Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Kwamba wananchi wanalalama juu ya ugumu wa maisha. Biashara ngumu huku mzunguko wa pesa upo chini.
Ajira za kugombania kama watoto wanagombania peremende.
Tozo lukuki kama vile hakuna vyanzo mbadala vya kulipatia mapato taifa.
Watanzania mpaka ifike 2025 mtakuwa watu wa kulialia na kulalama tu.