Taifa linaomboleza. CHADEMA wamebaki kuendekeza majungu. Hawajui hata zilizoendelea raia hushiriki kuokoa kwenye majanga?

Kmmk
 
Mimi sio chadema wala ccm.
Na hapa umeandika pumba
 
Tunahitaji kujichunguza sana ubinadamu wetu kama unatosha au unahitaji kuboreshwa
 
Ungekaa kimya hakuna ambaye angehoji ukubwa wa upumbavu ulio nao. Punguza kuwashwa, jifunze kukaa kimya inapobidi!
 
Kuna watu ni wa hovyo sana, asante kwa kumpa jibu lililoenda shule
 

Akili za MaCCM ndo kama hivi. Utadhani mbwa jike alopata joto!
 
[emoji116]
 
Umeandika upumbavu wako, uzembe mkubwa umefanyika na watu wameshindwa kuokolewa bado unaongea ujinga. Feel shame for yourself. Wewe umeona ule ndio uokoaji? Fikiria japo kidogo na pia muone maisha ya watu wengine yana thamani pia wewe.
 
Masikini rubani na msaidizi wake wamejitahidi ndege imetua juu ya maji, wamefanya mawasiliano kuomba msaada ila serikali katili ya CCM imeshindwa kuwaokoa mpaka wamekufa maji pamoja na abiria wengine.
 
Hii hoja yako ni ya kipuuzi kabisa.

Sijasikia mtu akiwalaumu wavuvi kutoa msaada kwa wahanga. Kila mmoja amewapongeza sana hawa wavuvi duni, ambao hawajawahi kupanda hata ndege, leo wakiokoa maisha ya baadhi waliobahatika. Wamejitahidi sana kwa kuzingatia vifaa walivyo navyo.

Kilicho dhahiri ni kwamba kila mwenye akili timamu ameshuhufia na kulaumu kwa kiwango cha juu kabisa Serikali ambayo haina maono na haina mipango yoyote ya maana ya kupambana na majanga, huku wakichezea pesa za umma kwa mambo yasiyo na umuhimu kama kununua magari ya kifahari, kutumia helikopta kutembeza kakaratasi kenye idadi ya watu, magari ya kila aina ya maji ya washawasha!

Hakika tuna Serikali duni iliyojaa watu wabinafsi, wapenda anasa, wasioyajali maisha ya umma, ambao kimsingi ni pesa yao ndiyo wanayoitumia kufanyia anasa.
 
Selikali haiponserious na ishu za Majanga.
Jana tumeshuhudia ya Bukoba
JUZI tumeshuhudia ya Morogoro.
Majuzi Mv spice, Busisi nk.

NCHI IMEJAA WAAAÀPUMMBAVLFU7U.
MAZEZEEEEEETA.
MA V8

Uokoaji QUMAMAE ZENU.
MAJANGA MBWAAA NYIEEEE.

Nisije nikatukana nikapigwa Bani.

Niishie hapo
 
Ujinga ni tatizo kubwa kwenye taifa letu,habari ni mbinu hafifu za Uokoaji kwenye ajali ya Jana halafu kuna mtu anauliza CHADEMA wangefanya mini!

Hivi kwa akili zako za kijiko Chadema wanaongoza chombo gani, Navy au Zimamoto?
Nchi hii haibadiliki. Viongozi hawawajibiki kwa sababu ya kuwa na watu wajinga kama huyu mleta mada. Viongozi hawawezi kuwajibika kama umma hauwezi kuwawajibisha. Bahati mbaya, umma wenyewe ni pamoja na huyu mleta mada hii ya kijibga.

Tunaongekea uhai wa watu, yeye anaongelea habari za CHADEMA. Hivi ndani ya ile ndege, au hata miongoni mwa waliokufa, vifo vimechagua huyu ni wa CCM nimwache, na huyu ni wa CHADEMA aangamie?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…