Taifa la Israel halina uhalali wa kumiliki Gaza

Hamna banaaaaa.

ISRAEL THE LAND JEWS THE PEOPLE

PERIOD!
 
Watu wamevamia msikiti na kuwanza kuwarushia mabomu ya machozi na kujeruhi, utaacha kurudisha!!! Umeondokewa na wazazi, wakaka, wadada na watoto utakaa kimya!!!! Hata kama ni wewe huwezi vumilia haya mateso.
Shauri zao hayataki kujua ukweli sasa unategemea nini? Tangu miaka zaidi ya 4000 wanatandikwa na kushindwa
 
Chief.. Ismael sio baba wa waarabu wote, Ismael kazaliwa kakuta waarabu wapo.
Yeye anasehemu tu ya makabia machache katika waarabu, lakini si waarabu wote.
 
SOma upya historia. Kabla ya Uingereza kuivamia Yuda na Samaria, kisha kuiacha mikononi mwa Jordan, Eneo hilo lilijulikanaje. Usije na propaganda za kijinga za karne ya 19 za arab League
 
Kwa historia hii ni nchi yao tangu mwanzo na sio kama wewe unavyoaminisha watu. Nenda ktk historia.
 
Mkuu tatizo watu hawautaki ukweli huu, kwa asili hii ni nchi yao. Watu wanaangalia kunzia 1900 na sio historia ya nchi hii ya Uyahudi. Jurusalem yote tangu mwanzo (kabla ya Kristo) ilikuwa nchi ya Uyahudi.
Wapalestina walikuwa na wafanyabiashara waliokuja uyahudi kufanya biashara na kuondoka baadae wakayapenda mazingira na kuhamia.
 
Waizrael kwao ni wapi?
 
una uhakika waisrael waliosemwa kwenye biblia ni hawa kina netanyahu wanaoukubali ushoga?
 
una uhakika waisrael waliosemwa kwenye biblia ni hawa kina netanyahu wanaoukubali ushoga?
Kwa sababu hamkubali ndio maana amani haitakuwepo. Mmeshaona mara nyingi hakuna muungano wowote wa kijeshi dhidi ya Israel unaofanikiwa. Kwa hiyo kama mnadhani hao ni feki haya endeleeni lakini tusisikie mnalia wala kulalamika. Mimi nilitoa ushauri tu: mtu akitaka amani na mafanikio aitakie amani Israeli. Kama unaona akina Netanyahu ni feki basi tafuta waisraeli halisi uwaunge mkono. La sivyo mtakuwa mnapingana na mpango wa Mungu.
 
una uhakika waisrael waliosemwa kwenye biblia ni hawa kina netanyahu wanaoukubali ushoga?
Halafu kuhusu Wayahudi kuukubali ushoga: kwanza ni wachache sana ambao pia sio wayahudi kwa dini. Watu wa jinsi hiyo wapo kote duniani. Kuna maeneo serikali zao (hii ikiwa pamoja na Israeli) wanakubali kwamba wapo. Kuna serikali nyingine duniani zinakana - ila wapo, ndio sababu zinaweka adhabu kwa atakaye patikana. Dhambi imo ndani ni mioyo ya watu mahali popote palipo na watu utakuta dhambi za aina zote, la maana wewe binafsi umeishinda dhambi? Na si ushoga pekee hata ufisadi, kupenda pesa, uzinifu, uongo, chuki na visasi, uchawi. Hao watendao hayo wote wametenda dhambi na kupungukiwa na utukufu wa Mungu.
Tukirudi kwa Israeli: wao hawawi taifa teule kutokana na haki yao hapana bali kwa ahadi ya Mungu kwa mababa wa Waebrania. Haya mambo ni tanzi na kisiki cha kujikwaa, wengi wameumia kwa kushindwa kujua Mungu anavyoona mambo.
 
 
Nani kakudangaya ww km hautaki amani usiitakie mema Israel???ndivyo mnavyodangamyana kanisani?Mbona mwaka 1973Misri aliipoga Israel mpk Waziri wao Golda meir akaomba maridhiano?Halafu nyie mnasema Israel ni taifa teule mbona hao waisrael wenyewe hawaitambui biblia na wanawapinga wakristo?Hilo taifa waliloahidiwa na Mungu mbona wamelitafuta kwa kumwaga damu? Ardhi yao walioahidiwa wazayun ni ipi Sinai ya misri walioipora 1967 na kunyang'anywa 1974,ya gollan heights waloipora 1967,Lebanon ama Syria ama palestina?
Kama wao waliahidiwa ardhi kwann hawakuenda ktk hyo ardhi moja kwa moja bali walianza kuleta vita kwanza?
Mbona ukifata archeological evidences haioneshi km Israel waliwahi kukaa plestina nyuma ya miaka 1947???
Kaka watu sio wajinga km udhaniavyo! Nipe majibu ya hayo maswali.
 
Kitabu kipi cha kiimani kinasema Suleyman myahudi?Km Ni biblia wala usisumbuke kunilaghai maana imejaa vtu unrealistic.
Hao wayahudi hawaitambui biblia wala msahafu madai yenu ya kusema Israel taifa teule hawayatambui na wanatambulika km wapinga dini.
Kama palestina ndipo walipoanzia kukaa miaka ya zamani kwann akat wanarudi middle East hawakuenda palestina directly bali walianzisha vita maeneo tofauti tofauti?
Mwaka 1967 Israel aliipora Misri Sinai na akaipora Syria gollan heights kwa vita iitwayo six days war.Mwaka 1973 misri akampiga Israel na kuwaeka mateka ili waiachie Sinai waisrael wakaondoka vita inaitwa October war ama yomkippur war.
Km Israel kwake kiuhalisia Ni palestina Misri na Syria alifata nn na kwann alihangaika kupora maeneo????
MAJIBU TAFADHALI.
 
Mbona hawakuleta archeological evidence kuthibitisha?
Mbona ukiwahoji waisrael wenyewe wakutajia mlolongo wa historia ya kizazi chao kabla ya Zionism hawajui na hawana???
Chunga kauli bro usimalize maneno wasaidie hayo maswali waisrael kujibu.
 
Kwa muda mrefu sasa tumesaidia watu wengi kupitia ukurasa huu. Pamoja na kuwa na majukumu mengine mengi lakini nimejitahidi mara kwa mara kuwa na muda kidogo kwa ajili ya jamii. Ilifika mahali kila mtu mwenye shida alielekezwa kwenye ukurasa huu. Japo hatukuweza kusaidia wote lakini tulijitahidi kwa kadri ya uwezo wetu kugusa maisha ya wale tulioweza kugusa.

Kutokana na wahitaji kuwa wengi ninyi wenyewe mkapendekeza tuwe na Foundation ili tuweze kusaidia watu wengi zaidi. Kwa miaka zaidi ya miwili nimekua nikishauriwa kuwa na Foundation lakini nikasita. Mwaka huu "kelele" za foundation zikawa nyingi sana. Baada ya kutafakari nikaona umuhimu wa kufanyia kazi wazo hilo.

Kwa kuwa sauti za kuanzisha foundation zilitoka kwenu nilitegemea muwe mstari wa mbele kuhakikisha wazo hilo linafanikiwa. Lakini ni bahati mbaya sana imekuwa kinyume. Mwitikio ni mdogo sana, kuliko challege yoyote ambayo tumewahi kuifanya hapa.

Hii imenifundisha kuwa watu wengi wanapenda mabadiliko lakini hawataki kuwa sehemu ya mabadiliko hayo. Mtu akipata shida anataka aje kuomba msaada hapa, lakini hataki kusaidia wazo la kuwa na taasisi itakayomsaidia yeye na wengine wengi zaidi. Hali hii sio kwamba tu inakatisha tamaa, bali pia inavunja moyo kusaidia wengine.

Anyway, kesho tutahitimisha challenge yetu, na tutaeleza msimamo wetu kuhusu huduma yetu ya kusaidia jamii, ambayo tumekuwa tukiifanya kwa muda mrefu sasa. Tujifunze kwamba, unapotaka mabadiliko hakikisha unakuwa sehemu ya mabadiliko hayo. Usipofanya wewe, hakuna wa kufanya kwa niaba yako.

Kama unataka kuona huduma ya #GiftedHeart ikikua na kugusa maisha ya watu wengi zaidi tuma mchango wako kwenda (M-PESA) 0743339247, Gwakisa Mwakitega AU (Tigopesa) 0715568653, Samson Charles Kamnde AU (AirtelMoney) 0787568653, Samson Charles Kamnde.

#GiftedHeart #RudishaTabasamu #LetLoveLead #MalisaGJ
 
Ni vema mkasoma vitabu vya dini kwa umakini mkubwa maana vimejaa udanganyifu kwa waliorafsiri siko hapa kubishana ila kuhusu Mungu na taifa la Israel nendene mkajifunze au kutafuta ukweli wa bara la Afrika historia yake ya kweli mtaacha kubishana hasa kupitia biblia muisrael halisi ni walikua weusi na wapo Afrik ya kati kushuka chini historia imebadilishwa kuanzia kwa adamu na eva majina si yao Kristo wa kweli muda sana sio huyu tuloletewa na Mzungu na alikuja sababu ya mtu mweusi ambae ndio uumbaji halisi wa Mwenyezi hata hayo si majina yao halisi kila kitu kimebadilishwa sisi ndo tulimuasi Mungu wa kweli ndomn mpk leo mpo utumwani weng bado hatujitambui nchi ya maziwa na asali ni Afrika hao waisrael waliopo pale si halisi ni fake

Msinitukane msibishie bali tafuteni ukweli wewe mtu mweusi ndie taifa la Mungu wa kweli hatubagui ila huo ndo ukweli tujifungue kifikra mtanielewa tafuteni ukweli kabla ya utumwa wazee wetu waliishije na kama fuvu la mtu wa kale lilikutwa olduvai pale ngorongoro means maisha yalianzia huko ikawaje mamb yaruk kwenda kwa wazungu ambako hakujawahi kuwa na masalia yeyote ya viumbe vya zamani....? Iko wap historia ya mtu mweusi? Je km sisi ndo uumbaji wa Mungu ni vipi tuambie wazee wetu hawakumjua Mungu? Kuna mengi yamejificha ni vema kbl hatujaadili ya watu tutafute ukweli unaotuhusu sisi toka uumbaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…