Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,189
- 128,283
Haya mambo ya kazi na bata Dr Bashiru amesema eti yanauwa uchumi wa nchiSasa hivi anakula Bata Rubondo, usimtingishe, kazi na Bata[emoji3][emoji3][emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaharibu uchumi wa nchi, kaibebesha nchi deni kubwa kwa gharama za kubaki madarakani 2020, kwa kununua wapinzani
Pumzi imekata hana cha kuongea kwa mfano uchaguzi was serikali za mitaa jinsi walivyojivua nguo ataongea nini sasa!?Jamani mwisho wa mwaka baada Rais atokee aongee na taifa atoe matumaini mapya kwa nchi yeye haonekani.
Anapenda mpaka awe na jopo la watu wote kufanya uzinduzi wa visima vya shule akiwa live
Ila kuchukua hata saa 1 kuongea na taifa na kutoa matumaini mapya kwa mambo ambayo yanaendelea yenye utata mkubwa hawezi?
Jamani hivi taifa lilipata Rais wa namna gani angalia mambo na matukio ya kisiasa na kiuchumi yaliyotokea mwaka mzima ina maana hayana nguvu ya kutolewa ufafanuzi?
Swala kama la uchaguzi serikali za mitaa hivi taifa lina Rais wa namna gani? bado natafakari.
Oya TZ siyo States usilete habari za 1st Amendment huku uswahilini.
Hakika, tuna rais Wa ajabu haijawahi kutokea
Lakini kweli..si angeweka hata Jiwe la Msingi la mwaka mpya..!!
Halafu atatuambia huu mwaka umekuja kwa juhudi zake kwa hiyo tumsifie au tutakuwa tumetumwa na mabeberu halafu atubambikie kesi ya Utakatishaji wa fedha na uhujumu uchumiLakini kweli..si angeweka hata Jiwe la Msingi la mwaka mpya..!!
[emoji23][emoji23][emoji23]Kwani hujamsikia leo ameongea na Taifa na kutujuza kuwa Waziri na Katibu Mkuu wake wana bifu??
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona Kama mkuu umehama na Akili za 2019 zilizo jaa Vijembe.Jamani mwisho wa mwaka baada Rais atokee aongee na taifa atoe matumaini mapya kwa nchi yeye haonekani.
Anapenda mpaka awe na jopo la watu wote kufanya uzinduzi wa visima vya shule akiwa live
Ila kuchukua hata saa 1 kuongea na taifa na kutoa matumaini mapya kwa mambo ambayo yanaendelea yenye utata mkubwa hawezi?
Jamani hivi taifa lilipata Rais wa namna gani angalia mambo na matukio ya kisiasa na kiuchumi yaliyotokea mwaka mzima ina maana hayana nguvu ya kutolewa ufafanuzi?
Swala kama la uchaguzi serikali za mitaa hivi taifa lina Rais wa namna gani? bado natafakari.
Rais huyu mwehu. Mwaka wa nne sasa hajatutumia salaam za mwaka mpya.
Muda wa kumpigia Mondi aliupata,ila kuongea na Taifa hana muda. Ana dharau kweli huyu Magu.Ameongea usiku huu kwa njia ya simu kwenye shoo ya domo mpk ameimba na wimbo wa kilugha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio Greyson ni GersonGreyson ametoa press release kurugenzi ya mawasiliano ikulu kutokea rubondo eti "raisi acheka"