Taifa limesimama kwa muda kupisha ndoa ya taifa baina ya Gilsant Mlaseko na Mfanyabiashara mrembo Lucy

baba yako na mama yako wamekaa mahali wanajiona wana mtoto

kumbe takataka inakaa kufuatilia na kuandika ndoa za watu na kulazimisha eti ndoa ya taifa

ndugu, mimj siwajui hao watu!!!!!!!!!!!!!!!!! trust me wengi hawawajui, usilazimishe kusema ndoa ya taifa
 
Safi sana,watu wamefanikiwa ndo wanaingia ndoani.

Sio wajinga wengine hata ktanda hawana wanaforce watengenezewe harusi kubwa.
 
Harusi kafanya yeye....sisi wengine kutufanyeje
 
Naomba connection
 
Wewe ndiyo Gilsant unajitangaza kiaina au imekaaje hapa?
 
Kaka /dada/ mkuu Ngoja nikufundishe kitu kimoja kwa niaba ya wana JF wote

Nchini humu katika uwanda wa biashara kuna biashara za aina mbili

B2C na B2B

Wanaofanya biashara za B2C ndio wanajulikana sana sababu wana ingage sana na wateja na matajiri wengi unaowajua wewe ni B2C kina Fredy vunja bei, Michael ngeleku, Aboud hao wengi hufanya biashara za B2C

Ila sasa hao wanaofanya biashara ya B2C kuna watu hufanya nao B2B

Na kwenye B2B ndio hujuana na watu wengi ambao in one way or another itakuwa ni connection na watu

Na kuna matajiri wanapiga hela sana kwa B2B na B2G

Mfano Lugumi anapiga sana hela na B2G na ni ukweli usiopingika kuwa mtu kama Lugumi anaweza kukupa connection ya maana sana ukatoboa hapa nchini kuliko wale wahindi wenye supermarket za shoppers ambao wao hufanya B2C

You get my point

Na kutomjua mtu wewe haizuii kuwa huyo mtu hajulikani sema it's not your cycle

Sasa kama mtu anajulikana na corporates na ceo round table yoote unasema humjui..sikuzuiii ila what you have to do is to take a note kumjua huenda ikawa msaada kwenye maisha yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…