Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sabaya anaendeleaje pale Jela??naona umeacha kumlilia sasa hivi bwanako Sabaya enhKitu gani hicho?
KmmkUkitembelea Twita kila mfuasi, mwanachama na Mwanachama wa Chadema anaponda wavuvi kutoa msaada ya kuokoa.
Hivi kuna ubaya gani raia kusaidia kufanya maokozi?
Mbona hata huko USA na Ulaya majanga yakitokea raia huwa wanatoa msaada.?
Ina maana Chadema nyie ni watu wa kuponda hata kama kuna msiba?
Mimi sio chadema wala ccm.Ukitembelea Twita kila mfuasi, mwanachama na Mwanachama wa Chadema anaponda wavuvi kutoa msaada ya kuokoa.
Hivi kuna ubaya gani raia kusaidia kufanya maokozi?
Mbona hata huko USA na Ulaya majanga yakitokea raia huwa wanatoa msaada.?
Ina maana Chadema nyie ni watu wa kuponda hata kama kuna msiba?
Mimi sijawahi sikia USA au Ulaya katika kipindi cha winter (barafu) wakifunga kwa maombi eti jua liwake....huwa wanavaa makoti na serikali yao ina hakikisha kwamba ina nishati ya kutosha ili wananchi wa heat nyumba zao ili wasigande na barafu....
Ila ukija kwa serikali ya CCM ni vituko.....wanaomba mvua kipindi cha kiangazi....wacha wawaponde tu....
Ungekaa kimya hakuna ambaye angehoji ukubwa wa upumbavu ulio nao. Punguza kuwashwa, jifunze kukaa kimya inapobidi!Ukitembelea Twita kila mfuasi, mwanachama na Mwanachama wa Chadema anaponda wavuvi kutoa msaada ya kuokoa.
Hivi kuna ubaya gani raia kusaidia kufanya maokozi?
Mbona hata huko USA na Ulaya majanga yakitokea raia huwa wanatoa msaada.?
Ina maana Chadema nyie ni watu wa kuponda hata kama kuna msiba?
Chadema tutawaonea Bure tu!
Kuna watu ni wa hovyo sana, asante kwa kumpa jibu lililoenda shuleNdugu yangu.
Mimi ni mwanaCCM kindakindaki lakini ninasimama kwenye ukweli.
Hii porojo uliyoiandika hapa inazidi kutudidimiza chama tawala kwa sababu hakuna connection ya chadema na hizi issues za kizembe na kikatili zinazofanywa na viongozi wetu
Tumewazuia wasijenge chama chao kwa mujibu wa sheria
Tumewabana kila kona.
Kwa nini leo tuwalazimishe walie msibani?
Misiba yao imewaelemea hawana wa kulia pamoja nao
Ukitembelea Twita kila mfuasi, mwanachama na Mwanachama wa Chadema anaponda wavuvi kutoa msaada ya kuokoa.
Hivi kuna ubaya gani raia kusaidia kufanya maokozi?
Mbona hata huko USA na Ulaya majanga yakitokea raia huwa wanatoa msaada.?
Ina maana Chadema nyie ni watu wa kuponda hata kama kuna msiba?
[emoji116]Ukitembelea Twita kila mfuasi, mwanachama na Mwanachama wa Chadema anaponda wavuvi kutoa msaada ya kuokoa.
Hivi kuna ubaya gani raia kusaidia kufanya maokozi?
Mbona hata huko USA na Ulaya majanga yakitokea raia huwa wanatoa msaada.?
Ina maana Chadema nyie ni watu wa kuponda hata kama kuna msiba?
Shirima unateswa na kuteseka meku!Mnapokezana ujinga.
Umeandika upumbavu wako, uzembe mkubwa umefanyika na watu wameshindwa kuokolewa bado unaongea ujinga. Feel shame for yourself. Wewe umeona ule ndio uokoaji? Fikiria japo kidogo na pia muone maisha ya watu wengine yana thamani pia wewe.Ukitembelea Twita kila mfuasi, mwanachama na Mwanachama wa Chadema anaponda wavuvi kutoa msaada ya kuokoa.
Hivi kuna ubaya gani raia kusaidia kufanya maokozi?
Mbona hata huko USA na Ulaya majanga yakitokea raia huwa wanatoa msaada.?
Ina maana Chadema nyie ni watu wa kuponda hata kama kuna msiba?
Ila kwenye ulinzi wa kura hawa wananchi huwa mnawafurumusha kwa mabomu na risasi.Hoja kuu ni kuwa hata raia wanapaswa kushiriki kuokoa janga
Hii hoja yako ni ya kipuuzi kabisa.Ukitembelea Twita kila mfuasi, mwanachama na Mwanachama wa Chadema anaponda wavuvi kutoa msaada ya kuokoa.
Hivi kuna ubaya gani raia kusaidia kufanya maokozi?
Mbona hata huko USA na Ulaya majanga yakitokea raia huwa wanatoa msaada.?
Ina maana Chadema nyie ni watu wa kuponda hata kama kuna msiba?
Nchi hii haibadiliki. Viongozi hawawajibiki kwa sababu ya kuwa na watu wajinga kama huyu mleta mada. Viongozi hawawezi kuwajibika kama umma hauwezi kuwawajibisha. Bahati mbaya, umma wenyewe ni pamoja na huyu mleta mada hii ya kijibga.Ujinga ni tatizo kubwa kwenye taifa letu,habari ni mbinu hafifu za Uokoaji kwenye ajali ya Jana halafu kuna mtu anauliza CHADEMA wangefanya mini!
Hivi kwa akili zako za kijiko Chadema wanaongoza chombo gani, Navy au Zimamoto?
Wewe ni mpuuzi.Hoja kuu ni kuwa hata raia wanapaswa kushiriki kuokoa janga
Huyu ni mjinga tu. Sidhani kama kuna anachokijua cha maana. Ni wa kumwonea huruma. Siyo kila anayeweza kuandika, ni mzima.Usiku kucha wewe ni chadema, hii ni ajira yako inawezekana