Taifa linaomboleza. CHADEMA wamebaki kuendekeza majungu. Hawajui hata zilizoendelea raia hushiriki kuokoa kwenye majanga?

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Ukitembelea Twita kila mfuasi, mwanachama na Mwanachama wa CHADEMA anaponda wavuvi kutoa msaada ya kuokoa.

Hivi kuna ubaya gani raia kusaidia kufanya maokozi?

Mbona hata huko USA na Ulaya majanga yakitokea raia huwa wanatoa msaada.?

Ina maana CHADEMA nyie ni watu wa kuponda hata kama kuna msiba?
 
Ukitembelea Twita kila mfuasi, mwanachama na Mwanachama wa Chadema anaponda wavuvi kutoa msaada ya kuokoa.

Hivi kuna ubaya gani raia kusaidia kufanya maokozi?

Mbona hata huko Usa na ulaya majanga yakitokea raia huwa wanatoa msaada.?

Ina maana Chadema nyie ni watu wa kuponda hata kama kuna msiba?
Ndugu yangu.
Mimi ni mwanaCCM kindakindaki lakini ninasimama kwenye ukweli.

Hii porojo uliyoiandika hapa inazidi kutudidimiza chama tawala kwa sababu hakuna connection ya chadema na hizi issues za kizembe na kikatili zinazofanywa na viongozi wetu

Tumewazuia wasijenge chama chao kwa mujibu wa sheria
Tumewabana kila kona.

Kwa nini leo tuwalazimishe walie msibani?

Misiba yao imewaelemea hawana wa kulia pamoja nao
 
Mimi sijawahi sikia USA au Ulaya katika kipindi cha winter (barafu) wakifunga kwa maombi eti jua liwake....huwa wanavaa makoti na serikali yao ina hakikisha kwamba ina nishati ya kutosha ili wananchi wa heat nyumba zao ili wasigande na barafu....

Ila ukija kwa serikali ya CCM ni vituko.....wanaomba mvua kipindi cha kiangazi....wacha wawaponde tu....
 
Nani kalaumu raia kufanya uokoaji na sio chadema kila mwenye akili timamu ameona upumbavu wa serikali yetu na amepaza sauti. Wanajeshi wa majini wangewahishwa on time naamini wote wangetoka hai... Majaliwa kapata helkopta ya kwenda huko lakini sio watu ambao wangetoa msaada kwa waliokutwa na janga funga kopo sio kila kitu lazma mzungumze
 
We ni mpumbavu grade A,nani kalaumu raia kufanya uokoaji.na sio chadema kila mwenye akili timamu ameona upumbavu wa serikali yetu na amepaza sauti.wanajeshi wa majini wangewahishwa on time naamini wote wangetoka hai.......majaliwa kapata helkopta ya kwenda huko lakini sio watu ambao wangetoa msaada kwa waliokutwa na janga.funga kopo sio kila kitu lazma mzungumze
Kazi ya helicopter zetu ni kurushia matokeo ya Sensa!
 
Ujinga tu, siyo CCM, siyo Chadema, ACT au sijui nini? Ni ujinga tu Kila kona. Hao Chadema wanaoponda, wangefanya nini? Hata HQ ya maana ya chama chao mpaka leo hawajajenga….ujinga tu!
Ujinga ni tatizo kubwa kwenye taifa letu,habari ni mbinu hafifu za Uokoaji kwenye ajali ya Jana halafu kuna mtu anauliza CHADEMA wangefanya mini!

Hivi kwa akili zako za kijiko Chadema wanaongoza chombo gani, Navy au Zimamoto?
 
Ukitembelea Twita kila mfuasi, mwanachama na Mwanachama wa Chadema anaponda wavuvi kutoa msaada ya kuokoa.

Hivi kuna ubaya gani raia kusaidia kufanya maokozi?

Mbona hata huko Usa na ulaya majanga yakitokea raia huwa wanatoa msaada.?

Ina maana Chadema nyie ni watu wa kuponda hata kama kuna msiba?
Wewe Kichaa kabisa
 
Ndugu yangu.
Mimi ni mwanaCCM kindakindaki lakini ninasimama kwenye ukweli.

Hii porojo uliyoiandika hapa inazidi kutudidimiza chama tawwla kwa sababu hakuna connection ya chadema na hizi issues za kizembe na kikatili zinazofanywa na viongozi wetu

Tumewazuia wasijenge chama chao kwa mujibu wa sheria
Tumewabana kila kona.

Kwa nini leo tuwalazimishe walie msibani?

Misiba yao imewaelemea hawana wa kulia pamoja nao
MUNGU akubariki sana sana, umesema kwa busara sana. Anasema CHADEMA imekufa Wakati huo huo wanataka CHADEMA iseme Neno, Huyu ni kichaa
 
Ukitembelea Twita kila mfuasi, mwanachama na Mwanachama wa Chadema anaponda wavuvi kutoa msaada ya kuokoa.

Hivi kuna ubaya gani raia kusaidia kufanya maokozi?

Mbona hata huko USA na Ulaya majanga yakitokea raia huwa wanatoa msaada.?

Ina maana Chadema nyie ni watu wa kuponda hata kama kuna msiba?
Usiku kucha wewe ni chadema, hii ni ajira yako inawezekana
 
Ukitembelea Twita kila mfuasi, mwanachama na Mwanachama wa Chadema anaponda wavuvi kutoa msaada ya kuokoa.

Hivi kuna ubaya gani raia kusaidia kufanya maokozi?

Mbona hata huko USA na Ulaya majanga yakitokea raia huwa wanatoa msaada.?

Ina maana Chadema nyie ni watu wa kuponda hata kama kuna msiba?
Sabaya anaendeleaje pale Jela Karanga??
 
Ukitembelea Twita kila mfuasi, mwanachama na Mwanachama wa Chadema anaponda wavuvi kutoa msaada ya kuokoa.

Hivi kuna ubaya gani raia kusaidia kufanya maokozi?

Mbona hata huko USA na Ulaya majanga yakitokea raia huwa wanatoa msaada.?

Ina maana Chadema nyie ni watu wa kuponda hata kama kuna msiba?
Jikwaaa lisha kuwa la kipuuzi hili, watu wanawaza kwa kutumia ndumku
 
Back
Top Bottom