Taifa letu lina mpasuko mkubwa sana. Vipi kuhusu wale wanaokula keki ya taifa kwa mrija wanajisikia vipi?

Chagu wa Malunde

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
8,746
Reaction score
5,772
Kwa kila namna taifa limepasuka. Matajiri na wenye mali ndio wanaofaidi taifa hili. Watoto wa masikini wanauza mahindi ya kuchoma na karanga ili waende shule. Watoto wa matajiri na wanasiasa matajiri wanasoma shule zinazoitwa za njano.

Siasa za taifa letu zimegubikwa na rushwa , upendeleo na uroho wa madaraka. Limekuwa ni taifa ambalo halina muelekeo.

Ukipasua ubongo wa kila mtanzania sasa hivi anatamani afe. Isipokuwa wale tu wanaokula keki ya taifa kwa kijiko cha kilichoundwa kwa dhahabu.
 
Siasa za taifa letu zimegubikwa na rushwa , upendeleo na uroho wa madaraka. Limekuwa ni taifa ambalo halina muelekeo.📌🔨
 
Kwa kila namna taifa limepasuka. Matajiri na wenye mali ndio wanaofaidi taifa hili. Watoto wa masikini wanauza mahindi ya kuchoma na karanga ili waende shule. Watoto wa matajiri na wanasiasa matajiri wanasoma shule zinazoitwa za njano.

Siasa za taifa letu zimegubikwa na rushwa , upendeleo na uroho wa madaraka. Limekuwa ni taifa ambalo halina muelekeo.

Ukipasua ubongo wa kila mtanzania sasa hivi anatamani afe. Isipokuwa wale tu wanaokula keki ya taifa kwa kijiko cha kilichoundwa kwa dhahabu.
Utajibiwa hao matajiri na wanasiasa walipambana mpaka kufika hapo na wewe wa hali ya chini pambana
 
Kwa kila namna taifa limepasuka. Matajiri na wenye mali ndio wanaofaidi taifa hili. Watoto wa masikini wanauza mahindi ya kuchoma na karanga ili waende shule. Watoto wa matajiri na wanasiasa matajiri wanasoma shule zinazoitwa za njano.

Siasa za taifa letu zimegubikwa na rushwa , upendeleo na uroho wa madaraka. Limekuwa ni taifa ambalo halina muelekeo.

Ukipasua ubongo wa kila mtanzania sasa hivi anatamani afe. Isipokuwa wale tu wanaokula keki ya taifa kwa kijiko cha kilichoundwa kwa dhahabu.
huenda umepasuka pekeyako na familia yako gentleman,

kama taifa tupo wamoja, na tunasonga mbele pamoja bila mbambamba wala mihemko useless
 
Kwa kila namna taifa limepasuka. Matajiri na wenye mali ndio wanaofaidi taifa hili. Watoto wa masikini wanauza mahindi ya kuchoma na karanga ili waende shule. Watoto wa matajiri na wanasiasa matajiri wanasoma shule zinazoitwa za njano.

Siasa za taifa letu zimegubikwa na rushwa , upendeleo na uroho wa madaraka. Limekuwa ni taifa ambalo halina muelekeo.

Ukipasua ubongo wa kila mtanzania sasa hivi anatamani afe. Isipokuwa wale tu wanaokula keki ya taifa kwa kijiko cha kilichoundwa kwa dhahabu.
Hamna nchi hapa ni kikundi Cha wahuni tu.
 
Back
Top Bottom