Shauri yao ila watu wanaosema Israel taifa la Mungu wautafute ukweli kuhusu taifa hilo sio wanashabikia wasichokijuaUzi utageuka wa kidini kama kawaida mada iatasahauliwa
Umeelewa nini nazungumzia?Nazungumzia taifa la Israel halikuwahi kuwepo.Sina tatizo la kuwaita wengine HARAMU cause kila mtu ana mtazamo wake; nina tatizo kidogo juu ya uelewa wako wa mambo; yaani unaanza kuizungumzia Israel wakati wa ukoloni? So kwa maneno mengine hujui chochote kuhusu mfalme Daudi, nabii Musa, Suleiman, Yesu nk?
Israel haina mamlaka juu ya Gaza wala Jerusalem wala West bank.Israel ilivamia tu maeneo hayo ya Palestine toka miaka ya 1960s. Palestine ilikuwepo na kihistoria ilitawaliwa na Uingereza. Je Taifa la Israel lilitawaliwa na nani!? Maana ijulikanavyo kuna jamii ya wana wa israel ila hakuna na hakukuwahi kuwa na taifa la Israel. USA inalazimisha illegal westbank settlements zilizojengwa na Israel kwa uvamizi ziwe legalized ilhali yale maeneo waisrael wamevamia.
Then Daud na Suleyman walikua wa palestine.Sina tatizo la kuwaita wengine HARAMU cause kila mtu ana mtazamo wake; nina tatizo kidogo juu ya uelewa wako wa mambo; yaani unaanza kuizungumzia Israel wakati wa ukoloni? So kwa maneno mengine hujui chochote kuhusu mfalme Daudi, nabii Musa, Suleiman, Yesu nk?
Yes walikua wafalme wa Palestine but hao walikua ni Waisrael, kumbuka mfalme Daudi alipewa ufalme baada ya kumuua kamanda mkuu wa vikosi wa kivita wa Wapalestina, zamani walijulika kama wafilisti, au Philistines ambao ndio hawa hawa Wapaletina wa leo; kwa ufupi hawa watu wana ugomvi wa miaka na miaka na sio issue ya kutawaliwa na Uingereza au laa.Then Daud na Suleyman walikua wa palestine.
Sio watawala wa waisraeli km unavyodai.
Ushahidi kamili maeneo ambayo kihistoria yalikaliwa intensively na waisraeli na maeneo ukanda wa sham karibu na waisrael hata alama za archeology za Yesu na Mussa zipo baina ya Misri na Sham ambako ni mbali na Palestina .
Pia Jerusalem kumegundulika misikiti iliyowahi jengwa toka miaka ya 500 wala hakuna hekalu wala nn.Huo ushahidi wa Israel kuidai Jerusalem unatoka wapi?
Kwani kama haikua taifa, hao kina Daudi, Suleiman walikua na vyeo gani? Si walikua Wafalme mkuu? Unaweza kua mfalme na hauna taifa unalo liongoza?Umeelewa nini nazungumzia?Nazungumzia taifa la Israel halikuwahi kuwepo.Bali kulikua na jamii ya wana wa israel ambayo ilikua ni jamii ya kuhamahama.Walikaa maeneo karibia na Misri wakahamia uarabu Saudia wakahamia Ulaya walipita mpk upersi ndipo wakaja kulazmisha kuunda taifa Palestina kinguvu.Tofautisha jamii na taifa.Nadhani umenielewa.Maana hata waturuki ambao jamii yao ni turkmeni na fursi wao waliunda himaya iitwayo Ottoman ndio ikaja kuitwa Uturuki sehemu moja maalum walipozaliana mpk sasa.ila ukizungumzia Israel kwao ni tofauti hawakuwahi kuwa na taifa wao ni wa kuhama hama.Nadhani umeelewa nachozungumza.
Mkuu,umenena kwa Hisia Sana wewe nawe ni Ashkenaz?Huwezi tatua tatizo kwa kuzalisha tatizo. Huwezi kuwanyang'anya Wapalestia Utaifa wao kwa kuwapa Waisraeli Utaifa Wao. Najua hutaelewa kwa sasa ila siku ukielewa utajua kwamba Kama kweli Waisrael walikuwepo basi wameshakuwa extinct. All in all ya kitabu tuyaache kitabuniModerator edit heading hiyo ya kichawi vinginevyo na wewe utakuwa walewale.
Wewe mleta uzi utapata tabu sana dunia walikuwepo, wamekwishakufa, wengine wako hoi taabani, wengine wamezaliwa wanarithishwa mitizamo kama yako ila juhudi zao ni sawa na kuendesha baskeli ya kunolea kisu ukitegemea itakufikisha mahala!
Unayajua makabila yao hao kina Suleiman na Daudi? Well, kabila la Musa je? Na je hayo ni makabila ya Israel au Palestina? Unauzungumzia msikiti wenye miaka 500; hivi unafahamu hapo ulipojengwa msikiti kabla palikua na nini?Then Daud na Suleyman walikua wa palestine.
Sio watawala wa waisraeli km unavyodai.
Ushahidi kamili maeneo ambayo kihistoria yalikaliwa intensively na waisraeli na maeneo ukanda wa sham karibu na waisrael hata alama za archeology za Yesu na Mussa zipo baina ya Misri na Sham ambako ni mbali na Palestina .
Pia Jerusalem kumegundulika misikiti iliyowahi jengwa toka miaka ya 500 wala hakuna hekalu wala nn.Huo ushahidi wa Israel kuidai Jerusalem unatoka wapi?
Then Daud na Suleyman walikua wa palestine.