Taifa letu linateketea kwa uchawa wakuu

Uchawa nao pia Ni tactic ya kusurvive, wapo watu ambao hawana elimu ya kuwapa ajira na Wala hawana bidii ya kuhustle na kupata pesa zao wenyewe.

Ila wamejaaliwa vipaji vya kupiga mizinga kwa watu wengine.Yaani Kuna mtu alikuomba hela utampa bila hiana mazeeπŸ˜‚
 
Ngoja tumuite raisi wa machawa atie neno
Lucas mwashambwa
Yupo dodoma na bango lake kubwa kaandika "KINA MAMA TUNA IMANI NA WEWE MAMA", chini kamalizia namba yake ya simu. Sauti imemkauka saa hizi kwa kuimba mapambio. Skuna imejaa vumbi, Tshirt ya kijani imelowa jasho na ndani ya nafsi akiomba dua zote japo aonekane.
 
Wazee hivi hakuna namna ya kuishi tu hata kwa kipato duni ? Kweli mwanaume anajitoa ufaham angalau apate chochote kitu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Mkulungwa Mushi hii sio sawa!!View attachment 2438673
Mkuu sifa ni hitaji kubwa sana kwa baadhi ya matajiri.
Hivyo watu wanakupa unachohitaji ili na wao wapate hitaji lao kwako..

Mwamba Geu🀣🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…