Taifa lina Rais gani asiyependa kuongea na wananchi?

Aliongea nao kupitia Diamond Platnilumz wakiwa kwenye show Kighoma, au ulitakaje Mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miundombinu bila maisha na utawala bora ni umaskini...!!
Alafu fahamu kuwa ushamba si umjini na ukijijini... Ni mtazamo wa akili ya mtu!
Sasa wewe na akili Yako unaona yaliokuwa yakifanyika huko nyuma ni bora zaidi ya haya yanayofanyika sasa. Ndio yalikuwa ya kimjinimjini
Halafu potholes, mazingira mabovu kwako ndio maisha bora,
Halafu sera ipi inatolewa ni ya umasikini
 
Umeuliza swali zuri. Hii live coverage na manoti imezoleka na haileti matumaini!
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Watu wanasema Wanawake kuwaelewa Ni ngumu sana. Akihutubia kwenu tatizo. Akikaa kimya tatizo. So what do you really want and need my Friend? Mi nahisi kwa kuwa mmeshamwona nyie wachache wa JF hawafai. Anawafaa Membe. Then tegeni maskio yenu kwa Membe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…