Taifa lipaze sauti kubwa Askofu Mwamakula aachiwe mara moja. Hakuna hatia aliyoifanya

Mbona viongozi wa dini wakishiriki mikutano ya Ccm hamsemi?
Ni wajibu wa viongozi wa dini kuhudumia kiroho jamii ama mikusanyiko yoyote,ila sio wajibu wa viongozi wa dini kuitisha maandamano na kuvuruga amani tena kipindi hiki cha mapambano dhidi ya Corona.
 
Huyo askofu ameshindwa kabisa kutumia busara. Kwanini anataka kuvunja amani? Ndugu zangu, maaskofu kama hawa hatupaswi kuwaendekeza.
 
Hofu......
 
Kwa hili, Mambosasa ameonyesha utopolo mkubwa na kutumiwa na mamlaka za juu. Ule msemo "akili za kuambiwa changanya na za kwako" ndiyo mahali pake. Mambosasa hajachanganya akili zake. Sasa WaTZ watamsaidia kuzichanganya. Mwisho wa uzuzu wa uRPC wake utachagizwa na tukio hili.
 
Wanaodai JPM atawale zaidi ya muda uliowekwa na katiba Wana hekima?
 
Utaandamana kumuunga mkono Askofu au ndio ushamaliza maandamano humu kwa keyboard?
 
Unamtetea mtu anayejificha kwenye dini ilihali akifanya siasa chafu? Huyo siyo askofu. Hana tofauti na nabii Tito. Tena afungwe miaka isiyopungua 30 kwa kuhatarisha usalama wa Nchi. Kuna mtu alikjwa nacho uingereza anakifahamu vyema. Mi puppet wa wazungu hana issue afungwe tu.

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Polisi mnatafutaa laana kumshikilia mtu wa Mungu bila kosa.
Kudai katiba na maandamano ni haki ya kikatiba.
 
Kwa nini umechangia huu mjadala?
 
Nani? Mwache akalipie zambi zake. Afunzwe adabu bado wewe
 
Nampapole mama aliyekuleta duniani kama mtoto mwenyewe hizi ndio akili zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…