Financial Freedom
JF-Expert Member
- Nov 14, 2016
- 1,246
- 2,299
Umenena kweli kabisa mkuu, nakupa kongole.itabu vya kiimani na kihistoria vinasema Daudi na Suleman ni wafalme wa kiYahudi (Jews). Palestina kma eneo limetambuliwa wakati wa ukoloni lakini kihistoria miji ya kiyahudi kma Nazareth, Yudea, Galilaya ilikiwepo tangu wafalme wa kale wa Wayahudi. Ni kweli wayahudi ambao ndo taifa la Israeli walisambaa na kupoteza utaifa ila eneo walilopo sasa kijiografia na historia ndio haswa asili yao na vizazi vyao viliishi hapo hakuna pe
Ukisema Israel ni Taifa Haram ( Batili / Lisilotakiwa ) unaweza ukawa unatudhihirishia ni jinsi gani labda unaugua Uwendawazimu ila hujajigundua tu kwani hata katika Kitabu Kitakatifu cha Wakristo tumejifunza kuwa hilo ndilo Taifa la Mungu sasa ukisema ni Haram ina maana hata mwenye Taifa lake hilo Mwenyezi Mungu nae ni Haram pia au?Israel haina mamlaka juu ya Gaza wala Jerusalem wala West bank. Israel ilivamia tu maeneo hayo ya Palestine toka miaka ya 1960s.
Palestine ilikuwepo na kihistoria ilitawaliwa na Uingereza. Je Taifa la Israel lilitawaliwa na nani?
Maana ijulikanavyo kuna jamii ya wana wa israel ila hakuna na hakukuwahi kuwa na taifa la Israel.
USA inalazimisha illegal westbank settlements zilizojengwa na Israel kwa uvamizi ziwe legalized ilhali yale maeneo waisrael wamevamia.
Kwahiyo unasema Mfalme DAUDI alikuwa mfalme wa wanaohamahama hakutawala taifa katika jiografia fulani yenye makao?Umeelewa nini nazungumzia?Nazungumzia taifa la Israel halikuwahi kuwepo.Bali kulikua na jamii ya wana wa israel ambayo ilikua ni jamii ya kuhamahama.Walikaa maeneo karibia na Misri wakahamia uarabu Saudia wakahamia Ulaya walipita mpk upersi ndipo wakaja kulazmisha kuunda taifa Palestina kinguvu.Tofautisha jamii na taifa.Nadhani umenielewa.Maana hata waturuki ambao jamii yao ni turkmeni na fursi wao waliunda himaya iitwayo Ottoman ndio ikaja kuitwa Uturuki sehemu moja maalum walipozaliana mpk sasa.ila ukizungumzia Israel kwao ni tofauti hawakuwahi kuwa na taifa wao ni wa kuhama hama.Nadhani umeelewa nachozungumza.
Ndugu unachanganya mada.Daud na Suleyman hawakuwa waisrael.Na miaka unayosemea wewe waisrael walikua wakiishi Shyam Wala hawakuwa wakiishi wanapopaita Israel sasa umekosea.Yes walikua wafalme wa Palestine but hao walikua ni Waisrael, kumbuka mfalme Daudi alipewa ufalme baada ya kumuua kamanda mkuu wa vikosi wa kivita wa Wapalestina, zamani walijulika kama wafilisti, au Philistines ambao ndio hawa hawa Wapaletina wa leo; kwa ufupi hawa watu wana ugomvi wa miaka na miaka na sio issue ya kutawaliwa na Uingereza au laa. Labda nikupe story ndogo ya huyu waziri mkuu wao wa sasa hivi huyu bwana Benyamini Netanyahu; Huyu jamaa baba yake mzee Netanyahu alikua mwalimu wa dini (rabi) moja kati ya wanae huyu mzee ni huyu waziri mkuu wa sasa na kaka yake aliitwa Jonathan, huyu Jonathan ndiye aliyeongoza ile kitu inaitwa 90 minutes in Entebe, Benyamini alizaliwa hapo hapo mashariki ya kati/Israel/Palestine na huyo kaka yake alizaliwa USA, why USA ni kwamba huyo mzee alikua anatakiwa kwenda kufundisha Wayahudi wenzie huko oversees na wakati mwingine anatakiwa kurudi nyumbani, remember wote hawa wamezaliwa enzi za ukoloni wa Uingereza.
Usipotoshe historia Daud na Suleyman ni watawala wa asili ya kiarabu.Vitabu vya kiimani na kihistoria vinasema Daudi na Suleman ni wafalme wa kiYahudi (Jews). Palestina kma eneo limetambuliwa wakati wa ukoloni lakini kihistoria miji ya kiyahudi kma Nazareth, Yudea, Galilaya ilikiwepo tangu wafalme wa kale wa Wayahudi. Ni kweli wayahudi ambao ndo taifa la Israeli walisambaa na kupoteza utaifa ila eneo walilopo sasa kijiografia na historia ndio haswa asili yao na vizazi vyao viliishi hapo hakuna pengine.
Daud alitawala watu wake wenye asili yake ya kipalestine ambao wakajenga na masjid Aqswa.Kwahiyo unasema Mfalme DAUDI alikuwa mfalme wa wanaohamahama hakutawala taifa katika jiografia fulani yenye makao?
Mbona historia umeipunguza saaana mpaka nyakati za ukoloni? je kabla ya Wapalestina kutawaliwa na Uingereza walikuwa na tawala gani?
Hiyo ni biblia ila Qur'an haijaongea hivyo.Vitabu vya kiimani na kihistoria vinasema Daudi na Suleman ni wafalme wa kiYahudi (Jews). Palestina kma eneo limetambuliwa wakati wa ukoloni lakini kihistoria miji ya kiyahudi kma Nazareth, Yudea, Galilaya ilikiwepo tangu wafalme wa kale wa Wayahudi. Ni kweli wayahudi ambao ndo taifa la Israeli walisambaa na kupoteza utaifa ila eneo walilopo sasa kijiografia na historia ndio haswa asili yao na vizazi vyao viliishi hapo hakuna pengine.
Acha ufala mie sizungumzii udini hapa km hutaki kushiriki kakojoe ulale.Wewe mmatumbi pambana na hali yako, mambo ya Israel, Palestine achana nayo kama ambavyo wao hawajihusishi na yako. Acha kufia dini mlizoletewa na miarabu/mizungu kwa viboko na mijeredi.
Acha ufala mie sizungumzii udini hapa km hutaki kushiriki kakojoe ulale.
Umepotoshwa na biblia nimekwambia unapoongopa usihusishe vitabu vyote vya dini.Vitabu vya kiimani na kihistoria vinasema Daudi na Suleman ni wafalme wa kiYahudi (Jews). Palestina kma eneo limetambuliwa wakati wa ukoloni lakini kihistoria miji ya kiyahudi kma Nazareth, Yudea, Galilaya ilikiwepo tangu wafalme wa kale wa Wayahudi. Ni kweli wayahudi ambao ndo taifa la Israeli walisambaa na kupoteza utaifa ila eneo walilopo sasa kijiografia na historia ndio haswa asili yao na vizazi vyao viliishi hapo hakuna pengine.
Kwahiyo unasema Mfalme DAUDI alikuwa mfalme wa wanaohamahama hakutawala taifa katika jiografia fulani yenye makao?
Mbona historia umeipunguza saaana mpaka nyakati za ukoloni? je kabla ya Wapalestina kutawaliwa na Uingereza walikuwa na tawala gani?
We huna akili.Ibrahim baba wa Isaac hakuwa na ardhi kweli kwani mfalme Daudi aliwatawala waislaeli wakiishi angani?
Hao wayahudi hata biblia hawaifahamu."Maana ijulikanavyo kuna jamii ya wana wa israel ila hakuna na hakukuwahi kuwa na taifa la Israel
[emoji1312][emoji1312][emoji1312][emoji1312][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi unajua kuwa katika biblia Walipotoka Misri waliambiwa waende Kaanani inchi ambayo ilikuwa inakaliwa na watu??????
Umepotoshwa na biblia.
Wakaambiwa wawaue wooote wao waka waacha??
Hesabu 33:55 SRUVDC
Lakini kama hamtaki kuwafukuza wenyeji wa nchi watoke mbele yenu; ndipo hao ambao mtawabakiza watakuwa kama sindano machoni mwenu, na kama miiba ubavuni mwenu, nao watawasumbua katika hiyo nchi ambayo mwakaa.
Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app