Taifa limesimama kwa muda kupisha ndoa ya taifa baina ya Gilsant Mlaseko na Mfanyabiashara mrembo Lucy

Kuitana hawezi kuwa na muda wa kufatilia ushenzi kama huo, na hata huyu anaezungumziwa ni sawa kijakazi wake tu.
 
Umeulizwa, wakati wewe unaolewa ulimkuta jamaa kajipanga kama huyu anaezungumziwa hapa kwenye thread?

Badala ya kujibu unaanza blah blah, au ndo njia uliyoichagua kuhimiza vijana watafute pesa?
 
Mtu akimuhonga mtuwe pia mna mind? Watu humu mbona mna makasiriko Sana...ulitaka akuhonge ww?
Uelewa wako umeishia hapo ulivyoelewa ndo hivyo ..
Sina cha kubishana na wewe ..
 
Umeulizwa, wakati wewe unaolewa ulimkuta jamaa kajipanga kama huyu anaezungumziwa hapa kwenye thread?

Badala ya kujibu unaanza blah blah, au ndo njia uliyoichagua kuhimiza vijana watafute pesa?
Jibu ni kwamba hatutaki kuchangia masikini,kama huna kitu tuliza mku ndu
 
Jibu ni kwamba hatutaki kuchangia masikini,kama huna kitu tuliza mku ndu
Hautaki wewe na nani sasa? Au unamaanisha wewe na hiyo bwanako tajiri?

Nampongeza sana kwakupata mwanamke mchumi na kwenye uchungu na pesa zake kama wewe.Mungu anisaidie nimpate kama wewe.
 
Hautaki wewe na nani sasa? Au unamaanisha wewe na hiyo bwanako tajiri?

Nampongeza sana kwakupata mwanamke mchumi na kwenye uchungu na pesa zake kama wewe.Mungu anisaidie nimpate kama wewe.
Sitaki mimi na huyo shemeji yako unaemtegemea kwa kila kitu,atakuja kuwaoa wewe na dada ako mmuzalie mapacha
 
Embu tutolee uchuro wako hapa, mbona mimj siwamfahamu huyo gillisant na huyo mke wake anafanya biashara ipi ambayo umeamua kumpachika jina la mfanyabiashara mkuwa tanzania?
 
Mbona unalazimisha watu wamjue aisee, wakati watu wa familia yake Wana mjua, na hii ndoa ya promotion kudumu itakuwa kudra za meenyezi Mungu
 
Mbona unalazimisha watu wamjue aisee, wakati watu wa familia yake Wana mjua, na hii ndoa ya promotion kudumu itakuwa kudra za meenyezi Mungu
huu mwandiko ni wa Lucy mwenyewe,wanajipromote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…