BARON99
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 4,770
- 5,420
AiseeYule mjinga alitaka Watumishi wa Umma tufe kwa njaa ila bahati nzuri watoto wa mjini wakamleftisha ili asilete madhara zaidi.
AiseeYule mjinga alitaka Watumishi wa Umma tufe kwa njaa ila bahati nzuri watoto wa mjini wakamleftisha ili asilete madhara zaidi.
Rais unayemuitaji kiongozi wakati unajua kuna jambazi linaendeleza lilipoachiaBaada ya kifo cha Hayati Rais John Pombe Joseph Magufuli, taifa la Tanzania lilirudi nyuma hatua tano katika nyanja zote za kimaisha, kiuchumi, kisiasa na kijamii
Tumeona deni la taifa likiongezeka hadi trillion mia, tumeona uwajibikaji kwa Watumishi wa Umma ukipungua,Tumeona wizi wa Mali ya Umma ukiongezeka na tumeona uzalendo wa Viongozi ukipungua.
Nini kifanyike?
2025 tunahitaji Rais ataerudisha heshima ya Taifa la Tanzania, tunahitaji Rais ataelipia hasara iliyotokea kwa kifo cha Hayati Rais John Pombe Joseph Magufuli.
Sasa hivi tunapata hayo waliopita kina Ben saanane mara mia rekodi si iliwekwa wazi watu zaidi ya 83 kipindi kile, sasa hivi tunaongelea 150 kwenda mbele we ulisikia wapi, sasa hayo yote ongeza na kuuzwa kwa bandari, ngorongoro, viwanja vya ndege, uranium namtumbo, makaa ya mawe songea mikataba wanaingia kisiri siri, pesa zikipatikana hazijulikani zimetumika kufanyia nini chenye tija 107 trilioni haina maelezo, yaani miaka minne 50 trillioni, mtu mmoja amekopa kuliko watangulizi wake wote ukijumlisha, na anaendelea kukopa sasa hivi sio 107 trilioni itakuwa 110 trillioni, tia ndani ni kobazi na raia wa kigeni. Tukienda na hii hesabu hadi 2030 deni litakuwa 157 trillioni, hawaongelei kuhusu mikakati wala mipango ya kulilipa, utasikia tunakopesheka tu.Athari
wanazopitia wazazi,ndugu wa azory,Ben saanane,mawazo, masshekhe wasio kuwa na hatia unahisi ni ndogo?
Mjinga sana wewe, yaani nimesoma hadi chuo kikuu cha Taifa(UDSM), nikahakikiwa na kubaki kwenye Utumishi wa Umma, huo ujinga wako unautoa wapi.Wewe ni mtumishi feki,vyeti feki unakula usichopanda bado unadai haki,ni haki gani hiyo unayoidai?
Hakuna Mtumishi wa Umma alipata haki zake kipindi cha yule chizi, tangu ameuliwa tunapanda madaraja, tunapata ongezeko la mwaka na tumeongezewa mishahara wakati yule chizi miaka sita iliisha bila bila.Nadhani wewe ndiye mjinga sana na utakufa kama mende na hakuna hata wa kujali. Wewe ni mjinga na mpumbavu kwa sababu Dkt Magufuli alikuwa haonei mtu alikuwa mtu wa haki bin haki, kwa sababu ya kauli yako hii uendelee kulaaniwa na hiyo dhambi ilikufanya ukanyimwa haki iendelee kwa vizazi vyako mpaka wakitubu.
Kama aishivyo Mungu hicho ulichokisema kwa shutuma kikawe juu ya familia yako na kizazi chako.Hakuna Mtumishi wa Umma alipata haki zake kipindi cha yule chizi, tangu ameuliwa tunapanda madaraja, tunapata ongezeko la mwaka na tumeongezewa mishahara wakati yule chizi miaka sita iliisha bila bila.
Mimi naishi vizuri na watu, sionei watu na nikipata madaraka nitawapa watu haki zao ambazo zipo kisheria.Kama aishivyo Mungu hicho ulichokisema kwa shutuma kikawe juu ya familia yako na kizazi chako.
Ungeelewa nilichoandika usingejibu ulivyo jibu. Kama Mungu wetu aliye hai aishivyo, katika kipindi chako cha uhai hapa duniani ndivyo utakavyofiwa na mtu/watu wako wa karibu unayempenda/unaowapenda na kila kifo hicho watu wataonesha furaha juu ya kifo chake na itaendelea kukuumiza kama Mungu wetu aliye hai aishivyo.Mimi naishi vizuri na watu, sionei watu na nikipata madaraka nitawapa watu haki zao ambazo zipo kisheria.
Yule chizi alichojua yeye ni kusema "Hapa kazi tu" kazi gani bila kula.
Miaka sita hakuna nyongeza ya mshahara wala kupanda madaraja.
Alitaka tufe na njaa ila watoto wa mjini wakazima uhai wake.
Tangu alipouliwa tunapanda madaraja kila tunapostahili na nyongeza tumepata pia ongezeko la mwaka linatolewa kila mwaka.
Baada ya kifo cha Hayati Rais John Pombe Joseph Magufuli, taifa la Tanzania lilirudi nyuma hatua tano katika nyanja zote za kimaisha, kiuchumi, kisiasa na kijamii
Tumeona deni la taifa likiongezeka hadi trillion mia, tumeona uwajibikaji kwa Watumishi wa Umma ukipungua,Tumeona wizi wa Mali ya Umma ukiongezeka na tumeona uzalendo wa Viongozi ukipungua.
Nini kifanyike?
2025 tunahitaji Rais ataerudisha heshima ya Taifa la Tanzania, tunahitaji Rais ataelipia hasara iliyotokea kwa kifo cha Hayati Rais John Pombe Joseph Magufuli.
Dua la kuku__________.Ungeelewa nilichoandika usingejibu ulivyo jibu. Kama Mungu wetu aliye hai aishivyo, katika kipindi chako cha uhai hapa duniani ndivyo utakavyofiwa na mtu/watu wako wa karibu unayempenda/unaowapenda na kila kifo hicho watu wataonesha furaha juu ya kifo chake na itaendelea kukuumiza kama Mungu wetu aliye hai aishivyo.
Mitume na manabii Wa Mungu hawakufa eti Kwa sababu walikuwa wabaya lahashaaa au Kwa sababu walikuwa wema sana lahashaaa! Walikufa kutimiza agano la Mungu ya kuwa Kila nafasi itaonja Mauti" mauti haikuwekwa Kwa sababu ya watawala wanaofanya mabaya si kweli nakataa!! Mauti ipo Kwa watawala wema na wabaya pia na Kwa ambao sio watawala nao pia wanakufa vile vile.... Tusimezeshwe maneno na chuki za watu ambao Wana visasi na viongozi waliozuia kufanya mipango Yao ya KIUCHUMI.... kifo kipo mpk Kwa wadudu/wanyama/ndege nkYule mjinga alitaka Watumishi wa Umma tufe kwa njaa ila bahati nzuri watoto wa mjini wakamleftisha ili asilete madhara zaidi.
watu walionewa mkuu, ni haki yao kulalamikaNadhani wewe ndiye mjinga sana na utakufa kama mende na hakuna hata wa kujali. Wewe ni mjinga na mpumbavu kwa sababu Dkt Magufuli alikuwa haonei mtu alikuwa mtu wa haki bin haki, kwa sababu ya kauli yako hii uendelee kulaaniwa na hiyo dhambi ilikufanya ukanyimwa haki iendelee kwa vizazi vyako mpaka wakitubu.
Reforms ni muhimu, tusitegemee mtu, bali tutengeneze taasisi imaraBaada ya kifo cha Hayati Rais John Pombe Joseph Magufuli, taifa la Tanzania lilirudi nyuma hatua tano katika nyanja zote za kimaisha, kiuchumi, kisiasa na kijamii
Tumeona deni la taifa likiongezeka hadi trillion mia, tumeona uwajibikaji kwa Watumishi wa Umma ukipungua,Tumeona wizi wa Mali ya Umma ukiongezeka na tumeona uzalendo wa Viongozi ukipungua.
Nini kifanyike?
2025 tunahitaji Rais ataerudisha heshima ya Taifa la Tanzania, tunahitaji Rais ataelipia hasara iliyotokea kwa kifo cha Hayati Rais John Pombe Joseph Magufuli.
naunga mkonoReforms ni muhimu, tusitegemee mtu, bali tutengeneze taasisi imara
Vyeti feki,wezi,mafisadi na familia zilizojimilikisha Mali za Watanzania ndio zilionewa baada ya Watanzania kupewa haki yao dhidi ya wezi,mafisadi,mabepari,mabwenyenye,makabila na familia zenye hati miliki ya Taifa la Tanzania.watu walionewa mkuu, ni haki yao kulalamika