Taifa limeingizwa kwenye mtego wa chuki kubwa

Ati radio mbao zinasema Stars walikatwa $230 zao, je yaweza kuwa ndizo DAB kabeba kwenda wagawia Harambee tuinunue mechi?? Sijui lakini. Ni mawazo yangu potofu tu. Natamani Stars wawalambe harambee 3-0
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji87][emoji87][emoji87][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Mungu saidia Harambee Stars.

Watz tulio nyuma ya Harambee Stars... kesho tukutane pahala tufungue champagne baada ya ushindi wa leo.

go Wanyama..... go!!
 
Ati radio mbao zinasema Stars walikatwa $230 zao, je yaweza kuwa ndizo DAB kabeba kwenda wagawia Harambee tuinunue mechi?? Sijui lakini. Ni mawazo yangu potofu tu. Natamani Stars wawalambe harambee 3-0
We ni kumpaf sana hahaha
 
Mmekumbatia chuki vifuani halafu mnamsingizia huyu na yule...[emoji16][emoji16] upendo uanzie ndani yako kwanza..If you hate youself you can't be loved.[emoji125][emoji125][emoji125]
 
Ati radio mbao zinasema Stars walikatwa $230 zao, je yaweza kuwa ndizo DAB kabeba kwenda wagawia Harambee tuinunue mechi?? Sijui lakini. Ni mawazo yangu potofu tu. Natamani Stars wawalambe harambee 3-0
Atawapa na Algeria??? [emoji23][emoji23], ccm stars lazima ichezee kichapo cha mbwa koko, wakijitutumua kwa wanyama, Algeria anakuja kumaliza kazi,.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…