Taifa la Tanzania lilipata hasara kwa kifo cha Hayati Rais John Pombe Magufuli

Taifa la Tanzania lilipata hasara kwa kifo cha Hayati Rais John Pombe Magufuli

Raisi hata atawale baba au mama yako mzazi bado Kuna baadhi ya watu watamlalamikia tu.
 
Alikuwa na upeo mdogo Sana huyo jamaa sijui mnaomsifu mnatumia akili gani .

Nchi inahitaji mambo ya msingi ili iweze kuendelea ikiwemo utawala bora .

Huu utawala wa sasa hivi yeye ndo aliutengeneza na ona unavyofanya .

MTU mjinga Kama yule ambaye alikuwa hana uwezo wa kuangalia athari za matendo yake hafai kabisa
 
Kifo cha Magufuli = Good riddance to bad rubbish.

That does not mean nasifia uongozi wa sasa.
Kwa mara ya kwanza nchi ilifiwa na RAIS na watu wakagawqnyika ( wengine walifurahi na wengine walisikitika) kwann? Hawajiulizi hilo swali?
 
kweli
Magufuli alikuwa na mapungufu kama binadamu wa kawaida
ILA
katika swala la malezi
kwangu binafsi atabaki kuwa
MZAZI NA BABA BORA WA MUDA WOTE.

Magufuli alijua vizuri malezi ya watoto wake.
Hata huyu Jesca hadi kujulikana kipindi kile
ni baada ya kufeli shuleni.

Na siku ya msiba wa baba yao
ndipo watu waliwaona vijana wakubwa kabisa wa marehemu.

Hatukuwahi kusikia wala kuwasoma sehemu
wakirumbana na trafic barabarani, kukwepa kodi bandarini wala kutumia nafasi ya baba yao kwa manufaa yao binafsi.

Je, ni nani hakuwafahamu akina Miraji kikwete, Ridhiwani kikwete?
ama hata huyu Abdul Samia?

Kwani Magufuli alishindwa kuwapa wanae hiyo nafasi?
Hata huyu Jesca kugombea mwaka huu
huo ubunge ni kiini macho tu
kutoka ile kambi ya mstaafu
wakiwaza kura za ukanda wa ziwa.
Swali dogo ila umetumia siku tatu kwa utetezi na kuomba kesi iahirishwe.
 
Polepole kujiuzuru:

➡Sababu alizozitoa sio za kidiplomasia, ni za hali ya kisiasa na utawala wa ndani ya nchi...

➡Tukio hili la kujiuzulu balozi ni la pili sasa. La kwanza ni miaka ya 1960s ambapo Christopher Kassanga akiwa balozi kule Uingereza, alitofautiana na Rais Hayati Mwl Julius K. Nyerere miezi mitatu baada ya uteuzi wake na hivyo akaona hataweza kufanya kazi naye, hivyo akabwaga manyanga...

➡ Aidha Ili kulinda taswira ya nchi, kulitokea tukio jingine linalofanana na hili miaka ya 1980s. Hayati Rais J. K. Nyerere walitofautiana na Waziri wake wa fedha wakati huo Edwin Mtei (Baba mkwe wa Freeman Mbowe) juu ya kukubaliana au kukataa masharti ya na sera za IMF na WB juu ya kuipatia Tanzania mkopo wa fedha ili kuimarisha uchumi wake mara baada ya kutoka ktk vita vya Tanzania na Uganda maarufu kama vita vya Kagera 1978/79...

➡Nyerere hakukubaliana na masharti ya WB na IMF kupunguza thamani ya shilingi ili Tanzania ikopesheke. Waziri wake Edwin Mtei, alikubaliana na sharti hilo. Kwa tofauti hizo, ikaonekana kuwa Waziri hawezi kufanya kazi pamoja na boss (Rais) wanayetofautiana naye...

➡Ili kulinda taswira (image) ya Rais na nchi, ilibidi Edwin Mtei ajiuzulu uwaziri na sbb zilizotolewa ni za kiafya lakinI ukweli ulijulikana baadaye sana kuwa sababu haikuwa hiyo bali ni kutofautiana kisera na boss wake Rais Nyerere..

➡Hili la Humphrey Polepole ni jiwe la kushitukiza. Sio la kawaida na linaharibu taswira si tu ya Rais Samia bali ya nchi kwa jumla ktk diplomasia ya kimataifa. Hakuna crisis management ndani ya serikali ya Rais Samia. Ni mwendo wa kuviziana tu na kupigana marungu...

➡Haya marungu lazima yawafurushe baadhi toka kwenye nafasi zao. Bila shaka unabii wa mtumishi wa Mungu Steven Jacob Gumbo toka Arusha juu ya kijana huyu Humphrey Polepole👇🏻👇🏻 unaenda kutimia. Labda ndiye PM au Minister For Foreign Affairs ajaye huyu chini ya Rais Josephat Mathias Gwajima au Tundu Lissu
 
Ila nyie waja
Naunga mkono hoja ingawa alikuwa na mapungufu yake, lakini alitanguliza maslahi ya taifa tofauti na waja wa manyaaaazi, wenyewe uzalendo wao uko arabuni ndio maana alivyoingia mwinyi tu alianzisha biashara ya twiga kwenda uarabuni.
wa Yehova,ninyi kuuwa ndiyo mliona,kupiga risasi akina tundu Lissu, Ben saanane ndiyo sawa?
 
Baada ya kifo cha Hayati Rais John Pombe Joseph Magufuli,taifa la Tanzania lilirudi nyumba hatua tano katika nyanja zote za kimaisha,kiuchumi,kisiasa na kijamii

Tumeona deni la taifa likiongezeka hadi trillion mia,tumeona uwajibikaji kwa Watumishi wa Umma ukipungua,Tumeona wizi wa Mali ya Umma ukiongezeka na tumeona uzalendo wa Viongozi ukipungua.

Nini kifanyike?

2025 tunahitaji Rais ataerudisha heshima ya Taifa la Tanzania,tunahitaji Rais ataelipia hasara iliyotokea kwa kifo cha Hayati Rais John Pombe Joseph Magufuli.
Hasara hiyo unaipima kwenye kitu gani ndg mtoa mada?
Mimi alikufa na pesa zangu za korosho
 
Ila nyie waja

wa Yehova,ninyi kuuwa ndiyo mliona,kupiga risasi akina tundu Lissu, Ben saanane ndiyo sawa?
Nayo tulipaza sauti fuatilia videos ziko nyingi tu youtube, tulilaani kupotea kwao lakini dhambi za kuuza rasilimali za nchi na ufisadi, hazilingani na hizo zingine, kwani zinaviathiri hata vizazi ambavyo havijazaliwa bado, vile vile waja idadi ya mnao wapoteza ni kubwa mno kulinganisha na sie, na sababu za kuwapoteza ni ndogo mno, kwa mfano mtu kachoma picha kisha umuue.
 
Kifo cha Magufuli = Good riddance to bad rubbish.

That does not mean nasifia uongozi wa sasa.
Tatizo hampo hapa nchini, mnalishwa matango pori na aliopambana nao. Nakuapia hasara tulioipata ni kubwa ajabu.
 
kweli
Magufuli alikuwa na mapungufu kama binadamu wa kawaida
ILA
katika swala la malezi
kwangu binafsi atabaki kuwa
MZAZI NA BABA BORA WA MUDA WOTE.

Magufuli alijua vizuri malezi ya watoto wake.
Hata huyu Jesca hadi kujulikana kipindi kile
ni baada ya kufeli shuleni.

Na siku ya msiba wa baba yao
ndipo watu waliwaona vijana wakubwa kabisa wa marehemu.

Hatukuwahi kusikia wala kuwasoma sehemu
wakirumbana na trafic barabarani, kukwepa kodi bandarini wala kutumia nafasi ya baba yao kwa manufaa yao binafsi.

Je, ni nani hakuwafahamu akina Miraji kikwete, Ridhiwani kikwete?
ama hata huyu Abdul Samia?

Kwani Magufuli alishindwa kuwapa wanae hiyo nafasi?
Hata huyu Jesca kugombea mwaka huu
huo ubunge ni kiini macho tu
kutoka ile kambi ya mstaafu
wakiwaza kura za ukanda wa ziwa.

Watoto wa Magufuli unajua wanafanya Kazi wapi ?

Mambo mengine achana nayo ikiwa haujui chochote .

Huyu Jesca , She is very incompetent ndo maana anakabia juu kwa juu .

Ila if she could be smart angekuwa mkurugenzi Kama ndugu zake.

Ukiona wanasiasa wanawaingiza watoto katika siasa ni baada ya kuona hawana attributes za kujisimamia .

Fatilia watoto wa Magufuli wapo wapi na hapo walipo wamefikaje . kwa vigezo au kwa kufikishwa !.
 
Taifa la Tanzania,Tulipata Rais ambaye ni SCIENTIST first time in History. Sifa kubwa ya Scientist ni kuona mambo yanatokea,akaondoka tulianza kupata habari mitandaoni tulidhani uongo kumbe kweli.
 
Kuna Nadharia mbili juu ya Kifo cha JPM inayopelekea kila mtanzania anaongea lake. Hizi Hapa ;

1. Rais JPM Uhai wake ulikatishwa Madhuluma
2. Kifo cha Dkt. JPM( PhD holder ya Darasani) kilikuwa ni Natural death

1. Rais JPM Uhai wake Ulikatishwa Madhuluma

a. Ugeni wa Chato, wengi wanaamini ugeni wa Chato kutoka China ulienda kwa dhumuni maalum... baada ya hapo things changed
b. Induced Poison iliyoimaliza almost watu wake wa karibu mpaka moja ya Mlinzi wa JPM, mbali na kina Kijazi na wale wengine. Mpango pia aliponea tundu la sindano . Nadharia hii inasema kwamba mchakato huu ulihusisha watu wa karibu. Aidha mabeberu na makampun makubwa ya ndani did the roadmap.

c. JPM alikuwa na ishu ya Atrial Fibrillation.Kifaa chake maalum electronic pacemaker ( regualting heart rhythms) kilichakachuliwa electronically from service provider hackers. Kilipoteza uwezo taratibu. Taarifa hii pia iliripotiwa na Africa Intelligence .
d. Moshi wa Mtwara ( hoja dhaifu) , baada ya Moshi wa Mtwara hali ya JPM haikuwa sawa tena.
f. Kuikataa COVID pamoja na chanjo.Hivyo roadmap ikachorwa kutoka kwa mabeberu kwa kushirikiana na internal

Kwa sababu hizi upo uwezekano Madhuluma ilitokea

2. Kifo cha JPM kilikuwa ni Natural death

a. JPM alikuwa ni mgonjwa tangu zamani, alikuwa na tatizo la mfumo wa Umeme kwenye moyo. Kwa waliosoma nae wanatambua, Hii ilimpelekea JPM kutotakiwa kupanda ndege mara kwa mara kwasababu ya presssure taking off and landing and altitude issues
b. COVID 19 ilikuwa haipatani na watu wenye shida ya moyo na unene. Effects za COVID zinakuwa kali zikikutana na watu aina hiyo.
c. STRESS, ukiwa na heart issues , unatakiwa kukaa mbali na stress. JPM was hard working man na alikuwa sio mtoa maagizo, alikuwa ni mfuatiliaji. Alikuwa na Dayari yake kila agizo alilotoa anaandika . Kisha hata baada ya mwaka, atafungua dayari na kuulizia status kwa kumpigia simu MUHUSIKA. Walinzi wake hawakujua exact timetable yake.....ndio ile ZIARA za Kustukiza hii ilimfanya afanye kazi sana zenye stress hivyo kudhoofisha afya na utendaji wa moyo wake. ´
d. Wanasema mara kadhaa JPM alikuwa ana undergo fainting, hii ilipelekea kutembea na Ambulance ambayo ilikuwa full equiped.

Kwa sababu hapo juu kuna uwezekano mkubwa JPM had a natural death . Wapo wahuni wanatembea na hiki kifo kuwa waliki design ili waogopwe na waonekane ni watu HATARI but kiuhalisia hawana ishu ni coward tu.

Baada ya kifo cha JPM;

Chap. chanjo iliingia na ikafanyiwa advocacy
Chap COVID ilipotea, hatukusikia tena ishu za COVID
Chap, ikaanza kufanyika advocacy ya chini chini kuua jitihada za JPM

kifo cha Hayati Dkt JPJM kitabaki kuwa ni imani. Kila mtu ataamini kutokana na imani yake na mafundisho.
 
Alikuwa na upeo mdogo Sana huyo jamaa sijui mnaomsifu mnatumia akili gani .

Nchi inahitaji mambo ya msingi ili iweze kuendelea ikiwemo utawala bora .

Huu utawala wa sasa hivi yeye ndo aliutengeneza na ona unavyofanya .

MTU mjinga Kama yule ambaye alikuwa hana uwezo wa kuangalia athari za matendo yake hafai kabisa
Tatizo wewe huwa hujijui kuwa una upeo mdogo, hivyo unaona akili kubwa kama ni ndogo
 
Baada ya kifo cha Hayati Rais John Pombe Joseph Magufuli, taifa la Tanzania lilirudi nyumba hatua tano katika nyanja zote za kimaisha, kiuchumi, kisiasa na kijamii

Tumeona deni la taifa likiongezeka hadi trillion mia, tumeona uwajibikaji kwa Watumishi wa Umma ukipungua,Tumeona wizi wa Mali ya Umma ukiongezeka na tumeona uzalendo wa Viongozi ukipungua.

Nini kifanyike?

2025 tunahitaji Rais ataerudisha heshima ya Taifa la Tanzania, tunahitaji Rais ataelipia hasara iliyotokea kwa kifo cha Hayati Rais John Pombe Joseph Magufuli.
Sio kweli.
 
Kwa mara ya kwanza nchi ilifiwa na RAIS na watu wakagawqnyika ( wengine walifurahi na wengine walisikitika) kwann? Hawajiulizi hilo swali?
Hakuna mtu yeyote hapa Duniani anaweza kupendwa na watu wote.
 
Back
Top Bottom