Taifa la Israel halina uhalali wa kumiliki Gaza

Taifa la Israel halina uhalali wa kumiliki Gaza

Kosugi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2019
Posts
16,166
Reaction score
25,197
Israel haina mamlaka juu ya Gaza wala Jerusalem wala West bank. Israel ilivamia tu maeneo hayo ya Palestine toka miaka ya 1960s.

Palestine ilikuwepo na kihistoria ilitawaliwa na Uingereza. Je, Taifa la Israel lilitawaliwa na nani?

Maana ijulikanavyo kuna jamii ya wana wa israel ila hakuna na hakukuwahi kuwa na taifa la Israel.

USA inalazimisha illegal westbank settlements zilizojengwa na Israel kwa uvamizi ziwe legalized ilhali yale maeneo waisrael wamevamia.
 
Sina tatizo la kuwaita wengine HARAMU cause kila mtu ana mtazamo wake; nina tatizo kidogo juu ya uelewa wako wa mambo; yaani unaanza kuizungumzia Israel wakati wa ukoloni? So kwa maneno mengine hujui chochote kuhusu mfalme Daudi, nabii Musa, Suleiman, Yesu nk?
 
Umeelewa nini nazungumzia?Nazungumzia taifa la Israel halikuwahi kuwepo.

Bali kulikua na jamii ya wana wa israel ambayo ilikua ni jamii ya kuhamahama.Walikaa maeneo karibia na Misri wakahamia uarabu Saudia wakahamia Ulaya walipita mpk upersi ndipo wakaja kulazmisha kuunda taifa Palestina kinguvu.

Tofautisha jamii na taifa. Nadhani umenielewa.Maana hata waturuki ambao jamii yao ni turkmeni na fursi wao waliunda himaya iitwayo Ottoman ndio ikaja kuitwa Uturuki sehemu moja maalum walipozaliana mpk sasa, ila ukizungumzia Israel kwao ni tofauti hawakuwahi kuwa na taifa wao ni wa kuhama hama.Nadhani umeelewa nachozungumza.
 
Israel haina mamlaka juu ya Gaza wala Jerusalem wala West bank.Israel ilivamia tu maeneo hayo ya Palestine toka miaka ya 1960s. Palestine ilikuwepo na kihistoria ilitawaliwa na Uingereza. Je Taifa la Israel lilitawaliwa na nani!? Maana ijulikanavyo kuna jamii ya wana wa israel ila hakuna na hakukuwahi kuwa na taifa la Israel. USA inalazimisha illegal westbank settlements zilizojengwa na Israel kwa uvamizi ziwe legalized ilhali yale maeneo waisrael wamevamia.

Takbiiir...[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Sina tatizo la kuwaita wengine HARAMU cause kila mtu ana mtazamo wake; nina tatizo kidogo juu ya uelewa wako wa mambo; yaani unaanza kuizungumzia Israel wakati wa ukoloni? So kwa maneno mengine hujui chochote kuhusu mfalme Daudi, nabii Musa, Suleiman, Yesu nk?
Then Daud na Suleyman walikua wa palestine.

Sio watawala wa waisraeli km unavyodai.

Ushahidi kamili maeneo ambayo kihistoria yalikaliwa intensively na waisraeli na maeneo ukanda wa sham karibu na waisrael hata alama za archeology za Yesu na Mussa zipo baina ya Misri na Sham ambako ni mbali na Palestina.

Pia Jerusalem kumegundulika misikiti iliyowahi jengwa toka miaka ya 500 wala hakuna hekalu wala nn.Huo ushahidi wa Israel kuidai Jerusalem unatoka wapi?
 
Then Daud na Suleyman walikua wa palestine.
Sio watawala wa waisraeli km unavyodai.
Ushahidi kamili maeneo ambayo kihistoria yalikaliwa intensively na waisraeli na maeneo ukanda wa sham karibu na waisrael hata alama za archeology za Yesu na Mussa zipo baina ya Misri na Sham ambako ni mbali na Palestina .
Pia Jerusalem kumegundulika misikiti iliyowahi jengwa toka miaka ya 500 wala hakuna hekalu wala nn.Huo ushahidi wa Israel kuidai Jerusalem unatoka wapi?
Yes walikua wafalme wa Palestine but hao walikua ni Waisrael, kumbuka mfalme Daudi alipewa ufalme baada ya kumuua kamanda mkuu wa vikosi wa kivita wa Wapalestina, zamani walijulika kama wafilisti, au Philistines ambao ndio hawa hawa Wapaletina wa leo; kwa ufupi hawa watu wana ugomvi wa miaka na miaka na sio issue ya kutawaliwa na Uingereza au laa.

Labda nikupe story ndogo ya huyu waziri mkuu wao wa sasa hivi huyu bwana Benyamini Netanyahu; Huyu jamaa baba yake mzee Netanyahu alikua mwalimu wa dini (rabi) moja kati ya wanae huyu mzee ni huyu waziri mkuu wa sasa na kaka yake aliitwa Jonathan, huyu Jonathan ndiye aliyeongoza ile kitu inaitwa 90 minutes in Entebe, Benyamini alizaliwa hapo hapo mashariki ya kati/Israel/Palestine na huyo kaka yake alizaliwa USA, why USA ni kwamba huyo mzee alikua anatakiwa kwenda kufundisha Wayahudi wenzie huko oversees na wakati mwingine anatakiwa kurudi nyumbani, remember wote hawa wamezaliwa enzi za ukoloni wa Uingereza.
 
Umeelewa nini nazungumzia?Nazungumzia taifa la Israel halikuwahi kuwepo.Bali kulikua na jamii ya wana wa israel ambayo ilikua ni jamii ya kuhamahama.Walikaa maeneo karibia na Misri wakahamia uarabu Saudia wakahamia Ulaya walipita mpk upersi ndipo wakaja kulazmisha kuunda taifa Palestina kinguvu.Tofautisha jamii na taifa.Nadhani umenielewa.Maana hata waturuki ambao jamii yao ni turkmeni na fursi wao waliunda himaya iitwayo Ottoman ndio ikaja kuitwa Uturuki sehemu moja maalum walipozaliana mpk sasa.ila ukizungumzia Israel kwao ni tofauti hawakuwahi kuwa na taifa wao ni wa kuhama hama.Nadhani umeelewa nachozungumza.
Kwani kama haikua taifa, hao kina Daudi, Suleiman walikua na vyeo gani? Si walikua Wafalme mkuu? Unaweza kua mfalme na hauna taifa unalo liongoza?
 
Moderator edit heading hiyo ya kichawi vinginevyo na wewe utakuwa walewale.

Wewe mleta uzi utapata tabu sana dunia walikuwepo, wamekwishakufa, wengine wako hoi taabani, wengine wamezaliwa wanarithishwa mitizamo kama yako ila juhudi zao ni sawa na kuendesha baskeli ya kunolea kisu ukitegemea itakufikisha mahala!
Mkuu,umenena kwa Hisia Sana wewe nawe ni Ashkenaz?Huwezi tatua tatizo kwa kuzalisha tatizo. Huwezi kuwanyang'anya Wapalestia Utaifa wao kwa kuwapa Waisraeli Utaifa Wao. Najua hutaelewa kwa sasa ila siku ukielewa utajua kwamba Kama kweli Waisrael walikuwepo basi wameshakuwa extinct. All in all ya kitabu tuyaache kitabuni
 
Then Daud na Suleyman walikua wa palestine.
Sio watawala wa waisraeli km unavyodai.
Ushahidi kamili maeneo ambayo kihistoria yalikaliwa intensively na waisraeli na maeneo ukanda wa sham karibu na waisrael hata alama za archeology za Yesu na Mussa zipo baina ya Misri na Sham ambako ni mbali na Palestina .
Pia Jerusalem kumegundulika misikiti iliyowahi jengwa toka miaka ya 500 wala hakuna hekalu wala nn.Huo ushahidi wa Israel kuidai Jerusalem unatoka wapi?
Unayajua makabila yao hao kina Suleiman na Daudi? Well, kabila la Musa je? Na je hayo ni makabila ya Israel au Palestina? Unauzungumzia msikiti wenye miaka 500; hivi unafahamu hapo ulipojengwa msikiti kabla palikua na nini?

Kaisome vizuri historia ya Waisrael/Wayahudi, Wapalestina na Waarabu then soma historia ya Ukristo, Judaism na uislam; ukivijua hivyo wala haitakupa shida. Sema mambo hayo yamekaa kishabiki sana huku Africa cause wengi wataelemea kwenye dini zao/zetu badala ya facts.
 
kasome Kutoka 6:1-13:

Vitabu vitakatifu vinasema kwamba ni Taifa teule la Mungu - Historia na dini inatwambia walikuwa uhamishoni Misri kufanyishwa kazi ngumu enzi ya Farao - na kwa sababu lilikuwa ni agano la Mungu na baba yao Ibrahim, Isaka na Yakob basi Mussa nabii wa Mungu akaambiwa awatoe Misri na kuwapekeka Kaanani kwenye nchi yao ya ahadi aliyokabidhiwa baba yao Ibrahim na Mungu Mwenyezi.

Ni nchi ndogo ila ina watu waliobarikiwa sana.!! na wengi wao wamesambaa duniani.
 
... hakuna nchi; wala kabila; wala taifa; wala kipande chochote kiwacho cha ardhi ambacho mipaka yake imejulikana tangu kale; mipaka yake ni imara; ramani ya mipaka yake imetunzwa kwenye droo za Kiti cha Enzi kama ilivyo mipaka ya Taifa la Israel.

Yaani iko hivi, Mwenye Kiti cha Enzi, "akivuta droo" lenye ramani mbalimbali za uumbaji wake, ni Taifa la Israel pekee ambalo ramani yake OG inapatikana kwenye droo hizo tofauti na mataifa mengine ambayo ramani zake utazipata UN na kwenye makabati yaliyojaa vumbi na mende.
 
Then Daud na Suleyman walikua wa palestine.
Sio watawala wa waisraeli km unavyodai.
Ushahidi kamili maeneo ambayo kihistoria yalikaliwa intensively na waisraeli na maeneo ukanda wa sham karibu na waisrael hata alama za archeology za Yesu na Mussa zipo baina ya Misri na Sham ambako ni mbali na Palestina .
Pia Jerusalem kumegundulika misikiti iliyowahi jengwa toka miaka ya 500 wala hakuna hekalu wala nn.Huo ushahidi wa Israel kuidai Jerusalem unatoka wapi?

Vitabu vya kiimani na kihistoria vinasema Daudi na Suleman ni wafalme wa kiYahudi (Jews). Palestina kma eneo limetambuliwa wakati wa ukoloni lakini kihistoria miji ya kiyahudi kma Nazareth, Yudea, Galilaya ilikiwepo tangu wafalme wa kale wa Wayahudi. Ni kweli wayahudi ambao ndo taifa la Israeli walisambaa na kupoteza utaifa ila eneo walilopo sasa kijiografia na historia ndio haswa asili yao na vizazi vyao viliishi hapo hakuna pengine.
 
12 tribes of Israel....

ukijua hilo utajua kuwa hawa jamaa(Wayahudi), ni sawa na Kabila la Wamasai hawana nchi isipokuwa walikuwa wamezagaa kimakundi makundi mashariki ya kati na sasa Wamezagaa Dunia nzima
 
Back
Top Bottom