Taifa kuwa na Rais asiyeweza kudhibiti Ubadhirifu na Wizi wa Mali za Umma ni taifa linaloangamia na kupotea

Taifa kuwa na Rais asiyeweza kudhibiti Ubadhirifu na Wizi wa Mali za Umma ni taifa linaloangamia na kupotea

Waliamua kuajiri watu wao watoto wa vigogo , wacha wawaangushe, ukimuajiri mtu maskini hataibia serikali, angalau atakuwa na uchungu na nchi yake, ukimuajiri mtoto wa kigogo , ndo ataiba vizuri kwa sababu amekwishazoea pesa. Huu wizi Ni matokeo ya kupeana connection za wao kwa wao. Hatuhitaji mtu msomi saana kwenye hizo nafasi, tunahitaji mtu asiyeweza kuiibia serikali. Period.
Mwaka 1972, Mwalimu alimwambia baba yangu, " wewe nakuamini kwa kuwa si mtoto wa masikini tu aliyesomeshwa kwa kilimo cha kahawa, bali kwa kuwa una hofu ya Mungu, umeelimika na umelelewa na kufunzwa kutumikia Watanzania wenzako kwa haki".

Nani amekwambia wezi ni watoto wa matajiri!!??

Nani amekwambia masikini ndiye mwenye uchungu na hii Tanzania!!??

Mwigulu ni mtoto wa masikini.
Vasco Da Gama ni Mtoto wa masikini.
Lupaso ni mtoto wa masikini.
Mkuranga 1 ni mtoto wa masikini.
Balozi A.M ni mtoto wa masikini.
Mpaka piko ni mtoto wa masikini.
Mramba, Yona, Jiwe, wote ni watoto wa masikini.

Moyo wa mtu kichaka.
 
Angalia raia maskini wanavyohangaika kulima kwa jembe la mkono na kulipa kodi na tozo kandamizi.

Angalia wavuvi ambao hawalali na familia zao wanalipa kodi na tozo kandamizi huku wakikesha majini na kuteseka.

Alafu mkuu wa nchi anakuwa dhaifu na kuacha pesa za umma zinaibiwa kama peremende kwenye duka la mhindi.

Mbaya zaidi ni kuwa Tv ipo Magogoni ila rimoti ipo Msoga.

Marais kama Julius Nyerere, Nkwame Krumah, John P Magufuli, Patrik Lumumba na Thomas Sankara watakumbukwa kwa kulinda mali za Afrika.
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji23][emoji23]
Nyankurungu acha dhihaka na kedi kwa kuwa bado unauota utawala uliopita ilihali jua linaendelea kuchomoza kila uchao.....

Hivi ni taifa gani ambalo mali za umma haziibiwi hata chembe?!!!

Hivi utawala uliopita ulikomesha [emoji817] ubadhirifu na wizi wa mali za umma??!![emoji23][emoji23]

#Mh.SamiaAnaendeleaKulipambaniaTaifaNdaniYaUongoziWake

#Mh.SamiaHatomalizaWiziWoteWaMaliZaUmma


#SiempreJMT[emoji120]
 
Back
Top Bottom