Taifa letu lingekuwa upinzani wa kweli CCM ingeg'olewa madarakani kiurahisi sana

utakua kilaza mpaka kufa kwako, hv viongozi wote wa NEC wanachaguliwa na mwenyekiti wa ccm upinzani unawezaje kushinda hata tukiwapigia kura mijizi ccm inaiba, inateka watu na kuwaua wengine bila huruma. Wakati mwingine kabla hujaandika jitafakari unatia watu hasira.
 
Ingia upinzani uone! Not that much easy as you think behind keyboard. Wapinzani hadi uhai wamepoteza, achilia mbali majeraha ya risasi za moto lakini CCM bado ipo palepale.
 
Ilishang'olewa 2015 sema nguvu ya dola ilitumika kubadili matokeo.
 

Sijaona shutuma zako kwa serikali wakati unadai kumbe upinzani unaiunga mkono tu serikali kwenye kutugeuza geuza kama chapati..

Kama hoja yako ni sahihi mwovu zaidi si ni serikali basi? Au ni ushauri yako kuwa tumvalie njuga zaidi serikali sasa?
 
Kama nimekuelewa vizuri unamaanisha katiba ya sasa inaruhusu watu kujilimbikizia mali!
 
Na huo ndo ukweli na msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…