Taifa lipaze sauti kubwa Askofu Mwamakula aachiwe mara moja. Hakuna hatia aliyoifanya

Duh...!
 
Kuandaa maandamano ya hiari kudai katiba ni kosa? Maandamano aliyoandaa yanahatarisha amani?
Katiba ya kanisa lake inasemaje kuhusu kazi yake ya uaskofu? Inatamka kuwa kazi yake ni ni kuandaa maandamano ya kisiasa? Tuanzie hapo kwenye katiba ya kanisa lake
 
Katiba ya kanisa lake inasemaje kuhusu kazi yake ya uaskofu? Inatamka kuwa kazi yake ni ni kuandaa maandamano ya kisiasa? Tuanzie hapo kwenye katiba ya kanisa lake
Habari ya katiba ya kanisa lake inahusika vipi?
 
Taratibu, hapa hoja ya msingi askofu aachiwe.
Acha kutujaza UPUMBAVU wako.
Yeye aliomba wapi kibali cha hayo maandamano?
Ebu soma kwenye sheria,inasemaj kwa watu au kikundi kinachotaka kufanya maandamano.
Je wanapaswa kufuata hatua zipi?
 
Yaani Taifa zima lipaze sauti kwaajili ya mpuuzi mmoja asiye na hekima?
Wewe una Hekima eti eh! Mavi kichwani wewe! huna maana! Hekima ni hadi kumvulia magu nguo ya ndani akupige mkia wewe bata mzinga kweli!
 
Serekali inatengeneza Al Shabab and the likes kwa kujua au kutokujua.

Haya bana!!
 
Askofu wa kanisa gani huyo anaacha kazi ya Mungu anahamasisha maandamano.

Amemdhalilisha Kristo muache avune alichopanda. Watu wanakufa na dhambi hawasaidii yupo busy na siasa za maji taka.

Nashindwa kuweka video ya ITV ambapo kanisa la Morovian Tanzania limemkana na limesema halihusiki na mambo anayoyafanya.

Huyu ni wale kina Sanbalat, Tobia na Waashidodi. Na Rais Magufuli ni Nehemia anayejenga kuta! Nuru na Giza havichangamani! Apambane na hali yake bila kutikisa wengine tafadhali!

Uliyeumia achana na mitandao nenda huko aliko mkajadiliane! Mnapenda makesi kila kukicha! Kuta za Tanzania, zitaendelea kujengwa kama alivyotabiri Nabii Nehemia na Mungu amesimama na watu wake.
 
..walikamatwa masheikh hadi leo wanasota jela bila hata hukumu...hamkusema tupaze sauti waachie..leo kakamatwa huyu..mnataka tupaze sauti......!
 
Ni askofu wa dhehebu gani?
Haijalishi dhehebu lake,unataka kutugawa ili mjipatie uhalali?Akiwa ni Askofu au siyo Askofu bado anahaki ya kutoa maoni yake kama Mtanzania.Kudai Katiba Mpya siyo kosa kama nchi yetu ingekuwa na demokrasia ila kwa sababu sasa hivi tupo kwenye mfumo wa ....
Tulitakiwa kupata Katiba Mpya tangia 2014 lakini CCM wanaweka Mpira kwapani kwa hofu ya kuangukia pua.Wanajitahidi kuficha vichwa mchangani huku.....zikiwa at open. Unapambanaje na Ufisadi&Rushwa huku mabilioni yapo kwenye kabati la Tume ya Mabadiliko ya Katiba huku mkidai siyo kipaumbele cha Rais!
Je,Katiba zinakuwa kipaumbele cha watawala ama Wananchi? Wenye nchi yao wanaposema tunataka Katiba Mpya mnadai siyo kipaumbele chenu?Who are you?
Free Bishop Mwamakula as soon as possible with no conditions because he is no criminal.
 
Wewe una Hekima eti eh! Mavi kichwani wewe! huna maana! Hekima ni hadi kumvulia magu nguo ya ndani akupige mkia wewe bata mzinga kweli!
Akili itakukaa sawa tu upende usipende.
Tanzania ni nchi siyo Saccos ya yule bwanako
 
Mimi huwa najiuliza,kwanini huyu askofu mwembamba sana,kama mahatm ghandi,tofauti na maaskofu wengine?..!!,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…