Kawafikisha wapi?Piga hao ccm stars 3-0 siwezi kushangilia UNAFIKI mie. Sikutegemea KAMWE kuja kuandika haya niliyoyaandika lakini huyo nduli, dikteta na MUUAJI wa Ikulu ndiyo katufikisha hapa.
Mshana Jr, twambie hasa kosa la selikali kwa stars ni lipi? Kipi hasa kimefanywa na selikali ambacho kimewaudhi watu.hasa chadema.[emoji25][emoji25][emoji25][emoji25] nayatambua maumivu ya wengi
=serikali.Na kama wewe siyo nyumbu ainisha makosa yaliyofanywa na selikali kwa stars!
Ainisha makosa ya selikali achana na huo uandishi=serikali.
TwaaafwaaaWanasiasa..! View attachment 1140400
Makosa ya serikali ni pamoja na kufuga illiterates kama wewe!Ainisha makosa ya selikali achana na huo uandishi
Huna hoja mkuu, wote mnaoibeza stars kisa selikali kuhamasisha watu kuisapoti nawaona ni wapumbavu sana.Makosa ya serikali ni pamoja na kufuga illerates kama wewe!
Utaaibika sanaFuraha yangu iyo timu ipingwe mechi zote Harambee star nipeni raha jamani naombeni sana
Huko wanakosema mmejazana kwao muondoke ndo mnawashabikia?
Hujui unachokiongea kwa sababu wewe ni idiot embacile. Kilichoko JF kinareflect mitaani kulivyo.Mgawanyiko wa Watanzania kuhusiana na mechi ya stars upo humu Jamiiforums peke yake.
Member wenyewe wa JF sidhani Kama hata nusu ya robo ya Watanzania wanafika hapohapo Kuna murtiple ID.
Japo dogo DAB ni live anazingua ila siwezi nikaichukia Taifa stars kisa yeye.Kwa sababu DAB sio Taifa stars.
Kuigeuza timu ya Taifa kuwa timu ya Chama.Ainisha makosa ya selikali achana na huo uandishi
Wapi ambapo stars imefanywa ya ccm? Yani selikali kuwatia watu hamasa ndio kuwa ya ccm?Kuigeuza timu ya Taifa kuwa timu ya Chama.