Taifa la Tanzania lilipata hasara kwa kifo cha Hayati Rais John Pombe Magufuli

Taifa la Tanzania lilipata hasara kwa kifo cha Hayati Rais John Pombe Magufuli

Athari
Nayo tulipaza sauti fuatilia videos ziko nyingi tu youtube, tulilaani kupotea kwao lakini dhambi za kuuza rasilimali za nchi na ufisadi, hazilingani na hizo zingine, kwani zinaviathiri hata vizazi ambavyo havijazaliwa bado, vile vile waja idadi ya mnao wapoteza ni kubwa mno kulinganisha na sie, na sababu za kuwapoteza ni ndogo mno, kwa mfano mtu kachoma picha kisha umuue.
wanazopitia wazazi,ndugu wa azory,Ben saanane,mawazo, masshekhe wasio kuwa na hatia unahisi ni ndogo?
 
Hakuna mtu alishapendwa na wote au kuchukiwa na wote hapa duniani. Huo ndiyo ukweli
Nazungumzia aliyependwa hadi kujipendekeza mwenyewe kuwa kiongozi wa malaika huko MBINGUNI.
Sijui kwamba alishapewa hiking CHEO au bado? Mana ni muda sasa tangu aondoke
 
Wewe ni mtumishi feki,vyeti feki unakula usichopanda bado unadai haki,ni haki gani hiyo unayoidai?
Kutopandishwa madaraja,kutotoa ajira,kikotoo yeye ndiyo muasisi! Kwahiyo watumishi wote waliokuwa wanaodai stahiki zao walikuwa watumishi feki? Jobles ebu tulizana basi
 
Baada ya kifo cha Hayati Rais John Pombe Joseph Magufuli, taifa la Tanzania lilirudi nyuma hatua tano katika nyanja zote za kimaisha, kiuchumi, kisiasa na kijamii

Tumeona deni la taifa likiongezeka hadi trillion mia, tumeona uwajibikaji kwa Watumishi wa Umma ukipungua,Tumeona wizi wa Mali ya Umma ukiongezeka na tumeona uzalendo wa Viongozi ukipungua.

Nini kifanyike?

2025 tunahitaji Rais ataerudisha heshima ya Taifa la Tanzania, tunahitaji Rais ataelipia hasara iliyotokea kwa kifo cha Hayati Rais John Pombe Joseph Magufuli.
Actually ilikuwa faida mno na sasa mambo ndio yanaanza tena kunyanyuka na kuwa mazuri zaidi. Jambo moja ambalo limeendelea kuwa mbaya ni kuminywa kwa demokrasia ila angalao mwaka huu hakutakuwa na kupita bila kupingwa kama 2020. Ule ulikuwa UCHAFUZI mkubwa kuwahi kutokea nchini. Fedha nyingi mno zimepotea chini ya Magufuli. Watu wengi mno wamepotea kusikojulikana hadi leo familia zimeachwa bila baba, mama au watoto. Magufuli sitammisi kwa lolote infact aliharibu mno na kuwadanganya wengi kwa mbwembwe na propaganda za hali ya juu, wasiojua hawajui hadi leo na humsifia kama ma-zuzu.
 
Tatizo hampo hapa nchini, mnalishwa matango pori na aliopambana nao. Nakuapia hasara tulioipata ni kubwa ajabu.
Kuwapo hapo nchini ni sababu kubwa ya kumuona Magufuli mtu wa maana wakati alikuwa na matatizo kibao.

Kama huna exposure ya kimataifa kuona nchi zinavyoendeshwa kikatiba, matatizo ya Magufuli huwezi kuyaona kwa upana wake.

Wewe unaongelea mimi kutokuwapo nchini kama tatizo wakati mimi naona kutokuwapo nchini ni moja ya sababu zilizonipa upeo mkubwa wa kuona matatizo ya Magufuli.

Wewe ni kama samaki unayeogelea katika bahari ya utamaduni wa kuvunja katiba mpaka unamshangilia rais aliyevunja katiba wazi.

Wewe ni samaki uliyezaliwa na kukulia katika maji mpaka mtu akikwambia upo katika maji huelewi maji ni nini. Umeyazoea.

Wewe ni kama mtu aliyekaa kando ya choo kinachonuka sana lakini hiyo harufu umeizoea, mtu akikwambia hapa pananuka huelewi, unaona anakukashifu tu.
 
Yule mjinga alitaka Watumishi wa Umma tufe kwa njaa ila bahati nzuri watoto wa mjini wakamleftisha ili asilete madhara zaidi.
Ndio maana ccm inafurahia sana uwepo wa wapumbavu na watumwa wa ajira kama wewe ili muendelee kuramba makalio ya viongozi
 
Chakubanga siku hizi umeacha kuweka namba yako?

Kweli siku zinakimbia kwani unautofautishaje utawala huu na ule wa dikteta Magufuli maana huyu aliyepo alikuwa second in command.

Mtenda kazi wa shughuli za kila siku za serikali [PM ] ni yule yule.

Vibaka wote waliokuwepo awamu ya jiwe ndio hao hao mama yenu anaambatana nao kama kina Makonda .
 
Wachache watabeza lakini Ukweli yule Bwana Alikua jembe kweli kweli.

Alitamani kila Mtanzania Ajivunie Nchi yake na sote tupate tunacho stahili
.
Mtu aliyeporwa korosho zake ana nn cha jusema zaidi ya kukushangaa?
Alibadilisha sheria gani ambayo leo ina manufaa kwa alio waacha?
 
Kuwapo hapo nchini ni sababu kubwa ya kumuona Magufuli mtu wa maana wakati alikuwa na matatizo kibao.

Kama huna exposure ya kimataifa kuona nchi zinavyoendeshwa kikatiba, matatizo ya Magufuli huwezi kuyaona kwa upana wake.

Wewe unaongelea mimi kutokuwapo nchini kama tatizo wakati mimi naona kutokuwapo nchini ni moja ya sababu zilizonipa upeo mkubwa wa kuona matatizo ya Magufuli.

Wewe ni kama samaki unayeogelea katika bahari ya utamaduni wa kuvunja katiba mpaka unamshangilia rais aliyevunja katiba wazi.

Wewe ni samaki uliyezaliwa na kukulia katika maji mpaka mtu akikwambia upo katika maji huelewi maji ni nini. Umeyazoea.

Wewe ni kama mtu aliyekaa kando ya choo kinachonuka sana lakini hiyo harufu umeizoea, mtu akikwambia hapa pananuka huelewi, unaona anakukashifu tu.
Dogo una nadharia nyingi! Zaidi ya unadharia wako, umekaa nje ya TZ kwa muda mrefu. Mazingira yetu ni tofauti na ulinganisho wako.
 
Mimi nilifurahi sana alipofariki kwasababu yule mjinga alininyima haki zangu za kiutumishi kwa miaka 6 ambazo zipo kisheria.
Mama kafanya kufuru kwa watumishi..mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni,watu tulikua tunaishi kama mashetani.
 
Baada ya kifo cha Hayati Rais John Pombe Joseph Magufuli, taifa la Tanzania lilirudi nyuma hatua tano katika nyanja zote za kimaisha, kiuchumi, kisiasa na kijamii

Tumeona deni la taifa likiongezeka hadi trillion mia, tumeona uwajibikaji kwa Watumishi wa Umma ukipungua,Tumeona wizi wa Mali ya Umma ukiongezeka na tumeona uzalendo wa Viongozi ukipungua.

Nini kifanyike?

2025 tunahitaji Rais ataerudisha heshima ya Taifa la Tanzania, tunahitaji Rais ataelipia hasara iliyotokea kwa kifo cha Hayati Rais John Pombe Joseph Magufuli.
Sahihi
 
Akitajwa Magufuli mishipa ya matacore yako huwa inakucheza ?
This logical fallacy is called ad hominem.

Jadili hoja, usinijadili mimi.

Magufuli alivunja katiba na kuchafua uongozi Tanzania.

Kanusha hoja, usimshambulie mtoa hoja.

Ukiacha kukanusha hoja, ukamshambulia mtoa hoja, unajionesha huna hoja.
 
Updates... Polepole

Utamaduni, desturi na katika ya Chama cha Mapinduzi Rais Samia hatakiwi kupeperusha bendera ya CCM kipindi hiki kwa msingi kuwa amekuwa Makamu wa Rais, Mungu akampromote kuwa Rais, tunapokwenda kubadilisha awamu tunakwenda kusema tumewaletea hawauz, tutakimbia kwa mwendokasi huu.

"Hatuwezi kuwa nchi inaendeshwa kama idara ya 'Fire', tunataka mtu ambaye anchukizwa na ulegelege huu"

, Salamu ya 'Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.... Kazi iendelee!' inamkiuka Mungu

"Ni Haki ya kila mmoja kugombea lakini haipendezi kwenye mchakato wa Ubunge ni Watu wa Familia za Viongozi."
Pole pole mpuuzi mmoja, anapiga kelele kwa sababu matarajio yake hayajatimizwa.
 
Dogo una nadharia nyingi! Zaidi ya unadharia wako, umekaa nje ya TZ kwa muda mrefu. Mazingira yetu ni tofauti na ulinganisho wako.
Tuache nadharia twende na facts.

Fact. Hujathibitisha mimi ni dogo kwako. Hiyo ni nadharia tu.

Fact. Magufuli alivunja katiba.
 
Tuache nadharia twende na facts.

Fact. Hujathibitisha mimi ni dogo kwako. Hiyo ni nadharia tu.

Fact. Magufuli alivunja katiba.
Fact wewe ni dogo kwangu. Ni kweli mara nyingi JPM alivunja katiba ila alivunja kwa faida yake binafsi (kujineemesha) au alivunja kwa maslahi mapana ya Nchi. Hilo ndilo jambo muhimu kwa mtu ambaye nilistaafu miaka 7 ilopita kwa mjibu wa sheria za nchi si kwa hiari
 
Thibitisha mimi ni dogo kwako, umejuaje hilo kama fact na si speculation tu.

And how is that relevant here?
 
Ulisimulia jinsi ulivyokuwa sekondari! Wenzako ni wasomaji wa makala zenu
Nilisimulia wapi, lini, nilikuwa sekondari mwaka gani?

Na huo ni upande wangu tu, wewe unathibitisha vipi kuwa ni mkubwa kwangu?

And how is any of this relevant here?
 
Back
Top Bottom