Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,322
- 3,648
Hamna hasara yeyote iliyo tokeaBaada ya kifo cha Hayati Rais John Pombe Joseph Magufuli,taifa la Tanzania lilirudi nyumba hatua tano katika nyanja zote za kimaisha,kiuchumi,kisiasa na kijamii
Tumeona deni la taifa likiongezeka hadi trillion mia,tumeona uwajibikaji kwa Watumishi wa Umma ukipungua,Tumeona wizi wa Mali ya Umma ukiongezeka na tumeona uzalendo wa Viongozi ukipungua.
Nini kifanyike?
2025 tunahitaji Rais ataerudisha heshima ya Taifa la Tanzania,tunahitaji Rais ataelipia hasara iliyotokea kwa kifo cha Hayati Rais John Pombe Joseph Magufuli.
Yupo wapi Ben sanane?Baada ya kifo cha Hayati Rais John Pombe Joseph Magufuli,taifa la Tanzania lilirudi nyumba hatua tano katika nyanja zote za kimaisha,kiuchumi,kisiasa na kijamii
Tumeona deni la taifa likiongezeka hadi trillion mia,tumeona uwajibikaji kwa Watumishi wa Umma ukipungua,Tumeona wizi wa Mali ya Umma ukiongezeka na tumeona uzalendo wa Viongozi ukipungua.
Nini kifanyike?
2025 tunahitaji Rais ataerudisha heshima ya Taifa la Tanzania,tunahitaji Rais ataelipia hasara iliyotokea kwa kifo cha Hayati Rais John Pombe Joseph Magufuli.
Kifo cha Magufuli = Good riddance to bad rubbish.Baada ya kifo cha Hayati Rais John Pombe Joseph Magufuli,taifa la Tanzania lilirudi nyumba hatua tano katika nyanja zote za kimaisha,kiuchumi,kisiasa na kijamii
Tumeona deni la taifa likiongezeka hadi trillion mia,tumeona uwajibikaji kwa Watumishi wa Umma ukipungua,Tumeona wizi wa Mali ya Umma ukiongezeka na tumeona uzalendo wa Viongozi ukipungua.
Nini kifanyike?
2025 tunahitaji Rais ataerudisha heshima ya Taifa la Tanzania,tunahitaji Rais ataelipia hasara iliyotokea kwa kifo cha Hayati Rais John Pombe Joseph Magufuli.
Yupo wapi Mwamba?Yupo wapi Ben sanane?
Anzory gwanda yupp wapi?
Alphonso mawazo yupo wapi?
Nani alimpiga Risasi Tundu lisu na kwann??
Yule ni mamba wa MATOPEYupo wapi Mwamba?
"Na Mimi nataka niseme watanzania mtanikumbuka na mtanikumbuka kwa mazuri na kwa mabaya kwasababu nime sacrifice maisha yangu kwa wananchi hasa masikini"Baada ya kifo cha Hayati Rais John Pombe Joseph Magufuli,taifa la Tanzania lilirudi nyumba hatua tano katika nyanja zote za kimaisha,kiuchumi,kisiasa na kijamii
Tumeona deni la taifa likiongezeka hadi trillion mia,tumeona uwajibikaji kwa Watumishi wa Umma ukipungua,Tumeona wizi wa Mali ya Umma ukiongezeka na tumeona uzalendo wa Viongozi ukipungua.
Nini kifanyike?
2025 tunahitaji Rais ataerudisha heshima ya Taifa la Tanzania,tunahitaji Rais ataelipia hasara iliyotokea kwa kifo cha Hayati Rais John Pombe Joseph Magufuli.
Wewe ungeandika matusi tu unayotaka kumtukana SSH.Mambo ya marehemu achia makaburi.Baada ya kifo cha Hayati Rais John Pombe Joseph Magufuli,taifa la Tanzania lilirudi nyumba hatua tano katika nyanja zote za kimaisha,kiuchumi,kisiasa na kijamii
Tumeona deni la taifa likiongezeka hadi trillion mia,tumeona uwajibikaji kwa Watumishi wa Umma ukipungua,Tumeona wizi wa Mali ya Umma ukiongezeka na tumeona uzalendo wa Viongozi ukipungua.
Nini kifanyike?
2025 tunahitaji Rais ataerudisha heshima ya Taifa la Tanzania,tunahitaji Rais ataelipia hasara iliyotokea kwa kifo cha Hayati Rais John Pombe Joseph Magufuli.
kweliWewe ungeandika matusi tu unayotaka kumtukana SSH.Mambo ya marehemu achia makaburi.
Kama ni hivyo,hata shetani apendwe.Naunga mkono hoja ingawa alikuwa na mapungufu yake, lakini alitanguliza maslahi ya taifa tofauti na waja wa manyaaaazi, wenyewe uzalendo wao uko arabuni ndio maana alivyoingia mwinyi tu alianzisha biashara ya twiga kwenda uarabuni.