Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,659
Huyu bwana mdogo ni muharibifu sana..
Siku zake zinakuja
Siku zake zinakuja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasioonekana..wanawinda..Piga hao ccm stars 3-0 siwezi kushangilia UNAFIKI mie. Sikutegemea KAMWE kuja kuandika haya niliyoyaandika lakini huyo nduli, dikteta na MUUAJI wa Ikulu ndiyo katufikisha hapa.
Mshana tunapaswa tuelezane ukweli tu
Serikali hii ina matatizo mengi sana zaidi ya shetani.
Tukiwa hivyo hatutafika kokote
[emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]Huyu bwana mdogo ni muharibifu sana..
Siku zake zinakuja
Ati radio mbao zinasema Stars walikatwa $230 zao, je yaweza kuwa ndizo DAB kabeba kwenda wagawia Harambee tuinunue mechi?? Sijui lakini. Ni mawazo yangu potofu tu. Natamani Stars wawalambe harambee 3-0Kimsingi leo mechi ni DAB vs Kenya wala Taifa Stars leo hawana game
Utani kiongozi!Unamaanisha nini
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji87][emoji87][emoji87][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Ati radio mbao zinasema Stars walikatwa $230 zao, je yaweza kuwa ndizo DAB kabeba kwenda wagawia Harambee tuinunue mechi?? Sijui lakini. Ni mawazo yangu potofu tu. Natamani Stars wawalambe harambee 3-0
Mungu saidia Harambee Stars.Nakwepa sana kitu kinaitwa chuki, nakwepa mno visasi... Chuki huzaa kisasi na kuviziana.... Kuombeana mabaya na kushindwa
Kama Taifa tulipitia vipindi tofauti vya chuki... Achana na chuki ile ya majirani kama ilivyo sasa... Hii inayojaribu kutengenezwa kati yetu na Wakenya.... Tuliwahi kupitishwa kwenye chuki za kiimani Waislam VS Wakristo... Chuki mbaya mno hii.... Lakini Mungu ni mwema hili likapita bila madhara makubwa
Hatujawahi kuingia kwenye chuki kubwa za kikabila... Hizi nazo zina sumu mbaya sana... Zinaweza kushabihiana kwa karibu na chuki za kidini...
Tafakuri, maono na hekima zetu zimeshindwa kutuepusha na chuki za kisiasa.... Kwasasa Waislam na Wakristo ni kitu kimoja.. Ila Watanzania kwa sasa wanachonganishwa na siasa kupitia wanasiasa...!
Uongozi ni kipawa... Tunaaswa kwenye misahafu kulinda vitu viwili kuliko vingine vyote.... MOYO na MDOMO... kwakuwa hivi ndio karakana ya mambo yote... Mema na mabaya... Moyo wenye msingi asili wa wazo na mdomo kama kiwakilishi na kipaza sauti cha kusambaza....
MDOMO ndio hatari zaidi ndio wa kulindwa zaidi kwakuwa chochote kitakachotoka humo hakina rivasi... Ni kama risasi ikitoka imetoka.... Kifuatacho ni madhara
Tuliombee taifa hali ni ngumu, chuki ni za wazi kabisa.. Tuwaombee viongozi wetu... Tuwashauri kwa hekima.... Kwa tafakuri kuu...
Maneno ni sumu, maneno yanajenga chuki, maneno yanafarakanisha.. Maneno yanaleta vita na kuangamiza roho nyingi zisizo na hatia......!!!
Tulitegemea leo iwe furaha kuu kwa timu yetu ya Taifa kufika ilipofikia baada ya miaka 40... Tulitegemea msisimko, shangwe, nderemo vifijo na kila aina ya bashasha... Lakini kilichopo kwa sasa ni kipi?
Hakuna shamrashamra, hakuna bashasha, hakuna msisimko wowote bali kuna MAOMBI hasi ya kutaka Taifa stars ishindwe.... Hii ndio itakuwa furaha ya wengi.... Kushindwa kwa stars kutaleta furaha kuliko kushinda....!!
Hapa ndipo tulipolifikisha Taifa.... Tutachomokaje kwenye mtego huu? Muda utasema... Siombei timu yangu ya Taifa ishinde wala ishindwe... Sitaki awepo mshindi kwenye hizi chuki...
Yeyote atakayeshinda ndio mwanzo wa kumea kwa mbegu ya chuki iliyokwisha pandikizwa...
Mungu ibariki Tanzania na watu wake...!!!!
We ni kumpaf sana hahahaAti radio mbao zinasema Stars walikatwa $230 zao, je yaweza kuwa ndizo DAB kabeba kwenda wagawia Harambee tuinunue mechi?? Sijui lakini. Ni mawazo yangu potofu tu. Natamani Stars wawalambe harambee 3-0
😂😂😂😂😂😂😂Wanasiasa..! View attachment 1140400
Atawapa na Algeria??? [emoji23][emoji23], ccm stars lazima ichezee kichapo cha mbwa koko, wakijitutumua kwa wanyama, Algeria anakuja kumaliza kazi,.Ati radio mbao zinasema Stars walikatwa $230 zao, je yaweza kuwa ndizo DAB kabeba kwenda wagawia Harambee tuinunue mechi?? Sijui lakini. Ni mawazo yangu potofu tu. Natamani Stars wawalambe harambee 3-0