aimi lyatuu
JF-Expert Member
- Dec 7, 2015
- 742
- 796
Nacheka huku nikimkumbuka yule mnyaturu Suphian anavyokula makwenzi kule twitwaYupo dodoma na bango lake kubwa kaandika "KINA MAMA TUNA IMANI NA WEWE MAMA", chini kamalizia namba yake ya simu. Sauti imemkauka saa hizi kwa kuimba mapambio. Skuna imejaa vumbi, Tshirt ya kijani imelowa jasho na ndani ya nafsi akiomba dua zote japo aonekane.