Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Vaa jezi ww mwenye nia thabiti ili tukupe uongozi utuongozeVyama vya upinzani vilivyopo ni maswahiba wa CCM na hawana nia thabiti ya kuiondoa CCM madarakani.
Wananchi wameichoka CcM na wanataka mabadiliko.
CCM ilishawadharau wananchi na kuwaona wajinga . Lakini wananchi walishabumburuka.
Hakuna useriousness wa kupata katiba mpya itayozaa tume huru ya uchaguzi. Kuna ngonjera na maigizo tu.
Kulalamika tu kwamba nchi haina vyama vya upinzani nao ni ujinga tu.Kama unaona viongozi hawakufurahishi,nawe ni muda wako kuplay part kutafuta wanachama mbadala ili ukifika wakati wa kampeni hadi uchaguzi tuone mabadiliko.Vyama vya upinzani vilivyopo ni maswahiba wa CCM na hawana nia thabiti ya kuiondoa CCM madarakani.
Wananchi wameichoka CcM na wanataka mabadiliko.
CCM ilishawadharau wananchi na kuwaona wajinga . Lakini wananchi walishabumburuka.
Hakuna useriousness wa kupata katiba mpya itayozaa tume huru ya uchaguzi. Kuna ngonjera na maigizo tu.
Unda cha kwako.Vyama vya upinzani vilivyopo ni maswahiba wa CCM na hawana nia thabiti ya kuiondoa CCM madarakani.
Wananchi wameichoka CcM na wanataka mabadiliko.
CCM ilishawadharau wananchi na kuwaona wajinga . Lakini wananchi walishabumburuka.
Hakuna useriousness wa kupata katiba mpya itayozaa tume huru ya uchaguzi. Kuna ngonjera na maigizo tu.
Sajili cha kwako tukione.Upinzani wanasuppport serikali ya sasa.
Ndio wananchi tujue kuwa kinachowasukuma wapinzani kufanya siasa ni mambo binafsi na wala sio kwa manufaa ya wananchi.
Hizo kelele za katiba mpya ni kujitengenezea tu mazingira ya kushika dola ili nao wajibinafsishie mali za uma.
Wananchi tusipokuwa makini hawa wanasiasa watatupindua pindua kama chapati.
MboooowwKwako upinzani wa kweli ni upi?
Vyama vya upinzani vilivyopo ni maswahiba wa CCM na hawana nia thabiti ya kuiondoa CCM madarakani.
Wananchi wameichoka CcM na wanataka mabadiliko.
CCM ilishawadharau wananchi na kuwaona wajinga . Lakini wananchi walishabumburuka.
Hakuna useriousness wa kupata katiba mpya itayozaa tume huru ya uchaguzi. Kuna ngonjera na maigizo tu.
Jifunze kufikiria nje ya box na uache papara kama mwendawazimu.Unda cha kwako.
Kweli wapo wachache wasiojielewa wanashangilia wasichokijua kama ndege.Upinzani wanasuppport serikali ya sasa.
Ndio wananchi tujue kuwa kinachowasukuma wapinzani kufanya siasa ni mambo binafsi na wala sio kwa manufaa ya wananchi.
Hizo kelele za katiba mpya ni kujitengenezea tu mazingira ya kushika dola ili nao wajibinafsishie mali za uma.
Wananchi tusipokuwa makini hawa wanasiasa watatupindua pindua kama chapati.
Upinzani wanasuppport serikali ya sasa.
Ndio wananchi tujue kuwa kinachowasukuma wapinzani kufanya siasa ni mambo binafsi na wala sio kwa manufaa ya wananchi.
Hizo kelele za katiba mpya ni kujitengenezea tu mazingira ya kushika dola ili nao wajibinafsishie mali za uma.
Wananchi tusipokuwa makini hawa wanasiasa watatupindua pindua kama chapati.
Hakuna cha nje ya box wala nini. Watu kama wewe mnatabia mbovu. Kazi kurusha tu lawama kama vile umezuiwa kuanzisha chama chako. Kwani kuna aliyezaliwa kwa ajili ya kukuanzishia chama ili wewe uje ubwabwaje na vicomment vyako uchwara?Jifunze kufikiria nje ya box na uache papara kama mwendawazimu.