Ndugu yangu.Ukitembelea Twita kila mfuasi, mwanachama na Mwanachama wa Chadema anaponda wavuvi kutoa msaada ya kuokoa.
Hivi kuna ubaya gani raia kusaidia kufanya maokozi?
Mbona hata huko Usa na ulaya majanga yakitokea raia huwa wanatoa msaada.?
Ina maana Chadema nyie ni watu wa kuponda hata kama kuna msiba?
Kazi ya helicopter zetu ni kurushia matokeo ya Sensa!We ni mpumbavu grade A,nani kalaumu raia kufanya uokoaji.na sio chadema kila mwenye akili timamu ameona upumbavu wa serikali yetu na amepaza sauti.wanajeshi wa majini wangewahishwa on time naamini wote wangetoka hai.......majaliwa kapata helkopta ya kwenda huko lakini sio watu ambao wangetoa msaada kwa waliokutwa na janga.funga kopo sio kila kitu lazma mzungumze
Mimi sio Chadema ila huyu Chidugunde Ni mpumbavu Sana...Chadema tutawaonea Bure tu!
Ujinga ni tatizo kubwa kwenye taifa letu,habari ni mbinu hafifu za Uokoaji kwenye ajali ya Jana halafu kuna mtu anauliza CHADEMA wangefanya mini!Ujinga tu, siyo CCM, siyo Chadema, ACT au sijui nini? Ni ujinga tu Kila kona. Hao Chadema wanaoponda, wangefanya nini? Hata HQ ya maana ya chama chao mpaka leo hawajajenga….ujinga tu!
Wewe Kichaa kabisaUkitembelea Twita kila mfuasi, mwanachama na Mwanachama wa Chadema anaponda wavuvi kutoa msaada ya kuokoa.
Hivi kuna ubaya gani raia kusaidia kufanya maokozi?
Mbona hata huko Usa na ulaya majanga yakitokea raia huwa wanatoa msaada.?
Ina maana Chadema nyie ni watu wa kuponda hata kama kuna msiba?
Ripoti ya uchunguzi ya maji ya MTO Mara ilituonyesha kwamba viongozi wetu ni watu wa aina gani.Kila siku utasikia uchunguz
MUNGU akubariki sana sana, umesema kwa busara sana. Anasema CHADEMA imekufa Wakati huo huo wanataka CHADEMA iseme Neno, Huyu ni kichaaNdugu yangu.
Mimi ni mwanaCCM kindakindaki lakini ninasimama kwenye ukweli.
Hii porojo uliyoiandika hapa inazidi kutudidimiza chama tawwla kwa sababu hakuna connection ya chadema na hizi issues za kizembe na kikatili zinazofanywa na viongozi wetu
Tumewazuia wasijenge chama chao kwa mujibu wa sheria
Tumewabana kila kona.
Kwa nini leo tuwalazimishe walie msibani?
Misiba yao imewaelemea hawana wa kulia pamoja nao
Usiku kucha wewe ni chadema, hii ni ajira yako inawezekanaUkitembelea Twita kila mfuasi, mwanachama na Mwanachama wa Chadema anaponda wavuvi kutoa msaada ya kuokoa.
Hivi kuna ubaya gani raia kusaidia kufanya maokozi?
Mbona hata huko USA na Ulaya majanga yakitokea raia huwa wanatoa msaada.?
Ina maana Chadema nyie ni watu wa kuponda hata kama kuna msiba?
Sabaya anaendeleaje pale Jela Karanga??Ukitembelea Twita kila mfuasi, mwanachama na Mwanachama wa Chadema anaponda wavuvi kutoa msaada ya kuokoa.
Hivi kuna ubaya gani raia kusaidia kufanya maokozi?
Mbona hata huko USA na Ulaya majanga yakitokea raia huwa wanatoa msaada.?
Ina maana Chadema nyie ni watu wa kuponda hata kama kuna msiba?
Jikwaaa lisha kuwa la kipuuzi hili, watu wanawaza kwa kutumia ndumkuUkitembelea Twita kila mfuasi, mwanachama na Mwanachama wa Chadema anaponda wavuvi kutoa msaada ya kuokoa.
Hivi kuna ubaya gani raia kusaidia kufanya maokozi?
Mbona hata huko USA na Ulaya majanga yakitokea raia huwa wanatoa msaada.?
Ina maana Chadema nyie ni watu wa kuponda hata kama kuna msiba?