata ruzuku (kama tunavyopata kwenye magonjwa mengine) au kama, nilivyosema in the end indivuduals wanaweza wakachangia, hivi panadol, na dawa nyingine ni bure ?Ngetti ameendelea kusema, "kwa Tanzania pekee kama Rais Magufuli ataruhusu chanjo itatugharimu Tsh104Trilioni kwa idadi ya watu wetu nchi nzima. Hii ni fedha nyingi sana kwa nchi changa kama sisi".
Is that the only alternative ?, by the way kwa nchi tajiri kama wenzetu waingereza kwanini tukope ?Ngetti amefafanua kuwa fedha hizo zitatakiwa kukopwa kutoka Benki ya Dunia kwa udhamini wa ADB na itachukua miaka zaidi ya kumi kuzirejesha kwa riba ya asilimia 7.2.
Wazungu wabaya sana sasa kuwakomoa si tutengeneze dawa sisi au akili zetu ni tofauti na zao ?, badala ya kulalamika kama kuna alternative tutengeneze sisi dawa tuwauzie wote...Aidha, Ngetti amehoji, "kama nia njema kwa nini wazungu wamekimbilia kutafuta chanjo badala ya tiba kamili? Walijua kwa tiba utahitaji dozi chache sawa na idadi ya walioambukizwa ambao kwa sasa ni milioni 100 lakini kinga utacheza namba ya watu duniani".
Yap watakaokufa na wafe by the time upepo unapita..., na sababu hakuna nayeijua kesho ni jukumu la mwanadamu kutumia kila mbinu ya kupambana, hizo chanjo / tiba hazitoki kwenye miti, hence ningemuona wa maana angehimiza taasisi zetu zisaidiane na taasisi zote ulimwenguni kutafuta chanjo na dawa ya magonjwa haya na mengine yatakayokuja kesho na keshokutwa (kwenye uhai hakuna ya kwetu au ya kwao, kuna inayofanya kazi au haifanyi)....., likipita hili litakuja jingine (kwa ulimwengu wa sasa wa muingiliano na uchafuzi wa mazingira hio ni inevitable..."Jambo la pekee kama Taifa tunalotakiwa kufanya ni kufuata masharti ya kujikinga huku tulifanya kazi kwa bidii, huu ni upepo unaovuma na kupita, tusiondoshwe kwenye reli".
Mimi ndio nashindwa kuelewa maana hao wazungu wenyewe wengine bado hawajachanja wanasikilizia hadi sasa ila huku naona watu wanazililia kabisa.Na kuna mbwa wanabweeeka wakililia chanjo
Kwa nini?Hata zisipokuja huo ubavu hana.
Bulesi unaaminika hapa JF ila hapa umeonyesha kuunga mkono nadharia potofo za Magufuli ambazo nazifananisha na porojo za kwenye vilabu vya mataputapu. Nitaelezea.Hoja ya JIWE kuwa tusikubali mambo kichwa kichwa mradi yametoka kwa wazungu ni ya msingi. Hawa wanasayansi wetu wanatakiwa wawe msaada wakati huu kama sio kutafiti juu ya chanjo wajitahidi kuangalia kama hizo chanjo zinaweza kuwa na madhara gani kwetu!! Hakuna taasisi yenye moral authority kutulazimisha juu ya chanjo ambayo hatuna uhakika nayo.
Ni kweli nchi yetu ukiifananisha na majirani zetu hatukupoteza watu wengi huko nyuma [ maybe because of HERD IMMUNITY!}; tuangale kama zile hatua za NYUNGU na kuvaa barakoa na social distancing zilikuwa na msaada kuweza kuepuka vifo vingi!
Wale mataga wnaojipendekeza waache kabisa tabia ya kuwadanganya watu kuwa corona haipo nchini bali wawahimize watu kulinda maisha yao kama wanasayansi wanavyotuhimiza; tabia ya kuwanyanyapaa wanao vaa barakoa ni lazima ikemewe na viongozi wa nchi. Hizi chanjo mpaka sasa hakuna mtu mwenye uhakika nazo kuhusu umahili wake wa kuzuia hivyo sio vibaya tukawa na subira wakati tunajihakikishia kuwa uamuzi tutakaofanya juu ya chanjo utakuwa na faida za muda mrefu kwa nchi!
Swali la kizushi " KWANINI BILL GATES; MFADHILI MKUBWA WA HIZI CHANJO , YEYE NA FAMILIA YAKE HAWAJAONESHWA WAKIPATA HIZO CHANJO?"
Sijui nikushukuru vipi? Huyu Ngetti hana weledi wowote. Huwezi kuwa mweledi ukatumika kama Musiba. Toilet tissue. Alikotupwa mtangulizi wake panamhusu.Ni takriban miaka miwili jina la Cyprian Musiba limesikika sana kwenye vyombo vya habari akiwa ni wakili wa Rais Magufuli akimtetea kwa kila jambo huku akiwatukana wakosoaji wa Rais.
Kazi hiyo Musiba ameifanya kwa muda mrefu kupitia magazeti aliyopewa na "kitengo" yakichapishwa Malindi Printers ambayo ni kampuni ya TISS ya uchapaji.
Taarifa zilizopo ni kwamba kwa sasa kazi hiyo ya kumsifu na kuabudu amepewa Mwandishi Bollen Ngetti ambaye amejitokeza hadharani kumuunga mkono Rais Magufuli na msimamo wake kuhusu Chanjo kupitia taasisi ya Tanzania Human Rights-Foundation, (TAHURI).
Chanzo changu kimedokeza, "ndugu yangu sasa ni zamu ya Bollen Ngetti, kijana msomi na mweledi lakini amekubali kutumika, inauma sana. Ngetti aliaminika sana na wapenda demokrasia japo pia inadaiwa ni wa kitengo. Kifupi tumempoteza kijana huyu ambaye huwezi kujua anakoishi jijini Dar'.
Kwa sasa Musiba amesitishiwa huduma zote za hifadhi naona toleo jipya ni Bollen Ngetti. Walio karibu naye wamwondoe huko mapema atetee wanyonge.
Bulesi unaaminika hapa JF ila hapa umeonyesha kuunga mkono nadharia potofo za Magufuli ambazo nazifananisha na porojo za kwenye vilabu vya mataputapu. Nitaelezea.
1. Umesema hatukupoteza watu wengi kulinganisha na majirani zetu. Hili siyo kweli. Tanzania watu alifariki sana mwaka jana hasa kipindi kile wanazika watu usiku. Kulikuwa na marufuku ya kutoa idadi ya wanaofariki. Na zaidi kwa vile hakukuwa na data zozote wagonjwa na vifo basi huwezi kulinganisha.
2. Tanzania hakukuwa na hatua ya social distancing hata kidogo na badala yake naweza kusema kulikuwa na ''social closeness''. Watu walihimizwa kujilundika kwenye nyumba za ibada ambako nako kulikuwa na maambukizi na vifo ambavyo vilifichwa. Barakoa nazo zilivaliwa muda mfupi sana na ''Kivuruge'' akaanza kuzi-crash kwenye hotuba zake hivyo zikaachwa.
3. Kuhusu chanjo kufanyiwa uchunguzi nakubaliana nalo (japo nina uhakika kuwa uwezo huo hatuna). Kufanyiwa uchunguzi siyo dhambi na hata nchi za Ulaya (EU) wataalam wao wamefanya uchunguzi kwanza, Uingereza nako hivyo hivyo USA nako zilifanyiwa kabla ya kuruhusu kutumika. Tatizo la Tanzania ni Kivuruge alipoamua kutoa kauli ya kusema chanjo siyo salama badala ya kuachia wataalam wanaohusika kufanya kazi yao.
4. Kuhusu Bill Gates kuchanjwa. Ndiyo alishachajwa. Na kwa taarifa yako ni kuwa siyo mtu kwenye kila familia anachanjwa. Chanjo imeanzia kwa wahudumu wa afya, watu walio kwenye risk na watu wenye umri mkubwa.
Microsoft founder Bill Gates receives first dose of Covid vaccine
Gates has been a top target of conspiracy theories related to the Covid-19www.business-standard.com