Yes walikua wafalme wa Palestine but hao walikua ni Waisrael, kumbuka mfalme Daudi alipewa ufalme baada ya kumuua kamanda mkuu wa vikosi wa kivita wa Wapalestina, zamani walijulika kama wafilisti, au Philistines ambao ndio hawa hawa Wapaletina wa leo; kwa ufupi hawa watu wana ugomvi wa miaka na miaka na sio issue ya kutawaliwa na Uingereza au laa. Labda nikupe story ndogo ya huyu waziri mkuu wao wa sasa hivi huyu bwana Benyamini Netanyahu; Huyu jamaa baba yake mzee Netanyahu alikua mwalimu wa dini (rabi) moja kati ya wanae huyu mzee ni huyu waziri mkuu wa sasa na kaka yake aliitwa Jonathan, huyu Jonathan ndiye aliyeongoza ile kitu inaitwa 90 minutes in Entebe, Benyamini alizaliwa hapo hapo mashariki ya kati/Israel/Palestine na huyo kaka yake alizaliwa USA, why USA ni kwamba huyo mzee alikua anatakiwa kwenda kufundisha Wayahudi wenzie huko oversees na wakati mwingine anatakiwa kurudi nyumbani, remember wote hawa wamezaliwa enzi za ukoloni wa Uingereza.