Taifa limeingizwa kwenye mtego wa chuki kubwa

Uhakika leo 3/1
Ushindi ni lazima kwa Tanzania.
Taifa star oyeee!!!!!
 
Kumbe mchinjaji alichinja kuku Mweupe badili ya Mweusi mkuu.. Mchinjaji katuangusha na kamwangusha Babu.
imeniuma sana kufungwa.
sasa huyo kuku tunamptaje ili angalau tule nyama.
makonda hoooyeeeeeeeeeeee!!!!
 
Tehe tehe bavicha wanatoa stress na kufarijiana hapa
tutafunga na kuomba kwa ajili ya yule jamaa anayeombaga tumuombee.
tutakayomuombea tunajua wenyewe, na majibu mnajua yatakuwaje!!!
 
Kusema kweli Mimi nimeiomvea vibaya Taifa Stars kwa sababu ya DAB. Na tuko wengi. Mungu anesikia dua zetu. Tumechapwa 3 - 2.
 
Ahsante mungu kwa matokeo hayo.....
Nairobi tumetishiwa kupigwa tukachachawa
Kumbe ile ilikuwa mbinu km za wanamasumbwi za kututoa mchezoni na kweli tukatoka wametupa tatu za kumchembe
Mpira ni sayansi na sio hamasa pekee na mapambio
 
pamoja sana.
tunaipenda sana Tanzania sema basi tu.
Mpira ni Biashara Mkuu na Biashara ni kuwekeza toka hatua ya kwanza mpaka Mwisho.

Bila kuwekeza hakuna kitakacho tokea tofauti na Mahajabu.

Ipo siku tutakenua Meno njee muda huu ni muda wa kuwekeza na kuungana kwa kila jambo hii ni Tanzania yetu sote..


Mungu bariki Tanzania na Watu wake.

ONE LOVE.
 
Pamoja sana mkuu.
 
Matokeo haya yatawafanya wasemaji wa timu ya chama wafunge midomo yao.Siasa ikiachwa itawale kila sehemu,hatutafika.Lazima viongozi wakemee haya mambo.Japo jini likishatoka kwenye chupa ni ngumu sana kulidhibiti.
 

Kiufupi tumepigwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…