Taifa kuwa na Rais asiyeweza kudhibiti Ubadhirifu na Wizi wa Mali za Umma ni taifa linaloangamia na kupotea

Wanasama ukiona mto unapita karibu yako,basi chimba kimfereji kije nyumbani kwako nawe ule asali,maana hata ukilalamika haisaidii kwa sasa.
Una uhakika? Hii ni haki ya kikatiba kutoa maoni acha kuniingilia shwain mkubwa
 
Mwaka 1972, Mwalimu alimwambia baba yangu, " wewe nakuamini kwa kuwa si mtoto wa masikini tu aliyesomeshwa kwa kilimo cha kahawa, bali kwa kuwa una hofu ya Mungu, umeelimika na umelelewa na kufunzwa kutumikia Watanzania wenzako kwa haki".

Nani amekwambia wezi ni watoto wa matajiri!!??

Nani amekwambia masikini ndiye mwenye uchungu na hii Tanzania!!??

Mwigulu ni mtoto wa masikini.
Vasco Da Gama ni Mtoto wa masikini.
Lupaso ni mtoto wa masikini.
Mkuranga 1 ni mtoto wa masikini.
Balozi A.M ni mtoto wa masikini.
Mpaka piko ni mtoto wa masikini.
Mramba, Yona, Jiwe, wote ni watoto wa masikini.

Moyo wa mtu kichaka.
 
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji23][emoji23]
Nyankurungu acha dhihaka na kedi kwa kuwa bado unauota utawala uliopita ilihali jua linaendelea kuchomoza kila uchao.....

Hivi ni taifa gani ambalo mali za umma haziibiwi hata chembe?!!!

Hivi utawala uliopita ulikomesha [emoji817] ubadhirifu na wizi wa mali za umma??!![emoji23][emoji23]

#Mh.SamiaAnaendeleaKulipambaniaTaifaNdaniYaUongoziWake

#Mh.SamiaHatomalizaWiziWoteWaMaliZaUmma


#SiempreJMT[emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…